Hizo ni porojo tu kama porojo nyengine za waropokaji na wapayukajiSasa kwa nini wakati wa uchaguzi mnafukuza mawakala wa upinzani, mnaweka wasimamizi wa chama lenu, bado mnakuja na mabox feki ya kura? Why??? Hizo ndizo akiri kwa tafsiri yako eh?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ni porojo tu kama porojo nyengine za waropokaji na wapayukajiSasa kwa nini wakati wa uchaguzi mnafukuza mawakala wa upinzani, mnaweka wasimamizi wa chama lenu, bado mnakuja na mabox feki ya kura? Why??? Hizo ndizo akiri kwa tafsiri yako eh?
Neno hiloChadema wajitafakari kwanza waweke mipango yao ya muda mrefu kama watakua wakitegemea vigogo kutoka ccm waje wawape nafasi ya ugombea uraisi au mbunge hali yao itakua haina tofauti na kuanza kila mara upya. Ni vzr tukiwa na upinzani wenye kuleta mipango yao mizuri kwa Taifa na kuchallange Serikali kwa mipango inayofikirika na kuonekana katika maono sio kuendana na upepo wa ccm. Waache kucheza ngoma inayopigwa na CCM wacheze wanayoipiga wao wenyewe[emoji1317][emoji1317][emoji1303]
Na nyie ccm.msijimilikishe nchi.Neno hilo
Vipi kuhusu wanachama wa chama korokocho kuingia mbinguni?
Na nyie ccm.msijimilikishe nchi.Neno hilo
WaTz kwa unafiki nyie bwana hamjambo, Hivi Maalimu (RIP) aligombea mara ngapi?Chadema bado wana safari ndefu sana......
Si chama chenye kuaminika na Watanzania wa maeneo na kaliba zote (all walks of life).....
Mathalani Hichilema wa Zambia alishinda kwa kuwa na AGENDA za kinchi......Hichilema ameshinda baada ya YEYE binafsi kugombea mara 6....hii ni tofauti na SURA MPYA KILA CHAGUZI KWA WAGOMBEA WA URAIS WA CHADEMA....wao huangalia "popularity" ya wagombea ijapokuwa wana MAKANDOKANDO (this is really a setback).......
Hichilema ameshinda kwa kuwa ndani ya MUUNGANO wa vyama vyenye nguvu na ajenda KUNTU(kuaminika)........
Ukiwaangalia viongozi wa CHADEMA huoni uzalendo wa kweli kwa maslahi mapana ya TAIFA HILI.....
Mwangalie mtetezi wao huko Canada....LEMA...🤣
Mwangalie Tundu Lissu na siasa zake za "mivutano na kukosa staha ya kitanzania....."🤣🤣
Hakika CHADEMA ni ngumu kushinda CHAGUZI kuliko NGAMIA kupita TUNDU LA SINDANO.....
#SiempreJMT
#NchiKwanza
#KaziInaendelea
#ChanjoNiBoraKulikoTiba
Akili za wananchi wa kule ni tofauti sana. Hawaangalii vyama na hawana urafiki wa kudumu na watawala!Japo kuwa huna akili lakini ngoja nikusaidie , Hichilema aliambiwa kama hivi hivi ila leo ni rais wa Zambia
Ni muda wananchi mudai mapendekezo yenu bila woga, unafiki, uchama, umaeneo bali kwa ajili ya Tanzania yetu ya kesho na kesho kutwaWaTz kwa unafiki nyie bwana hamjambo, Hivi Maalimu (RIP) aligombea mara ngapi?
Tatizo la nchi hii linajulikana nalo ni mfumo wa chama tawala kushikamanishwa moja kwa moja na serikali, na hakuna mifumo ya kufanya checks and balance.... Mtu akishakuwa Rais nchi hii, ana mawaziri, kuna waziri wa Tamisemi ana mDED, kuna waziri mkuu ana Wakuu wa mikoa na na wilaya. inahitaji nguvu isiyokuwa ya kawaida mpinzani kupenya.
Acheni kujitoa ufahamu ati kuwa mpinzani nchi hii ni jambo rahisi, labda kwa wale akina Queen Sendika, Mzee wa ubwabwa, akina John cheyo na wengine kama hao. Ninyi wenyewe wana CCM hamuwezi kuwa wapinzani hata kwa dakika 10, ndio maana mnatumia ubabe kubaki madarakani, halafu mnakuja hapa kusema nyenyenye.
Akili za maccm zinajulikana kwamba ni za hovyo kwa kuwa wamelaaniwa kwa matendo yao.Wana bodi,
NI jambo la kujiuliza kama kweli wananchi ndio wanaodai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi au ni wanasiasa wanao tumia mbinu tofauti tofauti ku tekeleza wanacho hitaji. Vile vile ni vyema kama tukiji uliza swali lingine. Tangia mfumo wa vyama vingi ku anza Tanzania, je ilishawahi kutokea kwa chama cha upinzani kushindwa uchaguzi kwa sababu ya katiba au tume tuliyo nayo ya uchaguzi?
Nafikiri tukitafakari na kujiuliza maswali haya, tuta gundua kwamba kwa kiasi kikubwa, wahusika wote hawaku pata ridhaa ya wananchi.
Tuki jaribu kuangalia kama chama chenyewe kina kubalika na watanzania walio wengi tuna gundua kwamba kuna mambo mengi muhimu zaidi kuliko tume huru au katiba mpya vinavyo weza kuwa saidia kuwa na msingi nchini kwote. Ni muhimu kwa wao ku elekeza nguvu kazi kwenye kujenga chama chao kwanza
Alipata support ya wananchi. Sasa watz hata wakiona kura zao zinaibiwa wao wapo tuuuuu, badala ya kumtandika mhusika makofi mazito mazitoJapo kuwa huna akili lakini ngoja nikusaidie , Hichilema aliambiwa kama hivi hivi ila leo ni rais wa Zambia
Watoto huwa hawasomi historiaHichilema chama chake kilikua ndo chama Cha ukombozi
Kwanza chadema ni chama kinachopendwa na watu wengi kuliko hata ccm , ukibisha ebu waambie waruhusu mikutano ndo utajuaWana bodi,
NI jambo la kujiuliza kama kweli wananchi ndio wanaodai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi au ni wanasiasa wanao tumia mbinu tofauti tofauti ku tekeleza wanacho hitaji. Vile vile ni vyema kama tukiji uliza swali lingine. Tangia mfumo wa vyama vingi ku anza Tanzania, je ilishawahi kutokea kwa chama cha upinzani kushindwa uchaguzi kwa sababu ya katiba au tume tuliyo nayo ya uchaguzi?
Nafikiri tukitafakari na kujiuliza maswali haya, tuta gundua kwamba kwa kiasi kikubwa, wahusika wote hawaku pata ridhaa ya wananchi.
Tuki jaribu kuangalia kama chama chenyewe kina kubalika na watanzania walio wengi tuna gundua kwamba kuna mambo mengi muhimu zaidi kuliko tume huru au katiba mpya vinavyo weza kuwa saidia kuwa na msingi nchini kwote. Ni muhimu kwa wao ku elekeza nguvu kazi kwenye kujenga chama chao kwanza
We chizi kweli unafananisha Hichilema na matapeli Chadema wakiongozwa na Mbowe?Japo kuwa huna akili lakini ngoja nikusaidie , Hichilema aliambiwa kama hivi hivi ila leo ni rais wa Zambia
Wana bodi,
NI jambo la kujiuliza kama kweli wananchi ndio wanaodai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi au ni wanasiasa wanao tumia mbinu tofauti tofauti ku tekeleza wanacho hitaji. Vile vile ni vyema kama tukiji uliza swali lingine. Tangia mfumo wa vyama vingi ku anza Tanzania, je ilishawahi kutokea kwa chama cha upinzani kushindwa uchaguzi kwa sababu ya katiba au tume tuliyo nayo ya uchaguzi?
Nafikiri tukitafakari na kujiuliza maswali haya, tuta gundua kwamba kwa kiasi kikubwa, wahusika wote hawaku pata ridhaa ya wananchi.
Tuki jaribu kuangalia kama chama chenyewe kina kubalika na watanzania walio wengi tuna gundua kwamba kuna mambo mengi muhimu zaidi kuliko tume huru au katiba mpya vinavyo weza kuwa saidia kuwa na msingi nchini kwote. Ni muhimu kwa wao ku elekeza nguvu kazi kwenye kujenga chama chao kwanza
Mkuu habari za ChatoWe chizi kweli unafananisha Hichilema na matapeli Chadema wakiongozwa na Mbowe?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wewe ni bonge la pambaf, hakuna haja ya kukujadiliWana bodi,
NI jambo la kujiuliza kama kweli wananchi ndio wanaodai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi au ni wanasiasa wanao tumia mbinu tofauti tofauti ku tekeleza wanacho hitaji. Vile vile ni vyema kama tukiji uliza swali lingine. Tangia mfumo wa vyama vingi ku anza Tanzania, je ilishawahi kutokea kwa chama cha upinzani kushindwa uchaguzi kwa sababu ya katiba au tume tuliyo nayo ya uchaguzi?
Nafikiri tukitafakari na kujiuliza maswali haya, tuta gundua kwamba kwa kiasi kikubwa, wahusika wote hawaku pata ridhaa ya wananchi.
Tuki jaribu kuangalia kama chama chenyewe kina kubalika na watanzania walio wengi tuna gundua kwamba kuna mambo mengi muhimu zaidi kuliko tume huru au katiba mpya vinavyo weza kuwa saidia kuwa na msingi nchini kwote. Ni muhimu kwa wao ku elekeza nguvu kazi kwenye kujenga chama chao kwanza
Kwanza kabisa naomba uelewe kwamba nina amini katiba mpya na tume huru vinaweza kuwa na manufaa kwa watanzania ila kwasababu ambazo hatufahamu, serikali haikubaliani na wahusika wanaodai mabadiliko haya. Ningependa sana kufahamu ni vipengele vipi au ni vitu vipi haswa ambavyo ni vya kipaumbele kwenye katiba inayo pendekezwa.Akili za maccm zinajulikana kwamba ni za hovyo kwa kuwa wamelaaniwa kwa matendo yao.
1:Unaposema takwa la Katiba Mpya sio takwa la wananchi ni takwa la CHADEMA,Maccm mjuavyo wanachadema sio wananchi,Ni upuuzi
2:Aliekuambia kulikuwa na uchaguzi mkuu (General Election 2020) ni nani?upo ushahidi wa picha mnato na watu wengine ambao ni Eye witness wa jinsi maccm yakishirikiana na Polisi(Policcm) kuweka kura kwenye masanduku zilizokuwa zimeshapigwa kabla na maeneo mengine kura zilipigwa na wasimamizi wakati mawakala wakiwa wamezuiliwa nje,kimsingi it was not only rigging bali uporaji wa mfumo mzima wa uchaguzi.
3:Kuhusu uwepo wa tume huru ya uchaguzi,Kasome ripoti ya TEMCO uone jinsi ripoti hiyo inavyobainisha kutokuwepo kwa tume huru ya uchaguzi TZ na ripoti hiyo ni ya miaka ya 97...
Kasome gazeti la daily news la tarehe 10 oct,1995 uone mahojiano kati ya gazeti hilo la serikali lilivyifanya mahojiano na m/kiti wa NEC wa wakati huo Jaji Lewis Makame,utaona alivyokiri NEC kutokuwa huru.
ndo utajua hujui sio kuja na kelele zako hapa nyenyenyee!!!
4:Unasema chadema wakajenge chama huko chini ,hujui kwamba program ya Chadema ni msingi ilianza rasmi 2014 ikitekelezwa kuanzia ngazi ya chini kabisa ya kiutawala ambako jamii iliko,program activities ni pamoja na kuandikisha wanachama wapya na kuwatambua wa zamani,training mbalimbali kuhusu uongozi nk...na kwa sasa program hiyo inatekelezwa kwa njia ambayo inaendana na ulimwengu wa sasa,ndio maana ikazinduliwa Chadema digital na inaendelea kutekelezwa,lkn mlivyokuwa mmeisha kisiasa na hamna hoja tena mnatumia polisi kuzuia shughuli halali za kisiasa ambazo zina baraka ya katiba.kila kukicha mnawatumia polisi kuzuia shughuli za kujijenga,halafu anatoka kada wa maccm anaropoka eti kajengeni chama...Upumbavu
Leo tunahitaji katiba mpya mchakato ambao ulishaanza chini ya jaji Warioba na hakika itapatikana maana wananchi tunaihitaji
#WenyeNchiniWananchi
ujinga nao ni kipajiWana bodi,
NI jambo la kujiuliza kama kweli wananchi ndio wanaodai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi au ni wanasiasa wanao tumia mbinu tofauti tofauti ku tekeleza wanacho hitaji. Vile vile ni vyema kama tukiji uliza swali lingine. Tangia mfumo wa vyama vingi ku anza Tanzania, je ilishawahi kutokea kwa chama cha upinzani kushindwa uchaguzi kwa sababu ya katiba au tume tuliyo nayo ya uchaguzi?
Nafikiri tukitafakari na kujiuliza maswali haya, tuta gundua kwamba kwa kiasi kikubwa, wahusika wote hawaku pata ridhaa ya wananchi.
Tuki jaribu kuangalia kama chama chenyewe kina kubalika na watanzania walio wengi tuna gundua kwamba kuna mambo mengi muhimu zaidi kuliko tume huru au katiba mpya vinavyo weza kuwa saidia kuwa na msingi nchini kwote. Ni muhimu kwa wao ku elekeza nguvu kazi kwenye kujenga chama chao kwanza
Naona unatafuta bwana kwa nguvu.Unataka ukamshikie zamu?