Tetesi: CHADEMA kufutwa?

Wewe ndito IQ yako ni ndogo sana! Unajua kuwa wabunge wamechaguliwa na wananchi hivyo mbunge ana wananchi kibao walioko nyuma yake! Sasa wewe endelea kujidanganya. Kwa taarifa yako Mbowe vijana na wazee.wa Hai hawamtaki hata kumsikia.
Badala ya kununua wapiga kura mnanunua wanaopigiwa kura,mlipata wapi ushauri usio na tija Kama huu au ni wa yule marehemu alioutumia ili azipige hela
 
Siyo jambo la kipuuzi kwa sababu kama CCM wangekuwa hawawaogopi chadema wasingekuwa wanahaha kutwa kuwahujumu kuwadhoofisha kuwabambikia kesi, kuwapiga risasi na sasa kuwapelekea Takukuru wakati Ndungai kapiga bilion 12 hakupelekewa Takukuru
Spika Ndugai alihudumiwa kwa kufuata utaratibu unaokubalika siyo Chadema mnanunua gari kupitia tax exemption ya mbunge!! Huo ni wizi wa mchana kweupe sasa huyo mbunge mmeshamponza akipatikana na hatia hataruhusiwa kugombea uongozi kwa muda wa 5 or 10 years.
 
Duuh, imenitia uchungu mwingi na kunigusa Sana, halafu unakuja kujua baadaye kwamba, hata uliyekuwa ukitaabika kumsomesha Kwa shida nyingi, amekuwa jambazi, amekuwa muuza dawa za kulevya, amekuwa Malaya anajiuza, amekuwa msaliti wa Taifa lake, amekuwa mtukanaji wa watu, wa viongozi wa dini n.k

Tulindeni Heshima za wazazi tuishi Kwa Amani na furaha
 
Subiri October!
 
Wewe ndito IQ yako ni ndogo sana! Unajua kuwa wabunge wamechaguliwa na wananchi hivyo mbunge ana wananchi kibao walioko nyuma yake! Sasa wewe endelea kujidanganya. Kwa taarifa yako Mbowe vijana na wazee.wa Hai hawamtaki hata kumsikia.
Wakati spika Ndungai anawafuta wabunge kibao wa CUF hakujua kuwa wanachaguliwa na wananchi? Mbona Ndungai hawatamtaki mpaka alipiga bakora na sasa kapiga bilion 12 lakini yupo?
 
Hakuna gharama za matibabu duniani zenye kufikia hio amount labda Kama mlitumia kutakatishia Kodi zetu
 
Kama hawana imani nao why mnaogopa chaguzi Hadi watendaji wanazikimbia ofisi kwa maagizo?
Mh...hilo sina ushahidi nalo. Maana kama watendaji walikimbia ofisi kulikuwa na haja ya kuweka pingamizi mahakani ili kila chama kipate haki.
 
Kuna taarifa zinasambaa kwenye magroup ya whatApp ya kuwepo mkakati wa kuifuta chadema kabla ya uchaguzi mkuu mwaka huu. je hizi taarifa ni kweli? Kama ni kweli nini malengo ya watu waliopanga ili jambo? hawaoni wanaiweka amani yetu mashakani?
Watakifuta kwenye makaratasi lakini sio mioyoni mwetu... CHADEMA is 4EVER

Jr[emoji769]
 
Kuna taarifa zinasambaa kwenye magroup ya whatApp ya kuwepo mkakati wa kuifuta chadema kabla ya uchaguzi mkuu mwaka huu. je hizi taarifa ni kweli? Kama ni kweli nini malengo ya watu waliopanga ili jambo? hawaoni wanaiweka amani yetu mashakani?
Hata wakiifuta chadema bado watakuwa hawajafanikiwa kwa lolote...zaidi zaidi wanaenda kutengeneza vikundi vya ugaidi...
 
Wakati spika Ndungai anawafuta wabunge kibao wa CUF hakujua kuwa wanachaguliwa na wananchi? Mbona Ndungai hawatamtaki mpaka alipiga bakora na sasa kapiga bilion 12 lakini yupo?
Kumbe wewe ni minyoo ? Sikujua nachati na minyoo! Basi nimeshindwa kuchati na minyoo!
 
Wakati spika Ndungai anawafuta wabunge kibao wa CUF hakujua kuwa wanachaguliwa na wananchi? Mbona Ndungai hawatamtaki mpaka alipiga bakora na sasa kapiga bilion 12 lakini yupo?
Akili zako zimejaa minyoo. Yaani bil 12 zitumike kwa matibabu?
 
Msajili wa vyama anaweza asikifute kwenye usajili wa kisheria. Lakini wananchi wakakifuta kwenye mioyo yao. Na tayari wananchi hawana imani nacho.
Wananchi wa wapi hao?au wananchi familia yako ya CCM pekee? Tambua kuwa watanzania siyo wajinga kiasi hicho, watanzania wanajua CCM wanaihujumu chadema , CCM inaidhoofisha chadema inawabambikia kesi, wananchi wanajua chadema inaonewa inateswa na CCM hawawezi kuwa na mawazo kama yako na familia yako
 
Inajulikana lengo kuu la kuuwa upinzani ili Kodi zetu ziliwe bila kelele so chochote cha shetani akiwezifaulu
 
Kwa hiyo unadhani wananchi wanapenda Chadema ilipe madeni hewa kwa mmiliki wa Chadema?Ambae alikikooesha chama bil 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…