sure,
kuna shift ya mindset na spiritual beliefs miongoni mwa watu katika siasa,
imekua ngumu sana watu sasa hivi kuwachangia wahitaji wenye matatizo mazito na wasiojiweza maeneo mbalimbali wanaomba kuchangiwa lakini imekua ngumu,
ila kwa mtu mzima mwenye akili timamu, afya njema, na nguvu ya kufanya kazi anatengeneza imotional script ili attract tension, aonewe huruma kisha atupie ombi la kuchangiwa, dah dunia inaenda kasi sana aise π