Pre GE2025 CHADEMA kuingiza nchini magari mapya zaidi ya 25 kwa kazi maalumu kuelekea uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Magari hayo ni ya kimkakati na kazi maalumu. Yatasambazwa kwenye kila kanda, katika kanda zote za kichama nchi nzima. Magari haya yatakua chini ya usimamizi wa viongozi waandamizi wa kanda watakaochaguliwa hivi karibuni katika uchaguzi wa ndani ya chama unaondelea. Mnyetishaji alisisitiza.

Madhumuni ya magari haya muhimu ya kimkakati, ni ili kuyafikia malengo mahususi yaliyowekwa, na yaliyokusudiwa kufikiwa na chama kuelekea uchaguzi wa serikali za mtaa na uchaguzi mkuu ujao.

Haijafahamika bayana bado, kwamba miongoni mwa gari hizo za kimkakati, the second in comand chadema, nae ataongezewa gari la pili, baada ya kuomba kuchangiwa gari jingine na wanainchi....
pia kama gari hilo la mchango, litakua la chama au binafsi, itafahamika yatakapofika hayo mengine...

Lets wait and see, time will tell...

Until next time 🐒
Kwani tumeshapata katiba mpya? Au inatosha kubadilisha jina kuwa Tume Huru ya uchaguzi. Nakumbuka walisema hawashiriki
 
ana ratiba nyingi na ngumu sana za kazi mbalimbali, kitaifa na kimataifa, so mambo mengine yanampita....

huenda haulizagi hata matokeo au feedback za vikao alivyo kosa kuhudhuria 🐒
Chadema bhana 😂 hamkosi sababu, kwahy huyo makamu mwenyekiti wenu hua ana taarifa gani za chama.?
 
Mimi hofu yangu ni tume ya uchaguzi tu.

Chadema hata ikitumia baiskeli na guta inashinda uchaguzi, lkn tume itafanya yake.
uchaguzi wa kanda sio? Kwan unasimamiwa na tume huru?

mnyetishaji wa tetesi alinitonya kwamba kinachoendelea kwenye uchaguzi wa ndani ni mapambano baina ya chairman vs vice chairman Taifa , nani atazoa waandamizi wa kikanda wengi zaid na huyo ndie atakua mwenye maamuzi com 2025🐒
 
Magari hayo ni ya kimkakati na kazi maalumu. Yatasambazwa kwenye kila kanda, katika kanda zote za kichama nchi nzima. Magari haya yatakua chini ya usimamizi wa viongozi waandamizi wa kanda watakaochaguliwa hivi karibuni katika uchaguzi wa ndani ya chama unaondelea. Mnyetishaji alisisitiza.

Madhumuni ya magari haya muhimu ya kimkakati, ni ili kuyafikia malengo mahususi yaliyowekwa, na yaliyokusudiwa kufikiwa na chama kuelekea uchaguzi wa serikali za mtaa na uchaguzi mkuu ujao.

Haijafahamika bayana bado, kwamba miongoni mwa gari hizo za kimkakati, the second in comand chadema, nae ataongezewa gari la pili, baada ya kuomba kuchangiwa gari jingine na wanainchi....
pia kama gari hilo la mchango, litakua la chama au binafsi, itafahamika yatakapofika hayo mengine...

Lets wait and see, time will tell...

Until next time 🐒
Tetesi!
 
Kwakutumia akili mnembo Hilo linalo changiwa litakuwa la familia
 
Mchango wa gari la Lissu unawarusha roho paka wa CCM.😂😂😂
sasa sasa nyie wenye roho nyeupe kama pamba,

si mngeachana na mgomo wa kibaguzi na mgawanyiko, wa mara sijui mimi ni wa upande wa chairman ombaomba ni tabia mbaya ya aibu au upande wa vice chairman kwamba kazi yake ni kuhurumiwa tu, saizi mngekua mngechangia na kufikisha zaidi 1bilioni ,🐒
 
Mkuu usijiingize kwenye kundi la kupotosha habari, hakuna mahali Mheshimiwa Lisu ameomba kuchangiwa gari. Mkuu unaongopa ili iweje?? Watu kwa hiyari na mapenzi yao ameamua kuchangia.
huenda unafanya makusudi, hufahamu au unapendelea watu waamini upotoshaji wako 🐒

kwa kinywa na mdomo wake muungwana ameomba kuchangiwa gari hadharini na mara moja ikaleta mgawanyiko miongoni mwa wanachadema 🐒

na ndio maana unaona kusuasua kwa michango yenyewe. hiyo tabia mbaya na ya fedheha ya kuombaomba na kuchangiwa ingeungwa mkono na Chadema wote leo hii zingekusanywa zaidi ya 1bilioni 🐒
 
Lissu hajaomba gari ila wananchi tutamchangia na kununua gari jipyaaa na tutamkabidhi hivyo wenye wivu wajipange KUJINYONGA
hakuna mwenye wivu chadema ila wanajiskia aibu tu mbona ni yeye tu kuombaomba na kuchangiwa, hii tabia mbaya inakomaa isichekelewe ni fedheha kwa chama 🐒
 
Kwani tumeshapata katiba mpya? Au inatosha kubadilisha jina kuwa Tume Huru ya uchaguzi. Nakumbuka walisema hawashiriki
wamekubali hadharini, kushiriki kikamilifu uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu, lakini pia na uchaguzi mkuu mwaka ujao 🐒
 
sasa sasa nyie wenye roho nyeupe kama pamba,

si mngeachana na mgomo wa kibaguzi na mgawanyiko, wa mara sijui mimi ni wa upande wa chairman ombaomba ni tabia mbaya ya aibu au upande wa vice chairman kwamba kazi yake ni kuhurumiwa tu, saizi mngekua mngechangia na kufikisha zaidi 1bilioni ,🐒
Bado ni walewale tu.
 
Chadema bhana 😂 hamkosi sababu, kwahy huyo makamu mwenyekiti wenu hua ana taarifa gani za chama.?
mara nyingi hua anabuni tu, na kudeal na habari na taarifa anazoona zinafaa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari kama hajajulishwa na spy wake ndani ya kamati kuu. huwa anajiita special genius 🐒
 
Hawana hela
sure,
hela hawana na ndio maana wanapitisha bakuli kitaifa na kimataifa ili kuficha aibu huko mbeleni, kwamba chadema ndio chama kikubwa cha upinzan halafu eti hakina gari hata kwaajili ya waandamizi tu?, dah 🐒
 
Back
Top Bottom