CHADEMA kuingia madarakani ni ngumu kuliko ngamia kupita kwenye tundu la sindano

CHADEMA kuingia madarakani ni ngumu kuliko ngamia kupita kwenye tundu la sindano

πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ‘πŸ½

Aibuuuuuuuuu
 
ule uchaguzi wa Mahera wa kura za mabegi ! lazima ung'olewe ubongo ili kuamini

DaudiAiko kawaambia ukweliii, yaani nyie watu buana🀣🀣 miaka30 mnalalamikia tatizo lilelile moja bila kupata ufumbuzi mnategemea tuwape nchi ndio mtaweza tatua matatizo yetu watanzania 60M kweli?? Aiiii hatuwezi chezesha nchi kamariβ™₯οΈβ™£οΈβ™¦οΈβ™ οΈπŸ˜†πŸ˜†

Kuendelea kulialia haiwasaidii sana sana mnaoneka hamna mipango ila mna matatizo sugu ya kushindwa kufikiriaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Kama siasa imewashinda vile!

Tunaambiwa Insanity is doing the same thing over and over again and expecting different results, acheni kulamika chama hakijengwi kwa maneno ya mitandaoni

Ushauri wa bure tafuteni mtu asiyekua na matakwa binafsi mumpe kazi ya kuwajengea chama maana nyie kwa nyie mlishapewa onyo kwamba SUMU HAIONJWI πŸ˜›πŸ˜›
 
Ni kweli, kuna mambo muhimu kuliko katiba mpya na tume huru, Nitakupa mfano kwa wenzetu. Nchi ya Marekani ina wawezesha wana siasa kupinga matokeo ya uchaguzi kwa kupitia mahakama ila lazima uwe umeshindwa kwa asilimia zisizozidi mbili. Huwezi kushindwa kwa asilimia zaidi ya 80 alafu ukadai kwamba umeshindwa kwasababu tume sio huru au kwamba katiba ni ya zamani.

Tafakari
wewe kweli akili huna, enda shule za kata ni bure sasa
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
kweli ujinga ni mwingi bongo, yaani mtu anaadika eti katiba mpya na tume huru sio vitu za muhimu, kweli ukosefu wa elimu ni kitu baya sana, angalia mataifa yote yaliopiga hatua kimaendeleo, wako na kitu moja common, good katiba,anyway wewe ni wanauvccm so enda kapewe kazi ya udc
 
Upumbavu umetamalaki sana nchini kwetu Mkuu. Adui yetu mkubwa Watanzania wa kwanza ni maccm wa pili ni upumbavu.
kweli ujinga ni mwingi bongo, yaani mtu anaadika eti katiba mpya na tume huru sio vitu za muhimu, kweli ukosefu wa elimu ni kitu baya sana, angalia mataifa yote yaliopiga hatua kimaendeleo, wako na kitu moja common, good katiba,anyway wewe ni wanauvccm so enda kapewe kazi ya udc
 
kweli ujinga ni mwingi bongo, yaani mtu anaadika eti katiba mpya na tume huru sio vitu za muhimu, kweli ukosefu wa elimu ni kitu baya sana, angalia mataifa yote yaliopiga hatua kimaendeleo, wako na kitu moja common, good katiba,anyway wewe ni wanauvccm so enda kapewe kazi ya udc
Katiba mpya haiwa saidii sana wana CHADEMA
 
Japo kuwa huna akili lakini ngoja nikusaidie , Hichilema aliambiwa kama hivi hivi ila leo ni rais wa Zambia
Utamfananisha Hichilema na hawa wahuni akina Mbowe, Sugu, Mdee, waitara, Gekul, Lema, Heche? Maana hawa wote wapo kapu moja, hamna wa kumzidi mwenzake hapo
 
Utamfananisha Hichilema na hawa wahuni akina Mbowe, Sugu, Mdee, waitara, Gekul, Lema, Heche? Maana hawa wote wapo kapu moja, hamna wa kumzidi mwenzake hapo

Anamfananisha Hichilema na hawa binadamu matapeli hapa🀣🀣🀣🀣

CHADEMA 2005 - 2014
20210724_195112.jpg

images (9).jpeg
 
Anamfananisha Hichilema na hawa binadamu matapeli hapa🀣🀣🀣🀣

CHADEMA 2005 - 2014
View attachment 1928632
View attachment 1928633
Hawapo serious, Hichilema ni mpinzani serious aliyesimamia anachokiamini kwa muda mrefu, he is a real deal! Kwa hapa TZ unaweza kumfananisha na Hayati Maalim pekee, siyo hawa vilaza akina Lema
 
Usifananishe uchaguzi HURU na wa HAKI kule Marekani na huu UCHAFU unaoendelea hapa. Siku ukitia akili kichwani utaelewa tu kwa sasa endelea kuandika pumba zako.
Ni kweli, kuna mambo muhimu kuliko katiba mpya na tume huru, Nitakupa mfano kwa wenzetu. Nchi ya Marekani ina wawezesha wana siasa kupinga matokeo ya uchaguzi kwa kupitia mahakama ila lazima uwe umeshindwa kwa asilimia zisizozidi mbili. Huwezi kushindwa kwa asilimia zaidi ya 80 alafu ukadai kwamba umeshindwa kwasababu tume sio huru au kwamba katiba ni ya zamani.

Tafakari
 
Unawaogopaje vilaza wa Chadema hadi kukataa uwepo wa katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi ili kuhakikisha uchaguzi ni HURU na wa HAKI? Vilaza ni VILAZA TU sasa inakuwaje maccm yaogope na kufikia kupora chaguzi na kutia vilema Watanzania pia kuwaua? 😳😳😳
1631062129912.png

Hawapo serious, Hichilema ni mpinzani serious aliyesimamia anachokiamini kwa muda mrefu, he is a real deal! Kwa hapa TZ unaweza kumfananisha na Hayati Maalim pekee, siyo hawa vilaza akina Lema
 
Unawaogopaje vilaza wa Chadema hadi kukataa uwepo wa katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi ili kuhakikisha uchaguzi ni HURU na wa HAKI? Vilaza ni VILAZA TU sasa inakuwaje maccm yaogope na kufikia kupora chaguzi na kutia vilema Watanzania pia kuwaua? 😳😳😳
View attachment 1928636
Mkuu BAK nyie kwa kutengeneza matukio ili mpate sympathy ya wananchi mpo vizuri sana, unamkumbuka yule jamaa yenu wa Igunga kwenye uchaguzi mdogo mlimmwagia tindikali mkawasingizia CCM ili wananchi wawachukie CCM!! Na uchaguzi wenyewe Kafumu akawamwaga, na mlivyokosa aibu mkawa mnapanda na jamaa kwenye mikutano ya kampeni
 
Wana bodi,

NI jambo la kujiuliza kama kweli wananchi ndio wanaodai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi au ni wanasiasa wanao tumia mbinu tofauti tofauti ku tekeleza wanacho hitaji. Vile vile ni vyema kama tukiji uliza swali lingine. Tangia mfumo wa vyama vingi ku anza Tanzania, je ilishawahi kutokea kwa chama cha upinzani kushindwa uchaguzi kwa sababu ya katiba au tume tuliyo nayo ya uchaguzi?. Nafikiri tuki tafakari na kujiuliza maswali haya, tuta gundua kwamba kwa kiasi kikubwa, wahusika wote hawaku pata ridhaa ya wananchi.

Tuki jaribu kuangalia kama chama chenyewe kina kubalika na watanzania walio wengi tuna gundua kwamba kuna mambo mengi muhimu zaidi kuliko tume huru au katiba mpya vinavyo weza kuwa saidia kuwa na msingi nchini kwote. Ni muhimu kwa wao ku elekeza nguvu kazi kwenye kujenga chama chao kwanza
Chadema bado wana safari ndefu sana......

Si chama chenye kuaminika na Watanzania wa maeneo na kaliba zote (all walks of life).....

Mathalani Hichilema wa Zambia alishinda kwa kuwa na AGENDA za kinchi......Hichilema ameshinda baada ya YEYE binafsi kugombea mara 6....hii ni tofauti na SURA MPYA KILA CHAGUZI KWA WAGOMBEA WA URAIS WA CHADEMA....wao huangalia "popularity" ya wagombea ijapokuwa wana MAKANDOKANDO (this is really a setback).......

Hichilema ameshinda kwa kuwa ndani ya MUUNGANO wa vyama vyenye nguvu na ajenda KUNTU(kuaminika)........

Ukiwaangalia viongozi wa CHADEMA huoni uzalendo wa kweli kwa maslahi mapana ya TAIFA HILI.....

Mwangalie mtetezi wao huko Canada....LEMA...🀣

Mwangalie Tundu Lissu na siasa zake za "mivutano na kukosa staha ya kitanzania....."🀣🀣

Hakika CHADEMA ni ngumu kushinda CHAGUZI kuliko NGAMIA kupita TUNDU LA SINDANO.....

#SiempreJMT
#NchiKwanza
#KaziInaendelea
#ChanjoNiBoraKulikoTiba
 
Back
Top Bottom