CHADEMA kuipinga Sheria ya Utakatishaji Fedha Mahakamani

CHADEMA kuipinga Sheria ya Utakatishaji Fedha Mahakamani

Mkuu with all due respect. Sote tunajuana kuwa ni wana Mageuzi lakini sheria ikishasainiwa na Mkuu wa nchi kuiita ya Kishenzi sio sawa. Ni sheria mbaya hata mimi natambua lakini tusitoe loophole ya kutekwa au kuwekea ndani kwa kauli zetu za jazba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unisamehe kwa kukukwaza
 
Chadema ni kama vyura wakubwa wa kwenye madimbwi wanarukia kila kitu wanachoona, Hilo chama limelaaniwa kwa kweli,ngoja tuone 2020 watatokaje.Chadema acheni ushamba,juzi tu Mnyika kaibukia mwanza akiwa na wahuni hatujui aliko watoa akadai amepewa uchifu wa wasukuma.Move hii imekuja baada ya mnyika kuukwaa ukatibu mkuu wa chadema akipishwa na Mashinji.Mnyika ni Mchaga hata mbowe anajua hivyo,kwa vile chadema ni wapumbavu wanataka kulaghai watu kuwa mnyika ni msukuma.Mama yake mnyika ambaye ni mpare kwa kabila aliolewa na mzee Dalali-msukuma kutoka mwanza kipindi hicho mnyika ni mkubwa tu.Mnyika amelelewa na ndugu zake upande wa mama na ndio maana SURNAME yake ni MNYIKA kina la kipare.Hakuna msukuma anayeitwa mnyika.chadema acheni itapeli.
 
Ni nje kabisa ya mada ! hata hivyo bado haijafahamika kama unalia au unaeleza
 
Daktari mwenye tuhuma za utoaji mimba ameshitakiwa kwa utakatishaji fedha za madafu 260 , 000/= unataka tuunge mkono ujinga huu ? Never Ever !
Unataka kusema kuavya mimba ni jambo jema na liliruhusiwa kisheria na hiyo pesa ni halali au watu wamekuwa fungu la kumuunga mkono mange kimambi!
 
Sio tu inatakiwa ipingwe hii sheria mahakamani pia swala la uchunguzi au upelelezi kua haujakamilika halafu kesi inapelekwa mahakamani inabidi uchunguzi uwe umekamilika ndo kesi ipelekwe mahakamani..kwa nini chadema hawafungui kesi kudai tume huru ya uchaguzi?
 
Chadema wamekuwa watu wa ajabu sana badala ya kuungana kupiga vita wahujumu uchumi wao wanawaunga mkono kama walivyokuwa wanatetea ufisadi hii ni hatari kwa taifa hili kwa vyama kama hivi kupewa dhamana ya kuongoza taifa!
Yawezekana.

Lakini umewahi sana kuhukumu kabla ya kuona hoja.

Hata nikisema CCM wazuri sana wameipitisha sheria fulani kwa uwingi wa kura. Bado naweza kuwa wa ajabu kama yaliyomo na maudhui ya sheria hiyo hayakidhi haki za msingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi vijamaa vinavyovaa nguo za kijani vinajiona vipo salama sana, lakini ni wao wao watakuja kulia hapa hapa jukwaani pindi mambo kama haya yatakapo wageukia wao..What goes around comes around.
 
Mkuu with all due respect. Sote tunajuana kuwa ni wana Mageuzi lakini sheria ikishasainiwa na Mkuu wa nchi kuiita ya Kishenzi sio sawa. Ni sheria mbaya hata mimi natambua lakini tusitoe loophole ya kutekwa au kuwekea ndani kwa kauli zetu za jazba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo siku hizi adhabu kwa kauli ya jaziba ni KUTEKWA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu natanguliza salamu za Mwaka mpya , baada ya salamu hizi najikita moja kwa moja kwenye hoja .

Chama cha Demokrasia na maendeleo kanda ya Pwani kimeandaa Mawakili wawili watakaofungua kesi Mahakamani ili kupinga sheria
ya " kishenzi " ya utakatishaji fedha

Hayo yamesemwa na Makamu
Mwenyekiti wa chama hicho wa kanda ya Pwani Mh Baraka Mwago wakati akitoa tathmini ya masuala mbalimbali yakiwemo ya kiuchumi na kisiasa yaliyojitokeza kuanzia januari hadi desemba , ambapo ametoa wito kwa wadau mbalimbali kuungana kuikemea na kuipinga sheria hiyo , " Kuna malalamiko ya mtu kukamatwa kwa kosa fulani lakini akifika mahakamani anaambiwa anashitakiwa kwa utakatishaji fedha , lengo likiwa kumkomesha mtuhumiwa huyo ili anyimwe dhamana "

Mytake : Pamoja na tuhuma kwamba Mahakama imewekwa mfukoni , lakini ieleweke kwamba kila siku siyo jumapili
Afadhali maana wafadhili wetu wametakatisha pesa,
 
Mkuu with all due respect. Sote tunajuana kuwa ni wana Mageuzi lakini sheria ikishasainiwa na Mkuu wa nchi kuiita ya Kishenzi sio sawa. Ni sheria mbaya hata mimi natambua lakini tusitoe loophole ya kutekwa au kuwekea ndani kwa kauli zetu za jazba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uwape usiwape loophole watakuteka. Omba Mungu usitangazwe kuwa umejiteka na umejinyonga
 
Back
Top Bottom