Ni vilaza haoNawashangaa zaidi pale wanapomfananisha Mbowe na Mandela. Hawa jamaa (makamanda uchwara) hamnazo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vilaza haoNawashangaa zaidi pale wanapomfananisha Mbowe na Mandela. Hawa jamaa (makamanda uchwara) hamnazo.
Sahihi.....Mkuu BAK nyie kwa kutengeneza matukio ili mpate sympathy ya wananchi mpo vizuri sana, unamkumbuka yule jamaa yenu wa Igunga kwenye uchaguzi mdogo mlimmwagia tindikali mkawasingizia CCM ili wananchi wawachukie CCM!! Na uchaguzi wenyewe Kafumu akawamwaga, na mlivyokosa aibu mkawa mnapanda na jamaa kwenye mikutano ya kampeni
Mkuu BAK nyie kwa kutengeneza matukio ili mpate sympathy ya wananchi mpo vizuri sana, unamkumbuka yule jamaa yenu wa Igunga kwenye uchaguzi mdogo mlimmwagia tindikali mkawasingizia CCM ili wananchi wawachukie CCM!! Na uchaguzi wenyewe Kafumu akawamwaga, na mlivyokosa aibu mkawa mnapanda na jamaa kwenye mikutano ya kampeni
Mabegi yale mliyoyatengeneza kupitia marafiki zenu wa nje ya nchi akina Mark Vog Johnsen ,Sirjyev Ailankapoum na wengineo?!!!ule uchaguzi wa Mahera wa kura za mabegi ! lazima ung'olewe ubongo ili kuamini
Hichilema wa Tanzania ni nani.Japo kuwa huna akili lakini ngoja nikusaidie , Hichilema aliambiwa kama hivi hivi ila leo ni rais wa Zambia
Kupotea Ben Saanane ni tukio la kutengeneza, kuokotwa maiti ufukweni Dar ni tukio la kutengeneza, kupotea kwa Azory ni tukio la kutengeneza. Shambulizi la Lissu miaka minne iliyopita ni la kutengeneza. Kukamatwa kila mara wanachama na Viongozi wa Chadema na kubambikiwa kesi FAKE ná kunyimwa dhamana yote ni matukio ya kutengeneza. Mpuuzi kweli wewe!!!
Mbona umepaniki jombaa?? Una uhakika gani baadhi ya hayo hayajapikwa hapo kiwandani Ufipa? Mlimteka dereva wa Dr. Slaa mkasingizia CCM, stupid
Mbona umepaniki jombaa?? Una uhakika gani baadhi ya hayo hayajapikwa hapo kiwandani Ufipa? Mlimteka dereva wa Dr. Slaa mkasingizia CCM, stupid
Mengine yaliyopikwa na Chadema haya hapa mpuuzi wewe!!!
Acha ufala, JK mliyemdekea hayupo, JPM kawanyoosha miaka 5, kijiti kapokea Mother, anawanyoosha na ataendelea kuwanyoosha hadi 2030, 2030 anachukua Dr. Nchemba, hapo ndipo maji mtaita mma, Pumbaf
Ni kweli, kuna mambo muhimu kuliko katiba mpya na tume huru, Nitakupa mfano kwa wenzetu. Nchi ya Marekani ina wawezesha wana siasa kupinga matokeo ya uchaguzi kwa kupitia mahakama ila lazima uwe umeshindwa kwa asilimia zisizozidi mbili. Huwezi kushindwa kwa asilimia zaidi ya l
In 30 years what have you changed!!..Au Una kula na kulala na kwenda kazini tu?!!DaudiAiko kawaambia ukweliii, yaani nyie watu buana🤣🤣 miaka30 mnalalamikia tatizo lilelile moja bila kupata ufumbuzi mnategemea tuwape nchi ndio mtaweza tatua matatizo yetu watanzania 60M kweli?? Aiiii hatuwezi chezesha nchi kamari♥️♣️♦️♠️😆😆
Kuendelea kulialia haiwasaidii sana sana mnaoneka hamna mipango ila mna matatizo sugu ya kushindwa kufikiria😃😃😃 Kama siasa imewashinda vile!
Tunaambiwa Insanity is doing the same thing over and over again and expecting different results, acheni kulamika chama hakijengwi kwa maneno ya mitandaoni
Ushauri wa bure tafuteni mtu asiyekua na matakwa binafsi mumpe kazi ya kuwajengea chama maana nyie kwa nyie mlishapewa onyo kwamba SUMU HAIONJWI 😛😛
Kwani wananyoshwa chadema au watanzania?Acha ufala, JK mliyemdekea hayupo, JPM kawanyoosha miaka 5, kijiti kapokea Mother, anawanyoosha na ataendelea kuwanyoosha hadi 2030, 2030 anachukua Dr. Nchemba, hapo ndipo maji mtaita mma, Pumbaf
Ingekua haiaminiki na watanzania mbona mnatumia Polisi sasa?Chadema bado wana safari ndefu sana......
Si chama chenye kuaminika na Watanzania wa maeneo na kaliba zote (all walks of life).....
Mathalani Hichilema wa Zambia alishinda kwa kuwa na AGENDA za kinchi......Hichilema ameshinda baada ya YEYE binafsi kugombea mara 6....hii ni tofauti na SURA MPYA KILA CHAGUZI KWA WAGOMBEA WA URAIS WA CHADEMA....wao huangalia "popularity" ya wagombea ijapokuwa wana MAKANDOKANDO (this is really a setback).......
Hichilema ameshinda kwa kuwa ndani ya MUUNGANO wa vyama vyenye nguvu na ajenda KUNTU(kuaminika)........
Ukiwaangalia viongozi wa CHADEMA huoni uzalendo wa kweli kwa maslahi mapana ya TAIFA HILI.....
Mwangalie mtetezi wao huko Canada....LEMA...🤣
Mwangalie Tundu Lissu na siasa zake za "mivutano na kukosa staha ya kitanzania....."🤣🤣
Hakika CHADEMA ni ngumu kushinda CHAGUZI kuliko NGAMIA kupita TUNDU LA SINDANO.....
#SiempreJMT
#NchiKwanza
#KaziInaendelea
#ChanjoNiBoraKulikoTiba
Na nyie mmemleta Hamza kuzima Tozo!!!Mkuu BAK nyie kwa kutengeneza matukio ili mpate sympathy ya wananchi mpo vizuri sana, unamkumbuka yule jamaa yenu wa Igunga kwenye uchaguzi mdogo mlimmwagia tindikali mkawasingizia CCM ili wananchi wawachukie CCM!! Na uchaguzi wenyewe Kafumu akawamwaga, na mlivyokosa aibu mkawa mnapanda na jamaa kwenye mikutano ya kampeni
Maalim nae alikua Mpinzani baada ya kukubali kushirikiana na wauajiHawapo serious, Hichilema ni mpinzani serious aliyesimamia anachokiamini kwa muda mrefu, he is a real deal! Kwa hapa TZ unaweza kumfananisha na Hayati Maalim pekee, siyo hawa vilaza akina Lema
Mbona umepaniki jombaa?? Una uhakika gani baadhi ya hayo hayajapikwa hapo kiwandani Ufipa? Mlimteka dereva wa Dr. Slaa mkasingizia CCM, stupid
Japo kuwa huna akili lakini ngoja nikusaidie , Hichilema aliambiwa kama hivi hivi ila leo ni rais wa Zambia
Kwa mwenye ufinyu wa akili tu. Ingekuwa Mbowe au lissu ni babaako au Kakaako usingeandika upuuzi kama huu. Wewe ndiyo wale wa mkuki ni mtamu kwa nguruwe.
Ukiona bwege anaandika jambo lilelile kwenye kila uzi unapaswa kumpuuza
Aibu wewe mama.Huwezi kumlinganisha Hichilema na wanaojiita viongozi wa chadema waliojawa uchu, ubinafsi na ufisadi usiokua na soni.
Wepesi mno kujiuza na kununulika hawa.... wametuulia upinzani kabisa
Chadema 2005 - 2014
View attachment 1928629View attachment 1928630
Wacha niendelee na kazi mie. Kituo kinachofuata Zomba
Karibuni kusini mwa Tanzania mjifunze jinsi ya kujenga upinzani wenye tija na mafanikio kama wao wanavyokuja kwetu kujifunza jinsi ya kufanikiwa kushika dola kwa kipindi kirefu😃😃😃
Yaani wafuasi wa chadema wa miaka hii wamekua malofa...., ni huzuni kweli😆😆😆