Hapana siyo lazima cyber ihusike ila kwa kiswahili ni Uchunguzi wa Kitaalamu ambao unaweza kutumika Mahakamani kama ushahidi Wakati Forensic Accounting ni Ukaguzi wa Mahesabu wa Kitaalamu na wala si lazima ufike mahakamani.Hapo kwenye forensic umechanganya, ninavyojua forensic investigation lazima cyber ihusike.anayejua zaid atueleze
Wewe kuuza bia hapo Kunyaland ndiyo unafikiri umeimaliza dunia??Tatizo lenu mnajiona mmeimaliza Dunia
Umejifuta wewe mpuuzi wa lumumbaMbona Chadema imeshajifuta yenyewe tu boss?
Kwa jinsi CCM inavyoweweseka kwa CHADEMA lolote laweza tokea.Kuna taarifa zinasambaa kwenye magroup ya whatApp ya kuwepo mkakati wa kuifuta CHADEMA kabla ya uchaguzi mkuu mwaka huu.
Je, hizi taarifa ni kweli? Kama ni kweli nini malengo ya watu waliopanga ili jambo? hawaoni wanaiweka amani yetu mashakani?