TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
Hajitambui huyo, nadhani.Mkuu with all due respect. Sote tunajuana kuwa ni wana Mageuzi lakini sheria ikishasainiwa na Mkuu wa nchi kuiita ya Kishenzi sio sawa. Ni sheria mbaya hata mimi natambua lakini tusitoe loophole ya kutekwa au kuwekea ndani kwa kauli zetu za jazba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unisamehe kwa kukukwazaMkuu with all due respect. Sote tunajuana kuwa ni wana Mageuzi lakini sheria ikishasainiwa na Mkuu wa nchi kuiita ya Kishenzi sio sawa. Ni sheria mbaya hata mimi natambua lakini tusitoe loophole ya kutekwa au kuwekea ndani kwa kauli zetu za jazba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweliHajitambui huyo, nadhani.
Ni nje kabisa ya mada ! hata hivyo bado haijafahamika kama unalia au unaelezaChadema ni kama vyura wakubwa wa kwenye madimbwi wanarukia kila kitu wanachoona, Hilo chama limelaaniwa kwa kweli,ngoja tuone 2020 watatokaje.Chadema acheni ushamba,juzi tu Mnyika kaibukia mwanza akiwa na wahuni hatujui aliko watoa akadai amepewa uchifu wa wasukuma.Move hii imekuja baada ya mnyika kuukwaa ukatibu mkuu wa chadema akipishwa na Mashinji.Mnyika ni Mchaga hata mbowe anajua hivyo,kwa vile chadema ni wapumbavu wanataka kulaghai watu kuwa mnyika ni msukuma.Mama yake mnyika ambaye ni mpare kwa kabila aliolewa na mzee Dalali-msukuma kutoka mwanza kipindi hicho mnyika ni mkubwa tu.Mnyika amelelewa na ndugu zake upande wa mama na ndio maana SURNAME yake ni MNYIKA kina la kipare.Hakuna msukuma anayeitwa mnyika.chadema acheni itapeli.
Hahaaaaa! Kamanda kunywa maji ulaleCheka leo lakini tambua kwamba Shetani hana rafiki .
Tulieni mnyooshweNi nje kabisa ya mada ! hata hivyo bado haijafahamika kama unalia au unaeleza
Unataka kusema kuavya mimba ni jambo jema na liliruhusiwa kisheria na hiyo pesa ni halali au watu wamekuwa fungu la kumuunga mkono mange kimambi!Daktari mwenye tuhuma za utoaji mimba ameshitakiwa kwa utakatishaji fedha za madafu 260 , 000/= unataka tuunge mkono ujinga huu ? Never Ever !
Sio kweli! Chakubanga wenu anaingia mara kumi kwa juyu nduguHajitambui huyo, nadhani.
Mbona mnaigopa sana hii sheria?Mytake : Pamoja na tuhuma kwamba Mahakama imewekwa mfukoni , lakini ieleweke kwamba kila siku siyo jumapili
Tunafungua mwaka kwa kesi za kupinga uhujumu uchumi!
Yawezekana.Chadema wamekuwa watu wa ajabu sana badala ya kuungana kupiga vita wahujumu uchumi wao wanawaunga mkono kama walivyokuwa wanatetea ufisadi hii ni hatari kwa taifa hili kwa vyama kama hivi kupewa dhamana ya kuongoza taifa!
Kwa hiyo siku hizi adhabu kwa kauli ya jaziba ni KUTEKWA?Mkuu with all due respect. Sote tunajuana kuwa ni wana Mageuzi lakini sheria ikishasainiwa na Mkuu wa nchi kuiita ya Kishenzi sio sawa. Ni sheria mbaya hata mimi natambua lakini tusitoe loophole ya kutekwa au kuwekea ndani kwa kauli zetu za jazba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali maana wafadhili wetu wametakatisha pesa,Wakuu natanguliza salamu za Mwaka mpya , baada ya salamu hizi najikita moja kwa moja kwenye hoja .
Chama cha Demokrasia na maendeleo kanda ya Pwani kimeandaa Mawakili wawili watakaofungua kesi Mahakamani ili kupinga sheria
ya " kishenzi " ya utakatishaji fedha
Hayo yamesemwa na Makamu
Mwenyekiti wa chama hicho wa kanda ya Pwani Mh Baraka Mwago wakati akitoa tathmini ya masuala mbalimbali yakiwemo ya kiuchumi na kisiasa yaliyojitokeza kuanzia januari hadi desemba , ambapo ametoa wito kwa wadau mbalimbali kuungana kuikemea na kuipinga sheria hiyo , " Kuna malalamiko ya mtu kukamatwa kwa kosa fulani lakini akifika mahakamani anaambiwa anashitakiwa kwa utakatishaji fedha , lengo likiwa kumkomesha mtuhumiwa huyo ili anyimwe dhamana "
Mytake : Pamoja na tuhuma kwamba Mahakama imewekwa mfukoni , lakini ieleweke kwamba kila siku siyo jumapili
Uwape usiwape loophole watakuteka. Omba Mungu usitangazwe kuwa umejiteka na umejinyongaMkuu with all due respect. Sote tunajuana kuwa ni wana Mageuzi lakini sheria ikishasainiwa na Mkuu wa nchi kuiita ya Kishenzi sio sawa. Ni sheria mbaya hata mimi natambua lakini tusitoe loophole ya kutekwa au kuwekea ndani kwa kauli zetu za jazba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Atari sana sio hatari tena.Tunafungua mwaka kwa kesi za kupinga uhujumu uchumi!
Ndio maana. Kwenye uenyekiti wa chadema ndio huu msemo unajidhihirisha.Cheka leo lakini tambua kwamba Shetani hana rafiki .