Pre GE2025 CHADEMA kuingiza nchini magari mapya zaidi ya 25 kwa kazi maalumu kuelekea uchaguzi

Pre GE2025 CHADEMA kuingiza nchini magari mapya zaidi ya 25 kwa kazi maalumu kuelekea uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
hawa nao ni kausha damu tu wakiona wana njaa hao kuanzisha michango zikiisha hela za ruzuku michango hiyo
naona ni kausha damu ya mtindo mpya, inayoelekea kua aina flani ya nyumba ya maombezi, lakini ni ya kuchangiwa fedha na mali 🐒
 
Ni mitazamo ya watu,(mind set),, huwezi jua huenda wanaishi km familia ambapo hata mimi siwezi, ila siasa Zina mengi ukiyafuatilia utakuwa chizi ama kupoteza rasilimali zako
sure,
kuna shift ya mindset na spiritual beliefs miongoni mwa watu katika siasa,
imekua ngumu sana watu sasa hivi kuwachangia wahitaji wenye matatizo mazito na wasiojiweza maeneo mbalimbali wanaomba kuchangiwa lakini imekua ngumu,

ila kwa mtu mzima mwenye akili timamu, afya njema, na nguvu ya kufanya kazi anatengeneza imotional script ili attract tension, aonewe huruma kisha atupie ombi la kuchangiwa, dah dunia inaenda kasi sana aise 🐒
 
Opportunity seekers, wanaziona fursa nakuzifuata wengine wanabaki kupiga kelele tu wanaambulia kupiga kelele wakati watu wanapiga pesa Tena easy money,(kutii Bila shuruti)., Kuchangia Tena kwa roho kwatu, navigelegele juuu, ululluuluu!
 
Back
Top Bottom