huo ni dhahiri na bayana kabisaa uchaguzi huru,wa haki na wawazi, upo chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan πSafari hii kuna kazi. Tunataka uchaguzi ulio HURU na wa HAKI.
Chadema itawalaza na viatu mwaka huu, na bado sio mda mtaanza tembea mnaongea peke yenu, ndani ya chadema wakifarakana si ndo furaha kwa ccm sasa kinachowaumiza ni nini jamani , jengeni chama chenu ya chadema hayawahusuwapo wote wap gentlemanπ
wakati timu mwamba wa kaskazini wanafakafoka kama wana hip-hop kwamba huyu muungwana aondolewe tu kwenye chama kwasabb anatumia chama kwa manufaa yake binafsi, anakiabisha na kukufedhehesha chama kwenye jamii, anakigawanya na kukimegua chama, anakidhoofisha na kukidhalilisha chama π
Kwan mchangisha pesa ngapi mpak sasa π
tusingependa kuona watu wanaumiza kwa mambo madogo madogo ingawa siasa ni kujipanga my friend πChadema itawalaza na viatu mwaka huu, na bado sio mda mtaanza tembea mnaongea peke yenu, ndani ya chadema wakifarakana si ndo furaha kwa ccm sasa kinachowaumiza ni nini jamani , jengeni chama chenu ya chadema hayawahusu
Zile double Kebin mlizouziana zimeendaaa wapi hahahahahaaaMagari hayo ni ya kimkakati na kazi maalumu. Yatasambazwa kwenye kila kanda, katika kanda zote za kichama nchi nzima. Magari haya yatakua chini ya usimamizi wa viongozi waandamizi wa kanda watakaochaguliwa hivi karibuni katika uchaguzi wa ndani ya chama unaondelea. Mnyetishaji alisisitiza.
Madhumuni ya magari haya muhimu ya kimkakati, ni ili kuyafikia malengo mahususi yaliyowekwa, na yaliyokusudiwa kufikiwa na chama kuelekea uchaguzi wa serikali za mtaa na uchaguzi mkuu ujao.
Haijafahamika bayana bado, kwamba miongoni mwa gari hizo za kimkakati, the second in comand chadema, nae ataongezewa gari la pili, baada ya kuomba kuchangiwa gari jingine na wanainchi....
pia kama gari hilo la mchango, litakua la chama au binafsi, itafahamika yatakapofika hayo mengine...
Lets wait and see, time will tell...
Until next time π
zile m4c zimebaki mbili tu pale HQ moja mbovu π€£Hivi zile za zamani kwenye uchaguzi zipo au wamegawana spea kama bado basi wanajitahidi sana kuwa waaminifu
WALIGAIANAAAA MKUU ZINGINE ZIKOOSIA HUKU OOOOOOH MIINI SHULE VIJIJIN UPENDE MWEMYEWEzile m4c zimebaki mbili tu pale HQ moja mbovu π€£
zingine hazijulikani zilipo,
ingawa wanyetishaji wanasema zinaonekana kufanya kazi binafsi hususan za shamba na ujenzi kwa waandamizi kadhaa π
Nilitaka kushangaa kuwa kuna chama wanaangalia mali π π€£zile m4c zimebaki mbili tu pale HQ moja mbovu π€£
zingine hazijulikani zilipo,
ingawa wanyetishaji wanasema zinaonekana kufanya kazi binafsi hususan za shamba na ujenzi kwa waandamizi kadhaa π
it might be, πhayo magari yakifika watasema wanadaiwa wanaomba wtz wachangie chochote kitu kile walipe deni
USINICHEKESHE MICHANGO YA YULE JAMAA SIJUI ANAITWA NANI WALI.WEKA NDAN WANAJUA ANAACHILIWA SOON IKAPITA SUFURIA GAAFLA JAMAA NJEhayo magari yakifika watasema wanadaiwa wanaomba wtz wachangie chochote kitu kile walipe deni
ila for chadema ni wizi mtupu ngoja tuone wanamichango as if serikali ya mtaait might be, π
because in politics nothing happens out of mere coincidence, everythings are normally well planned, organized and executed in different ways to achieve specific political objectives π
na je walipo peleka iyo michango kwa wajane waliita waandishi wa Habari kam walivyo fanya pindi wanaomba michango?USINICHEKESHE MICHANGO YA YULE JAMAA SIJUI ANAITWA NANI WALI.WEKA NDAN WANAJUA ANAACHILIWA SOON IKAPITA SUFURIA GAAFLA JAMAA NJE
KUULIZWA MICHANGO MNAPELEKA WAPI SASA ATI KWA YATIMA NA WAJANE
NCHIHIII SIAMI NIKIAMA LABDA NIENDE πΊπ¦
hawa nao ni kausha damu tu wakiona wana njaa hao kuanzisha michango zikiisha hela za ruzuku michango hiyomambo ya pesa kwenye kuchangia tu ndio live, matumizi si muhimu sana kujulikana wala watu kujua π
Ni mitazamo ya watu,(mind set),, huwezi jua huenda wanaishi km familia ambapo hata mimi siwezi, ila siasa Zina mengi ukiyafuatilia utakuwa chizi ama kupoteza rasilimali zakoumema ukweli gentleman,
Je, huoni hiyo itachochea mgawanyiko, kukimega na kukudhoofisha chama kama jambo hilo litakua intatained ? π