DaudiAiko kawaambia ukweliii, yaani nyie watu buana🤣🤣 miaka30 mnalalamikia tatizo lilelile moja bila kupata ufumbuzi mnategemea tuwape nchi ndio mtaweza tatua matatizo yetu watanzania 60M kweli?? Aiiii hatuwezi chezesha nchi kamari♥️♣️♦️♠️😆😆
Kuendelea kulialia haiwasaidii sana sana mnaoneka hamna mipango ila mna matatizo sugu ya kushindwa kufikiria😃😃😃 Kama siasa imewashinda vile!
Tunaambiwa Insanity is doing the same thing over and over again and expecting different results, acheni kulamika chama hakijengwi kwa maneno ya mitandaoni
Ushauri wa bure tafuteni mtu asiyekua na matakwa binafsi mumpe kazi ya kuwajengea chama maana nyie kwa nyie mlishapewa onyo kwamba SUMU HAIONJWI 😛😛