Pre GE2025 CHADEMA kuingiza nchini magari mapya zaidi ya 25 kwa kazi maalumu kuelekea uchaguzi

Pre GE2025 CHADEMA kuingiza nchini magari mapya zaidi ya 25 kwa kazi maalumu kuelekea uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Safari hii kuna kazi. Tunataka uchaguzi ulio HURU na wa HAKI.
huo ni dhahiri na bayana kabisaa uchaguzi huru,wa haki na wawazi, upo chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan 🐒

vyama vya siasa vinaamini hivyo, taasisi za dini na kiraia vinaamini hivyo, taasisi za kitaifa na kimataifa zinaamini hivyo, jumuiya ya kimataifa inaamini uchaguzi mkuu wa mwaka ujao ni uchaguzi Huru sana, wa Wazi sana na wa Haki sana kwakweli🐒
 
wapo wote wap gentleman🐒

wakati timu mwamba wa kaskazini wanafakafoka kama wana hip-hop kwamba huyu muungwana aondolewe tu kwenye chama kwasabb anatumia chama kwa manufaa yake binafsi, anakiabisha na kukufedhehesha chama kwenye jamii, anakigawanya na kukimegua chama, anakidhoofisha na kukidhalilisha chama 🐒

Kwan mchangisha pesa ngapi mpak sasa 🐒
Chadema itawalaza na viatu mwaka huu, na bado sio mda mtaanza tembea mnaongea peke yenu, ndani ya chadema wakifarakana si ndo furaha kwa ccm sasa kinachowaumiza ni nini jamani , jengeni chama chenu ya chadema hayawahusu
 
Hivi zile za zamani kwenye uchaguzi zipo au wamegawana spea kama bado basi wanajitahidi sana kuwa waaminifu
 
tusingependa kuona watu wanaumiza kwa mambo madogo madogo ingawa siasa ni kujipanga my friend 🐒

naskia second in command anatarajia kumpiga ambush ya nguvu, kumtoa mwamba wa kaskazini kwenye kiti, ambush zaidi ya ile ya James mbatia alipigwa nccr mageuzi 🤣
 
Magari hayo ni ya kimkakati na kazi maalumu. Yatasambazwa kwenye kila kanda, katika kanda zote za kichama nchi nzima. Magari haya yatakua chini ya usimamizi wa viongozi waandamizi wa kanda watakaochaguliwa hivi karibuni katika uchaguzi wa ndani ya chama unaondelea. Mnyetishaji alisisitiza.

Madhumuni ya magari haya muhimu ya kimkakati, ni ili kuyafikia malengo mahususi yaliyowekwa, na yaliyokusudiwa kufikiwa na chama kuelekea uchaguzi wa serikali za mtaa na uchaguzi mkuu ujao.

Haijafahamika bayana bado, kwamba miongoni mwa gari hizo za kimkakati, the second in comand chadema, nae ataongezewa gari la pili, baada ya kuomba kuchangiwa gari jingine na wanainchi....
pia kama gari hilo la mchango, litakua la chama au binafsi, itafahamika yatakapofika hayo mengine...

Lets wait and see, time will tell...

Until next time 🐒
Zile double Kebin mlizouziana zimeendaaa wapi hahahahahaaa
Kifoohakinahurumaaaa...
 
Hivi zile za zamani kwenye uchaguzi zipo au wamegawana spea kama bado basi wanajitahidi sana kuwa waaminifu
zile m4c zimebaki mbili tu pale HQ moja mbovu 🤣

zingine hazijulikani zilipo,
ingawa wanyetishaji wanasema zinaonekana kufanya kazi binafsi hususan za shamba na ujenzi kwa waandamizi kadhaa 🐒
 
Zile double Kebin mlizouziana zimeendaaa wapi hahahahahaaa
Kifoohakinahurumaaaa...
ziko mbili tu pale HQ moja mbovu 🤣

zingine hazijulikani zilipo 🐒
 
HIKI CHAMAA KIMELAAANIWA NDIO MAANA YANAZUKA VITUKOIIMKILA SIKU

SHIDAAA MLISHAAPQ MBELEEE YA WATANZANIA WAFUASI WENUU NA KIONGOZII WENY MKUBWAAA TU HAMTASHIRIKII UCHAGUZI WOWOTEE MPAKA MPATE KATIBAA MPYAA

HEEE GAAAA UCHAGUZI MDOGO ......MMO
MARA UCHAGUZI WA....MUMOOOOO

ILEE LAANA YA KUWADANGANYA WANANCHI HAIWAACHI VIONGOZI WARUDI WASEME TU ETENGEUA KAULI TUNASHIRIKI JAMAN CHAGUZI NJAA IMEZIDI HAKUNAJINSI SIMPLE
 
zile m4c zimebaki mbili tu pale HQ moja mbovu 🤣

zingine hazijulikani zilipo,
ingawa wanyetishaji wanasema zinaonekana kufanya kazi binafsi hususan za shamba na ujenzi kwa waandamizi kadhaa 🐒
WALIGAIANAAAA MKUU ZINGINE ZIKOOSIA HUKU OOOOOOH MIINI SHULE VIJIJIN UPENDE MWEMYEWE
 
zile m4c zimebaki mbili tu pale HQ moja mbovu 🤣

zingine hazijulikani zilipo,
ingawa wanyetishaji wanasema zinaonekana kufanya kazi binafsi hususan za shamba na ujenzi kwa waandamizi kadhaa 🐒
Nilitaka kushangaa kuwa kuna chama wanaangalia mali 😄 🤣
Basi kote majizi
 
hayo magari yakifika watasema wanadaiwa wanaomba wtz wachangie chochote kitu kile walipe deni
it might be, 🐒
because in politics nothing happens out of mere coincidence, everythings are normally well planned, organized and executed in different ways to achieve specific political objectives 🐒
 
hayo magari yakifika watasema wanadaiwa wanaomba wtz wachangie chochote kitu kile walipe deni
USINICHEKESHE MICHANGO YA YULE JAMAA SIJUI ANAITWA NANI WALI.WEKA NDAN WANAJUA ANAACHILIWA SOON IKAPITA SUFURIA GAAFLA JAMAA NJE

KUULIZWA MICHANGO MNAPELEKA WAPI SASA ATI KWA YATIMA NA WAJANE

NCHIHIII SIAMI NIKIAMA LABDA NIENDE 🇺🇦
 
it might be, 🐒
because in politics nothing happens out of mere coincidence, everythings are normally well planned, organized and executed in different ways to achieve specific political objectives 🐒
ila for chadema ni wizi mtupu ngoja tuone wanamichango as if serikali ya mtaa
 
USINICHEKESHE MICHANGO YA YULE JAMAA SIJUI ANAITWA NANI WALI.WEKA NDAN WANAJUA ANAACHILIWA SOON IKAPITA SUFURIA GAAFLA JAMAA NJE

KUULIZWA MICHANGO MNAPELEKA WAPI SASA ATI KWA YATIMA NA WAJANE

NCHIHIII SIAMI NIKIAMA LABDA NIENDE 🇺🇦
na je walipo peleka iyo michango kwa wajane waliita waandishi wa Habari kam walivyo fanya pindi wanaomba michango?
 
na je walipo peleka iyo michango kwa wajane waliita waandishi wa Habari kam walivyo fanya pindi wanaomba michango?
mambo ya pesa kwenye kuchangia tu ndio live, matumizi si muhimu sana kujulikana wala watu kujua 🐒
 
umema ukweli gentleman,

Je, huoni hiyo itachochea mgawanyiko, kukimega na kukudhoofisha chama kama jambo hilo litakua intatained ? 🐒
Ni mitazamo ya watu,(mind set),, huwezi jua huenda wanaishi km familia ambapo hata mimi siwezi, ila siasa Zina mengi ukiyafuatilia utakuwa chizi ama kupoteza rasilimali zako
 
Back
Top Bottom