Pre GE2025 CHADEMA kuingiza nchini magari mapya zaidi ya 25 kwa kazi maalumu kuelekea uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Magari hayo ni ya kimkakati na kazi maalumu. Yatasambazwa kwenye kila kanda, katika kanda zote za kichama nchi nzima. Magari haya yatakua chini ya usimamizi wa viongozi waandamizi wa kanda watakaochaguliwa hivi karibuni katika uchaguzi wa ndani ya chama unaondelea. Mnyetishaji alisisitiza.

Madhumuni ya magari haya muhimu ya kimkakati, ni ili kuyafikia malengo mahususi yaliyowekwa, na yaliyokusudiwa kufikiwa na chama kuelekea uchaguzi wa serikali za mtaa na uchaguzi mkuu ujao.

Haijafahamika bayana bado, kwamba miongoni mwa gari hizo za kimkakati, the second in comand chadema, nae ataongezewa gari la pili, baada ya kuomba kuchangiwa gari jingine na wanainchi....
pia kama gari hilo la mchango, litakua la chama au binafsi, itafahamika yatakapofika hayo mengine...

Lets wait and see, time will tell...

Until next time πŸ’
 
Tunakushukuru kwa tetesi
 
Pesa watatoa wapi wakati unaona michango tu ya kumnunulia Lissu gari inatoka kwa mbinde. Hela zingekuwepo wangenunua hata gari la ofisi ya makamu lakini hela hakuna mpaka makamu wao akataka aanze kutembelea gari lililokosa nuru.
Hv Lissu alipata cheo cha umakamu lini mana mm nimekuja kushtuka tuu kwenye uchaguzi wa 2020 ety n makamu
 
huenda hakuwepo kwenye kikao hicho muhimu, na hakujua kama kuna magari ya chama yanakuja πŸ’
Makamu mwenyekiti hakuwepo kwenye kikao cha chama πŸ˜‚ bc sawa

ndio yaleyale, aliulizwa pesa za join the chain zilipatikana sh ngapi ety hilo swali aulizwe katibu πŸ˜‚

Yn maswala ya chama kitaifa hayajulikani na makamu mwenyekiti wa chama πŸ˜‚
 
kiukweli ukata wa fedha umetia kambi na kujikita mizizi chadema πŸ’

wanasema hii issue ya lisu na kuchangiwa ni kibinafsi, na kuna kamgomo na mgawanyiko miongoni mwa wanachadema, wapo wanapinga hii habari kwamba ni tabia na mazoea mabaya kuomba omba, na wengine wanakubali aibu iendelee tyu πŸ’
Pesa watatoa wapi wakati unaona michango tu ya kumnunulia Lissu gari inatoka kwa mbinde. Hela zingekuwepo wangenunua hata gari la ofisi ya makamu lakini hela hakuna mpaka makamu wao akataka aanze kutembelea gari lililokosa nuru.
 
ana ratiba nyingi na ngumu sana za kazi mbalimbali, kitaifa na kimataifa, so mambo mengine yanampita....

huenda haulizagi hata matokeo au feedback za vikao alivyo kosa kuhudhuria πŸ’
 
Pesa watatoa wapi wakati unaona michango tu ya kumnunulia Lissu gari inatoka kwa mbinde. Hela zingekuwepo wangenunua hata gari la ofisi ya makamu lakini hela hakuna mpaka makamu wao akataka aanze kutembelea gari lililokosa nuru.
Kwani PESA ZA KUNUNUA FOMU Walimu wamezitoa wapi?Zile 300 walizolipa Mahakama ya Kisutu Shangazi yako alichanga?
 
Mkuu usijiingize kwenye kundi la kupotosha habari, hakuna mahali Mheshimiwa Lisu ameomba kuchangiwa gari. Mkuu unaongopa ili iweje?? Watu kwa hiyari na mapenzi yao ameamua kuchangia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…