CHADEMA kuingia madarakani ni ngumu kuliko ngamia kupita kwenye tundu la sindano

DaudiAiko

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
372
Reaction score
310
Wana bodi,

NI jambo la kujiuliza kama kweli wananchi ndio wanaodai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi au ni wanasiasa wanao tumia mbinu tofauti tofauti ku tekeleza wanacho hitaji. Vile vile ni vyema kama tukiji uliza swali lingine. Tangia mfumo wa vyama vingi ku anza Tanzania, je ilishawahi kutokea kwa chama cha upinzani kushindwa uchaguzi kwa sababu ya katiba au tume tuliyo nayo ya uchaguzi?

Nafikiri tukitafakari na kujiuliza maswali haya, tuta gundua kwamba kwa kiasi kikubwa, wahusika wote hawaku pata ridhaa ya wananchi.

Tuki jaribu kuangalia kama chama chenyewe kina kubalika na watanzania walio wengi tuna gundua kwamba kuna mambo mengi muhimu zaidi kuliko tume huru au katiba mpya vinavyo weza kuwa saidia kuwa na msingi nchini kwote. Ni muhimu kwa wao ku elekeza nguvu kazi kwenye kujenga chama chao kwanza
 

Attachments

  • 10000000_3128000837487193_8876726576567572660_n (1).mp4
    20.9 MB

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ halafu anaandika eti kuna mambo muhimu zaidi kuliko Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Japo kuwa huna akili lakini ngoja nikusaidie , Hichilema aliambiwa kama hivi hivi ila leo ni rais wa Zambia
 
Japo kuwa huna akili lakini ngoja nikusaidie, Hichilema aliambiwa kama hivi hivi ila leo ni rais wa Zambia
Upara ninao ila lazima wana CHADEMA wanawa hitaji watu kama wewe ili kuweza kupindua meza. Kushindwa uchaguzi kwa asilimia zaidi ya 80 sio mchezo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ halafu anaandika eti kuna mambo muhimu zaidi kuliko Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Ni kweli, kuna mambo muhimu kuliko katiba mpya na tume huru, Nitakupa mfano kwa wenzetu. Nchi ya Marekani ina wawezesha wana siasa kupinga matokeo ya uchaguzi kwa kupitia mahakama ila lazima uwe umeshindwa kwa asilimia zisizozidi mbili. Huwezi kushindwa kwa asilimia zaidi ya 80 alafu ukadai kwamba umeshindwa kwasababu tume sio huru au kwamba katiba ni ya zamani.

Tafakari
 
Kwa mwenye ufinyu wa akili tu. Ingekuwa Mbowe au lissu ni babaako au Kakaako usingeandika upuuzi kama huu. Wewe ndiyo wale wa mkuki ni mtamu kwa nguruwe.

 
wewe ni miongoni mwa ID za kimkakati , endelea kutumikishwa tangu 2012
 
Japo kuwa huna akili lakini ngoja nikusaidie , Hichilema aliambiwa kama hivi hivi ila leo ni rais wa Zambia

Huwezi kumlinganisha Hichilema na wanaojiita viongozi wa chadema waliojawa uchu, ubinafsi na ufisadi usiokua na soni.
Wepesi mno kujiuza na kununulika hawa.... wametuulia upinzani kabisa


Chadema 2005 - 2014


Wacha niendelee na kazi mie. Kituo kinachofuata Zomba

Karibuni kusini mwa Tanzania mjifunze jinsi ya kujenga upinzani wenye tija na mafanikio kama wao wanavyokuja kwetu kujifunza jinsi ya kufanikiwa kushika dola kwa kipindi kirefuπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Yaani wafuasi wa chadema wa miaka hii wamekua malofa...., ni huzuni kweliπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Naby Keita Unawaelewa hawa watu?
 
Ukiona bwege anaandika jambo lilelile kwenye kila uzi unapaswa kumpuuza
 
Ukiona bwege anaandika jambo lilelile kwenye kila uzi unapaswa kumpuuza

Bwege ni wewe unaeujua ukweli halafu unajidanganya kujiridhisha nafsi. Wewe ulikula sh ngapi kwa mauzo mliyofanya kwa Lowasa?

Wafuasi wa Chadema wa 2015 hadi sasa mnatakiwa mkapimwe akiliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mmekaa kitapeli mno mfyuu
 
Wakati wa Bwana ndio wakati sahihi
 
Reactions: BAK
Bwege ni wewe unaeujua ukweli halafu unajidanganya kujiridhisha nafsi

Wafuasi wa Chadema wa 2015 hadi sasa mnatakiwa mkapimwe akili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mmekaa kitapeli mno mfyuu
Wakikosa hoja wanatukana kweli vituko haviishi[emoji23][emoji1787]
 
πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ‘πŸ½
Ukiona bwege anaandika jambo lilelile kwenye kila uzi unapaswa kumpuuza
 
Wakikosa hoja wanatukana kweli vituko haviishi[emoji23][emoji1787]

Hawana haya hawa watu.....
Yaani aibu kwao ni mwiko! Sijui walilishwa nini huko🀣🀣🀣🀣

Yaani mimi kweli umporomoshee fisadi maneno yote yale halafu baadae uje ununuliwe nae na zilezile pesa za kifisadi

Watanzania sio mabwege kama nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…