Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Siyo gubu tunataka asome na hapo aongeze maarifa.Acheni gubu bana mwana alishaomba msamaha nyie bado mnakomaa naye tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo gubu tunataka asome na hapo aongeze maarifa.Acheni gubu bana mwana alishaomba msamaha nyie bado mnakomaa naye tu
Hakika..................Umewahi ona wapi takukuru wakafanya kazi bila maagizo.
Wamejipa jukumu lisilo lao kisheria ile ni kazi ya CAG wao wasubirie rushwa.
Kuna taarifa zinasambaa kwenye magroup ya whatApp ya kuwepo mkakati wa kuifuta chadema kabla ya uchaguzi mkuu mwaka huu. je hizi taarifa ni kweli? Kama ni kweli nini malengo ya watu waliopanga ili jambo? hawaoni wanaiweka amani yetu mashakani?
Kila mtu anazungumzia Chadema na kila chombo cha dola kinahangaika na Chadema.Kawadanganye wanachadema wenzako wasiojitambua
Vitabu vyote vya dini vimeikataa CCM tena vinasema tusiisogelee haramu(CCM) wewe ni Nani Hadi upingane na vitabu vitakatifu?Haramu kwako kama ambavyo wengine chadema au upinzani ni haramu.
Wewe bila shaka ni mpumbavu kuna chama cha kihuni kama ccm?Muwe mnavichunguza vyama iwapo mna mapenzi ya vyama,siyo kuvishabikia tu bila kujua kua ni vyama vya wahuni tu
Labda vitabu vya nyumbani kwakoVitabu vyote vya dini vimeikataa CCM tena vinasema tusiisogelee haramu(CCM) wewe ni Nani Hadi upingane na vitabu vitakatifu?
Siku hizi uswaiba wa le profesele na mtungi haupo kabisa sababu ashamaliza kazi.Kama wote wameshindwa si propaganda,si DPP, mahakama,msajili, wasiojulikana,polisi, manunuzi,TISS,yaani nguvu za kuzimu zote zimeshindwa kipi kitakachoweza? Hizi zote ni propaganda tuKwenye serikali za kidikteta kila kikwazo cha watawala huondolewa bila kujali ipo sababu ama haipo. Kwa hiyo usishangae hilo kuwezekana....!
Ila sisi huku nje, tunaweza kujadili na kujiuliza swali hili; JE, IPO SABABU GENUINE YA KUFUTA CHAMA KIKUU CHA UPINZANI?
Kama ipo ni ipi hiyo ambayo ikisemwa mbele ya watu wenye ufahamu wanaweza kuelewa na kukubali kwa urahisi?
As far as I am concerned, mpaka sasa mimi naona kuwa kinachoendelea kwa sasa ni "COVID-19 ya kisiasa" tu ambayo ktk uhalisi wake haipo, isipokuwa Corona hii ya kisiasa inachofanya ni kujenga hofu ya kisiasa miongoni mwa wafuasi na wapenzi wa siasa za mageuzi ili ikiwezekana ingalau wafe tu kwa "hofu hiyo kisiasa tunayoweza kuiita POLITICAL COVID-19 "...
Dalili za POLITICAL COVID-19 YA KISIASA INAYOSAMBAZWA NA KITENGO CHA PROPAGANDA CHA SERIKALI NA CCM NI;
å Kuamini kuwa Mbowe ni mwizi na mfujaji wa pesa za taasisi
å Kuamini kuwa Mbowe hufanya ngono na wanawake wabunge wote wa CHADEMA ili " eti wapate ubunge"
å Kuamini kuwa eti Mbowe hujikopesha pesa za chama na kuzitumia kulimia mashamba yake Morogoro...!!
å Kuamini kuwa ndani ya CHADEMA kuna mgogoro na ndiyo maana baadhi ya wabunge wanakihama...
å Kuamini kuwa, Mbowe kama m/kiti wa chama taifa ni mbabe haswa na "eti hutoa amri tu" kwa wabunge wake za "kushoto geuka....!, kulia geuka....!, mbele tembea....! nk na wao kutii bila shuruti...
å Kuamini kuwa ndani ya CHADEMA kuna ubaguzi wa kikabila unaosimamiwa na Mbowe kama "mchaga" na kwa hiyo CHADEMA ni chama cha kichagga....!!
Mtu akiona dalili hizi, "HOFU YA IMANI YA KISIASA KWA CHADEMA" imtawala na kumla kwelikweli....
Kinachofuata ni "ROHO WA MAUTI", pepo la kutwaa uhai wa vyama ambaye hapa ni "MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA" anaanza taratibu kusogea na kujenga uhalali wa "kukifuta" ama "kukiua" chama chochote....
Ndivyo ilivyokuwa kwa CUF ORIGINAL ambacho hakikufutwa, lakini kimeuwawa hicho, hakina nguvu tena na akifa Lipumba leo na ndiyo kifo rasmi cha CUF....
Lakini kwa CHADEMA naona kabisa kuwa SERIKALI na CCM wanahitaji mkakati madhubuti zaidi ya huu wanautumia sasa. CHADEMA ilishashinda "POLITICAL COVID-19 FEAR" na wanaielewa serikali hii IN and OUT....
Kama ile hukumu ya kifungo cha gerezani ya viongozi karibu wote wa CHADEMA ili back fire, ni nini kingine kinaweza kuisambaratisha CHADEMA??
Aisee, binafsi sioni unless MAGUFULI aithibitishie dunia na ulimwengu kuwa yeye ni dikteta kweli na anaweza kufanya lolote ili mradi anakuwa madarakani....!!!
In my opinion, CHADEMA ni fire, itashinda na itaingia ktk uchaguzi huu wa 2020 ikiwa as more powerful than it was in 2015...
Hii ndiyo HOFU ya CCM na MAGUFULI. Wanasumbuliwa na uginjwa wa "FEAR OF UNKNOWN"..
Go CHADEMA Go 2020!!
Kwani viongozi wa CCM bado wanajali sheria?Kwa mujibu wa sheria Chama hakiwezi kufutwa Mwaka wa Uchaguzi. Puuza hayo mambo
Hakuna nguvu yoyote inayotumika hapa. Zaidi ya kuonyesha kile ambacho mnajifanya hamkioniSafari hii utatumia nguvu kubwa sana kuaminisha watu kuwa z ni 2.
Hivi bado hii saccos ipo?Kuna taarifa zinasambaa kwenye magroup ya whatApp ya kuwepo mkakati wa kuifuta CHADEMA kabla ya uchaguzi mkuu mwaka huu.
Je, hizi taarifa ni kweli? Kama ni kweli nini malengo ya watu waliopanga ili jambo? hawaoni wanaiweka amani yetu mashakani?
Vp wife wk alienda kukopa nn
We ni kichaa nakwambia, mpumbavu kabisa,una ukipofu na siku ukija kupona muda utakua umeshakuishia huku dunianiWewe bila shaka ni mpumbavu kuna chama cha kihuni kama ccm?
Punguani pekee ndiye anaweza shabikia upumbavu unaofanywa na Jiwe ili kuua vyama vya upinzani bila kujuwa kuwa hawezi kuua upinzani na wapumbavu kama wewe ndio mnampoteza anasahau hata wanaomlinda kuna wengine ni wapinzania.endeleeni kuwa wapumbavu nipo serikalini toka mwaka 2008 ninaelewa ninachosema!We ni kichaa nakwambia, mpumbavu kabisa,una ukipofu na siku ukija kupona muda utakua umeshakuishia huku duniani
Well said mkuu. Bora upinzani rasmi wa kisheria uwepo.CCM wajifunze kidogo hata saga la Waitara na Bwire jana.Japo wote ccm wameanza kusigana, sio wote wataongea kwa hofu mtashangaa wengine hata kukodi majambazi kuwazima mahasimu wao.Punguani pekee ndiye anaweza shabikia upumbavu unaofanywa na Jiwe ili kuua vyama vya upinzani bila kujuwa kuwa hawezi kuua upinzani na wapumbavu kama wewe ndio mnampoteza anasahau hata wanaomlinda kuna wengine ni wapinzania.endeleeni kuwa wapumbavu nipo serikalini toka mwaka 2008 ninaelewa ninachosema!
Hakuna nguvu yoyote inayotumika hapa. Zaidi ya kuonyesha kile ambacho mnajifanya hamkioni
Wewe ni mpumbavu sana.kumbe upo hapa na hasira za kuminywa wizi wenu?mimi sina chama we mwanamke isipokua naujua ukweli shenzi type we.na mminywe hivyo hivyo mmesha tuibia sana wananchi pumbavu zako,ukiona nchi haikufai hama uondoke..kumbe we ni jizi,maana hakuna mtumishi wa kweli akapingana na Magufuli juu ya jitihada alizonazo kuikomboa nchi kiuchumi,sasa nyie ndo mlio tusababisha tuwe hivi shenzi ungekua karibu ningekupiga hata na mwichi mgongoni,wewe utakua ni kati ya wale mliofungiwa mirija ya kutuibia na sasa mna hasira utadhani mlikua na haki ya kutuibia sisi..una bahati uko jf sikuoni kwa machoPunguani pekee ndiye anaweza shabikia upumbavu unaofanywa na Jiwe ili kuua vyama vya upinzani bila kujuwa kuwa hawezi kuua upinzani na wapumbavu kama wewe ndio mnampoteza anasahau hata wanaomlinda kuna wengine ni wapinzania.endeleeni kuwa wapumbavu nipo serikalini toka mwaka 2008 ninaelewa ninachosema!