CHADEMA kuitisha Baraza Kuu mwezi Julai, suala la Wabunge 19 wa Viti Maalum kumalizwa rasmi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio Taarifa ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe au waweza kumuita Mtemi Isike aliyoitoa kwa waandishi wa habari, alipokuwa kanda ya Magharibi katika ziara yake ya Operesheni Haki.

Amesema baada ya vikao vya Baraza Kuu ratiba ya Mikutano ya hadhara nchi nzima itapangwa.

Official_BAVICHA_Taifa_(@bavicha_taifa)_posted_on_Instagram_•_Jun_4,_2021_at_1:24pm_UTC%22_.jpg
 
Hapa CHADEMA nawakosoa kwa 100%, CHADEMA wanasema haki iliyochelewa ni haki iliyopotea, watu wamekata rufaa Dec rufaa inasikilizwa July why? wao ndiyo walitakiwa wawe mfano kwa vyombo vingine vya utoaji haki, kwa hapa sipo nao hata kidogo.
 
Pamoja na mapungufu hayo, imekuwa faida kwa COVID 19, wamepokea milungula ya kutosha hadi sasa.

Mzizi ukikatwa mwezi ujao hawataweza kulala njaa kwa miezi kadhaa mbele
 
Hapa CHADEMA nawakosoa kwa 100%, CHADEMA wanasema haki iliyochelewa ni haki iliyopotea, watu wamekata rufaa Dec rufaa inasikilizwa July why? wao ndiyo walitakiwa wawe mfano kwa vyombo vingine vya utoaji haki, kwa hapa sipo nao hata kidogo.
kwa mujibu wa Katiba ya Chadema Kikao cha Baraza kuu kwa mwaka hukaliwa mara moja tu , si kikao cha dharula na wala hakiitishwi kwa ajenda moja tu , kwahiyo hakuna aliyecheleweshewa haki yake , ni suala la kikatiba tu
 
Mkuu kwani maamzi hayawezi kufanyika hata kwa zoom meeting? lazima tukubali udhaifu hapo pamoja na mazuri yenu yote lakini kwa hili badilikeni.
 
Kikao cha Baraza kuu siyo cha kamati kuu , hiki waweza kukiita kikao cha wanachama wote , unawezaje kufanya zoom meeting kwa wanachama wengi kiasi hicho ? sasa kuhusu hiyo haraka uliyoisema basi labda Katiba ya Chadema ibadilishwe kipengere cha vikao vya baraza kuu , lakini hatuwezi kuvunja katiba kisa tunawahi kumshughulikia Halima Mdee
 
Hapa CHADEMA nawakosoa kwa 100%, CHADEMA wanasema haki iliyochelewa ni haki iliyopotea, watu wamekata rufaa Dec rufaa inasikilizwa July why? wao ndiyo walitakiwa wawe mfano kwa vyombo vingine vya utoaji haki, kwa hapa sipo nao hata kidogo.
Mbona aliiba kura na kuharibu Uchaguzi wa 2020 hukumkosoa? Acheni Hoja takataka hizo
 
Mikutanao ya hadhara ya kazi gani? CDM waendelee na mikutanao ya ndani kuimarisha Chama.
 
Back
Top Bottom