Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Kukaa kimya ni jambo baya zaidi , wacha dunia ioneNaona ugumu katika kesi hii, ila kama wangelikuwa majaji wa dhahabu akina Lugakingira, Mwalusanya hii ilikuwa kesi nyepesi sana, maana sheria hii ina ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu! Lakini kwa combination ya timu hii, ni vigumu kupata la maana
Toothless Parliament, Powerless Courts, and Omnipotent President
View attachment 1308742
Cheka leo lakini tambua kwamba Shetani hana rafiki .Tunafungua mwaka kwa kesi za kupinga uhujumu uchumi!
Wahujumu uchumi Ni wale wasiotaka wakaguliwe vilivyo na vyombo halali vya kukagua hesabu za matumizi ya fedha za nchi. Hawa wanaokamatwa ni wakosoaji tu wa mtukufu!!Tunafungua mwaka kwa kesi za kupinga uhujumu uchumi!
Chadema wamekuwa watu wa ajabu sana badala ya kuungana kupiga vita wahujumu uchumi wao wanawaunga mkono kama walivyokuwa wanatetea ufisadi hii ni hatari kwa taifa hili kwa vyama kama hivi kupewa dhamana ya kuongoza taifa!Cheka leo lakini tambua kwamba Shetani hana rafiki .
Daktari mwenye tuhuma za utoaji mimba ameshitakiwa kwa utakatishaji fedha za madafu 260 , 000/= unataka tuunge mkono ujinga huu ? Never Ever !Chadema wamekuwa watu wa ajabu sana badala ya kuungana kupiga vita wahujumu uchumi wao wanawaunga mkono kama walivyokuwa wanatetea ufisadi hii ni hatari kwa taifa hili kwa vyama kama hivi kupewa
dhamana ya kuongoza taifa!
Kesi za kihuni na kipumbavu za kukomoanaChadema wamekuwa watu wa ajabu sana badala ya kuungana kupiga vita wahujumu uchumi wao wanawaunga mkono kama walivyokuwa wanatetea ufisadi hii ni hatari kwa taifa hili kwa vyama kama hivi kupewa dhamana ya kuongoza taifa!
Mkuu with all due respect. Sote tunajuana kuwa ni wana Mageuzi lakini sheria ikishasainiwa na Mkuu wa nchi kuiita ya Kishenzi sio sawa. Ni sheria mbaya hata mimi natambua lakini tusitoe loophole ya kutekwa au kuwekea ndani kwa kauli zetu za jazba.Wakuu natanguliza salamu za Mwaka mpya , baada ya salamu hizi najikita moja kwa moja kwenye hoja .
Chama cha Demokrasia na maendeleo kanda ya Pwani kimeandaa Mawakili wawili watakaofungua kesi Mahakamani ili kupinga sheria
ya kishenzi ya utakatishaji fedha
Hayo yamesemwa na Makamu
Mwenyekiti wa chama hicho wa kanda ya Pwani Mh Baraka Mwago wakati akitoa tathmini ya masuala mbalimbali yakiwemo ya kiuchumi na kisiasa yaliyojitokeza kuanzia januari hadi desemba , ambapo ametoa wito kwa wadau mbalimbali kuungana kuikemea na kuipinga sheria hiyo , " Kuna malalamiko ya mtu kukamatwa kwa kosa fulani lakini akifika mahakamani anaambiwa anashitakiwa kwa utakatishaji fedha , lengo likiwa kumkomesha mtuhumiwa huyo ili anyimwe dhamana "
Mytake : Pamoja na tuhuma kwamba Mahakama imewekwa mfukoni , lakini ieleweke kwamba kila siku siyo jumapili
Mafisadi waliiba 1.5T na hawajafanywa lolote.Chadema wamekuwa watu wa ajabu sana badala ya kuungana kupiga vita wahujumu uchumi wao wanawaunga mkono kama walivyokuwa wanatetea ufisadi hii ni hatari kwa taifa hili kwa vyama kama hivi kupewa dhamana ya kuongoza taifa!
Ofisi ya DPP imekuwa ya "kishenzi"sana.Wakuu natanguliza salamu za Mwaka mpya , baada ya salamu hizi najikita moja kwa moja kwenye hoja .
Chama cha Demokrasia na maendeleo kanda ya Pwani kimeandaa Mawakili wawili watakaofungua kesi Mahakamani ili kupinga sheria
ya kishenzi ya utakatishaji fedha
Hayo yamesemwa na Makamu
Mwenyekiti wa chama hicho wa kanda ya Pwani Mh Baraka Mwago wakati akitoa tathmini ya masuala mbalimbali yakiwemo ya kiuchumi na kisiasa yaliyojitokeza kuanzia januari hadi desemba , ambapo ametoa wito kwa wadau mbalimbali kuungana kuikemea na kuipinga sheria hiyo , " Kuna malalamiko ya mtu kukamatwa kwa kosa fulani lakini akifika mahakamani anaambiwa anashitakiwa kwa utakatishaji fedha , lengo likiwa kumkomesha mtuhumiwa huyo ili anyimwe dhamana "
Mytake : Pamoja na tuhuma kwamba Mahakama imewekwa mfukoni , lakini ieleweke kwamba kila siku siyo jumapili
Ngoja imkute ndiyo atajuaaCheka leo lakini tambua kwamba Shetani hana rafiki .
Kukaa kimya ni jambo baya zaidi , wacha dunia ione
[/QUOT
Utatu mwovu kuwahi kutokea nchini.E]