CHADEMA kuipinga Sheria ya Utakatishaji Fedha Mahakamani

Huku ni kupoteza mwelekeo badala ya kupinga hii midubwana iliyopita bila kupingwa uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 wanapoteza muda na kesi za uhujumu uchumi. Ziwe za kweli au uwongo kufanya hivyo ni kujiondolea imani kwa wananchi wengi wa kawaida ambao wanahisi kweli hawa ni wahujumu uchumi.
 
Nani kakudanganya kwamba wananchi ni wajinga kiasi hicho ?
 
Hatua hiyo iende sambamba na hatua ya kufungua kesi kudai Tume Huru ya Uchaguzi!
 
Kwa Mara ya kwanza nawapongeza Chadema kwa kuwa na ubunifu wao original na agenda original

Sababu siku zote walikuwa watu wa kudakia dakia tu
 
Chama kinapoteza Dira na nitashindwa vibaya Sana Mahakamani

N madhara ya kuwa na viongozi wanafanya kazi kwa mihemko.CDM wangekuwa na akili wangewatetea watuhumiwa kwa msaada wa kisheria ili ikathibike Kama n kweli watuhumiwa wanabambikizwa k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…