Tetesi: CHADEMA kufutwa?

Tetesi: CHADEMA kufutwa?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Kuna taarifa zinasambaa kwenye magroup ya whatApp ya kuwepo mkakati wa kuifuta CHADEMA kabla ya uchaguzi mkuu mwaka huu.

Je, hizi taarifa ni kweli? Kama ni kweli nini malengo ya watu waliopanga ili jambo? hawaoni wanaiweka amani yetu mashakani?
 
Kuna taarifa zinasambaa kwenye magroup ya whatApp ya kuwepo mkakati wa kuifuta chadema kabla ya uchaguzi mkuu mwaka huu. je hizi taarifa ni kweli? Kama ni kweli nini malengo ya watu waliopanga ili jambo? hawaoni wanaiweka amani yetu mashakani?
Chadema ilishajifuta tayari kwani hata huoni mwelekeo wa chama chenyewe?
 
Upinzani unaanzia moyoni na sio Kwenye chama hata kama watafanikiwa wakaifuta haitasadia kituuu...
Imani yetu inatuambia kuwa kuishabikia CCM ni haramu
Haramu kwako kama ambavyo wengine chadema au upinzani ni haramu.
 
Kuna taarifa zinasambaa kwenye magroup ya whatApp ya kuwepo mkakati wa kuifuta chadema kabla ya uchaguzi mkuu mwaka huu. je hizi taarifa ni kweli? Kama ni kweli nini malengo ya watu waliopanga ili jambo? hawaoni wanaiweka amani yetu mashakani?
Huyo mwenye nia hiyo ovu ni lazima atakuwa Jiwe.......

Kwa kuwa alitangaza hadharani wakati anaingia madarakani mwaka 2015, kuwa ni lazima ataifuta Chadema, kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020......

Amefanya kila mbinu chafu na ovu kuifuta Chadema, lakini Mungu ndiyo amekuwa akikilinda chama hiki........

Sasa kwa kuwa ameona umekaribia mno uchaguzi mkuu na yeye anajua kuwa hakubaliki miongoni ya wananchi, ndiyo anaona atumie ubabe wake, akiwa Amiri Jeshi Mkuu, aifute Chadema!

Hata hivyo lazima tumwonye, ikiwa anataka umwagikaji mkubwa wa damu nchi hii, athubutu kufanya hilo analoliitaka!
 
Huyo mwenye nia hiyo ni lazima atakuwa Jiwe.......

Mbona Chadema imeshajifuta yenyewe tu boss?
 
Kuna taarifa zinasambaa kwenye magroup ya whatApp ya kuwepo mkakati wa kuifuta chadema kabla ya uchaguzi mkuu mwaka huu. je hizi taarifa ni kweli? Kama ni kweli nini malengo ya watu waliopanga ili jambo? hawaoni wanaiweka amani yetu mashakani?

Kwa mujibu wa sheria Chama hakiwezi kufutwa Mwaka wa Uchaguzi. Puuza hayo mambo
 
Kimekosa nini hata kifutwe?
Kanuni ya adhabu kwa kosa lake inasemaje, inapatikana kwenye sheria ipi?
 
Kuna taarifa zinasambaa kwenye magroup ya whatApp ya kuwepo mkakati wa kuifuta chadema kabla ya uchaguzi mkuu mwaka huu. je hizi taarifa ni kweli? Kama ni kweli nini malengo ya watu waliopanga ili jambo? hawaoni wanaiweka amani yetu mashakani?
Wanakimbiza upepo,ukiifuta chadema tunaamia chauma,imefutwa cuf Zanzibar tumehamia ACT.
 
kwa mujibu wa sheria Chama hakiwezi kufutwa Mwaka wa Uchaguzi. Puuza hayo mambo
Lakini Mh. Miaka hii 5 tumeona uvunjifu mkubwa wa sheria na serikali hii imetuonyesha inaweza fanya chochote wakati wowote hivyo taadhari ni muhimu sana maana tumeona mengi ya CAG, watu kuvuliwa ubunge. nk
 
Chadema ilishajifuta tayari kwani hata huoni mwelekeo wa chama chenyewe?
Mwelekeo upi? Kutwa kuwabambikia kesi kuwapiga risasi na sasa mmewapelekea Takukuru wakati Ndungai katafuna bilion 12 lakini Takukuru hawakuthubutu kwenye hata kumsalimia tu
 
Huyo mwenye nia hiyo ovu ni lazima atakuwa Jiwe.......

Kwa kuwa alitangaza hadharani wakati anaingia madarakani mwaka 2015, kuwa ni lazima ataifuta Chadema, kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020......

Amefanya kila mbinu chafu na ovu kuifuta Chadema, lakini Mungu ndiyo amekuwa akikilinda chama hiki........

Sasa kwa kuwa ameona umekaribia mno uchaguzi mkuu na yeye anajua kuwa hakubaliki miongoni ya wananchi, ndiyo anaona atumie ubabe wake, akiwa Amiri Jeshi Mkuu, aifute Chadema!

Hata hivyo lazima tumwonye, ikiwa anataka umwagikaji mkubwa wa damu nchi hii, athubutu kufanya hilo analoliitaka!
Anakimbiza upepo, badala ya kuwaza kufuta umasikini unawaza kufuta upinzani.Ameikuta ataondoka Kama upepo na atakiacha Kama alivokikuta.
 
Ingekuwa imejifuta ndiyo ingemfanya Jiwe vitanda visilalike huko Chamwino??

Kama kweli Chadema imejifuta, ni kitu gani kinachowafanya nyiye maccm, muogope kama ukoma, uchaguzi huru na wa haki??
Sisi tuna lala fofofo kabisa siku hizi kuliko 2015 hata wewe unajua hilo.
 
Back
Top Bottom