Pre GE2025 CHADEMA kuingiza nchini magari mapya zaidi ya 25 kwa kazi maalumu kuelekea uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwani tumeshapata katiba mpya? Au inatosha kubadilisha jina kuwa Tume Huru ya uchaguzi. Nakumbuka walisema hawashiriki
 
ana ratiba nyingi na ngumu sana za kazi mbalimbali, kitaifa na kimataifa, so mambo mengine yanampita....

huenda haulizagi hata matokeo au feedback za vikao alivyo kosa kuhudhuria πŸ’
Chadema bhana πŸ˜‚ hamkosi sababu, kwahy huyo makamu mwenyekiti wenu hua ana taarifa gani za chama.?
 
Mimi hofu yangu ni tume ya uchaguzi tu.

Chadema hata ikitumia baiskeli na guta inashinda uchaguzi, lkn tume itafanya yake.
uchaguzi wa kanda sio? Kwan unasimamiwa na tume huru?

mnyetishaji wa tetesi alinitonya kwamba kinachoendelea kwenye uchaguzi wa ndani ni mapambano baina ya chairman vs vice chairman Taifa , nani atazoa waandamizi wa kikanda wengi zaid na huyo ndie atakua mwenye maamuzi com 2025πŸ’
 
Tetesi!
 
Kwakutumia akili mnembo Hilo linalo changiwa litakuwa la familia
 
Mchango wa gari la Lissu unawarusha roho paka wa CCM.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
sasa sasa nyie wenye roho nyeupe kama pamba,

si mngeachana na mgomo wa kibaguzi na mgawanyiko, wa mara sijui mimi ni wa upande wa chairman ombaomba ni tabia mbaya ya aibu au upande wa vice chairman kwamba kazi yake ni kuhurumiwa tu, saizi mngekua mngechangia na kufikisha zaidi 1bilioni ,πŸ’
 
Mkuu usijiingize kwenye kundi la kupotosha habari, hakuna mahali Mheshimiwa Lisu ameomba kuchangiwa gari. Mkuu unaongopa ili iweje?? Watu kwa hiyari na mapenzi yao ameamua kuchangia.
huenda unafanya makusudi, hufahamu au unapendelea watu waamini upotoshaji wako πŸ’

kwa kinywa na mdomo wake muungwana ameomba kuchangiwa gari hadharini na mara moja ikaleta mgawanyiko miongoni mwa wanachadema πŸ’

na ndio maana unaona kusuasua kwa michango yenyewe. hiyo tabia mbaya na ya fedheha ya kuombaomba na kuchangiwa ingeungwa mkono na Chadema wote leo hii zingekusanywa zaidi ya 1bilioni πŸ’
 
Lissu hajaomba gari ila wananchi tutamchangia na kununua gari jipyaaa na tutamkabidhi hivyo wenye wivu wajipange KUJINYONGA
hakuna mwenye wivu chadema ila wanajiskia aibu tu mbona ni yeye tu kuombaomba na kuchangiwa, hii tabia mbaya inakomaa isichekelewe ni fedheha kwa chama πŸ’
 
Kwani tumeshapata katiba mpya? Au inatosha kubadilisha jina kuwa Tume Huru ya uchaguzi. Nakumbuka walisema hawashiriki
wamekubali hadharini, kushiriki kikamilifu uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu, lakini pia na uchaguzi mkuu mwaka ujao πŸ’
 
Bado ni walewale tu.
 
Chadema bhana πŸ˜‚ hamkosi sababu, kwahy huyo makamu mwenyekiti wenu hua ana taarifa gani za chama.?
mara nyingi hua anabuni tu, na kudeal na habari na taarifa anazoona zinafaa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari kama hajajulishwa na spy wake ndani ya kamati kuu. huwa anajiita special genius πŸ’
 
Hawana hela
sure,
hela hawana na ndio maana wanapitisha bakuli kitaifa na kimataifa ili kuficha aibu huko mbeleni, kwamba chadema ndio chama kikubwa cha upinzan halafu eti hakina gari hata kwaajili ya waandamizi tu?, dah πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…