CHADEMA kuingia madarakani ni ngumu kuliko ngamia kupita kwenye tundu la sindano

Nimegundua hujielewi kiasi kwamba sikutakiwa hata kukujibu

Hakuna ninalojifunza kwako na wala hufundishiki.... sasa nimekupuuza rasmi
Endelea kutulipa Kodi na Tozo huku maisha yakiendelea kuwavuluga!!.... CCM oyeee
 
Hichilema wa Tanzania ni nani.

Tatizokubwa la vyama vya siasa Tanzania ni kukosa mikakati. Kuanzia miaka ya tisisni tumekuwa tunashangilia nchi nyingine wanapoondoa chama tawala na kujifariji kuwa na sisi zamu yetu inafuata lakini wapi.
(1) Chiluba alimshinda Kaunda tukasema hayo hayo kuwa na sisi twaja.
(2) Bakili Muluzi alimshinda Banda huko Malawi na sisi tukajipa moyo kuwa zamu yetu inafuata,
(3) Kenya waliiondoa KANU madarakani tukashangilia kuwa zamu yetu yaja.
(4) Huko Malawi na Zambia wameshabadilisha vyama mara nyingi tu na kila siku sisi tumekuwa tunajifariji kuwa zamu yetu yaja.

CHADEMA wanategemea kura za watu kuichukia CCM badala ya kutegemea kura za watu kuipenda CHADEMA. Ushindi wa namna hiyo ni mgumu sana

Tutasubiri sana
Kura za kuichukia CCM badala ya kura za kuipenda CHADEMA...
 
Hata kama silipi kodi siwezi kufanya matangazo popote maana ni ulimbukeni kuja mtandaoni kutangaza kwamba hulipi kodi

Nimegundua hujielewi kiasi kwamba sikutakiwa hata kukujibu

Hakuna ninalojifunza kwako na wala hufundishiki.... sasa nimekupuuza rasmi

Endelea kutulipa Kodi na Tozo huku maisha yakiendelea kuwavuluga!!.... CCM oyeee

Huu ulimbukeni hautakuacha salama

CCM HOYEEEEE
KODI KWA MAENDELEO YA TAIFA
 
Hata kama silipi kodi siwezi kufanya matangazo popote maana ni ulimbukeni kuja mtandaoni kutangaza kwamba hulipi kodi

Nimegundua hujielewi kiasi kwamba sikutakiwa hata kukujibu

Hakuna ninalojifunza kwako na wala hufundishiki.... sasa nimekupuuza rasmi
Umeumia sana
 
Wana bodi,

NI jambo la kujiuliza kama kweli wananchi ndio wanaodai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi au ni wanasiasa wanao tumia mbinu tofauti tofauti ku tekeleza wanacho hitaji. Vile vile ni vyema kama tukiji uliza swali lingine. Tangia mfumo wa vyama vingi ku anza Tanzania, je ilishawahi kutokea kwa chama cha upinzani kushindwa uchaguzi kwa sababu ya katiba au tume tuliyo nayo ya uchaguzi?

Nafikiri tukitafakari na kujiuliza maswali haya, tuta gundua kwamba kwa kiasi kikubwa, wahusika wote hawaku pata ridhaa ya wananchi.

Tuki jaribu kuangalia kama chama chenyewe kina kubalika na watanzania walio wengi tuna gundua kwamba kuna mambo mengi muhimu zaidi kuliko tume huru au katiba mpya vinavyo weza kuwa saidia kuwa na msingi nchini kwote. Ni muhimu kwa wao ku elekeza nguvu kazi kwenye kujenga chama chao kwanza
Uchambuzi wako ni duni sana, panua akili sio Masaburi!
 
Kujivunia NDIO, hata sasa! Ila kumwabudu big NO
JPM atabaki kuwa Mwamba Shujaa na rais wa karne. Ameenda ila bado anawapeleka mbio.... KAZI INAENDELEA na ironlady👑💪
Hutaki kwenda mbio hama nchi🤣🤣🤣🤣
Jitahidini tu hata kumpa vilevile majina mengi ya kumtukuza na kumwabudu, bado nae atapita.
Lakini watanzania tunaoendelea kupigania 'uhuru, haki na maendeleo ya kweli' kwa TAIFA letu, tutaendelea kuwepo.
Dada,hatutakiwi kujivunia nchi yetu kuendeshwa kwa 'kupelekana mbio', bali kwa kufuata KATIBA ambayo pia Viongozi waliapa kuilinda.
 
Dada,hatutakiwi kujivunia nchi yetu kuendeshwa kwa 'kupelekana mbio', bali kwa kufuata KATIBA ambayo kwayo Viongozi waliapishwa.
 
Tanzania hakuna wapinzani kuna waropokaji na wapayukaji tu, lazima uelewe usijifanye kilaza [emoji23][emoji1787]
Sasa kwa nini wakati wa uchaguzi mnafukuza mawakala wa upinzani, mnaweka wasimamizi wa chama lenu, bado mnakuja na mabox feki ya kura? Why??? Hizo ndizo akiri kwa tafsiri yako eh?
 
Upara ninao ila lazima wana CHADEMA wanawa hitaji watu kama wewe ili kuweza kupindua meza. Kushindwa uchaguzi kwa asilimia zaidi ya 80 sio mchezo
Ushauri wa bure waanze kwenye mashina huko ndiko kuna wapiga kura huku mjini tunakuja kila siku kushinda nyuma ya keyboard lakini wapiga kura tunawaacha nyumbani kina mama vijana wasio na kazi na wengine sasa vurugu tunazifanyia jf badala ya kupambana na mashinani
 
Na Utaendelea kuumiss sababu nimegundua nguvu huna wala uwezo huna pia
🙄🙄🙄🙄
ukuje ARACHUGA mamake missin u sana nimeukumbuka utam wako MAMA D 👌 😛
 
Jitahidini tu hata kumpa vilevile majina mengi ya kumtukuza na kumwabudu, bado nae atapita.
Lakini watanzania tunaoendelea kupigania 'uhuru, haki na maendeleo ya kweli' kwa TAIFA letu, tutaendelea kuwepo.
Dada,hatutakiwi kujivunia nchi yetu kuendeshwa kwa 'kupelekana mbio', bali kwa kufuata KATIBA ambayo pia Viongozi waliapa kuilinda.

JPM anakupeleka kasi hata akiwa kaburini😅😅
 
Chadema wajitafakari kwanza waweke mipango yao ya muda mrefu kama watakua wakitegemea vigogo kutoka ccm waje wawape nafasi ya ugombea uraisi au mbunge hali yao itakua haina tofauti na kuanza kila mara upya. Ni vzr tukiwa na upinzani wenye kuleta mipango yao mizuri kwa Taifa na kuchallange Serikali kwa mipango inayofikirika na kuonekana katika maono sio kuendana na upepo wa ccm. Waache kucheza ngoma inayopigwa na CCM wacheze wanayoipiga wao wenyewe[emoji1317][emoji1317][emoji1303]
 
Wana bodi,

NI jambo la kujiuliza kama kweli wananchi ndio wanaodai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi au ni wanasiasa wanao tumia mbinu tofauti tofauti ku tekeleza wanacho hitaji. Vile vile ni vyema kama tukiji uliza swali lingine. Tangia mfumo wa vyama vingi ku anza Tanzania, je ilishawahi kutokea kwa chama cha upinzani kushindwa uchaguzi kwa sababu ya katiba au tume tuliyo nayo ya uchaguzi?

Nafikiri tukitafakari na kujiuliza maswali haya, tuta gundua kwamba kwa kiasi kikubwa, wahusika wote hawaku pata ridhaa ya wananchi.

Tuki jaribu kuangalia kama chama chenyewe kina kubalika na watanzania walio wengi tuna gundua kwamba kuna mambo mengi muhimu zaidi kuliko tume huru au katiba mpya vinavyo weza kuwa saidia kuwa na msingi nchini kwote. Ni muhimu kwa wao ku elekeza nguvu kazi kwenye kujenga chama chao kwanza
huyu kibaka wa kura ni wa kusikiliza kweli? kwenye kura za maoni CCM alipigwa vibaya mno akabebwa na babake mwendazake, kwenye kura za jimbo alipigwa vibaya mno akabebwa na Tume ya uchaguzi. Yaani kwa Shinyanga hakuna asiyejua haya.

Tanzania hii naisikitikia kwa kweli.
 
Back
Top Bottom