Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hayo tena yatakuwa yakeNdugai hatakosa kisingizio cha kuendelea kuwalinda hao Covid .
Karibu sana , kiingilio ni bureSis watazamajii
[emoji23][emoji23]Karibu sana , kiingilio ni bure
Ndugai hawezi kuwatoa hata kidogoNdugai hatakosa kisingizio cha kuendelea kuwalinda hao Covid .
Pamoja na mapungufu hayo, imekuwa faida kwa COVID 19, wamepokea milungula ya kutosha hadi sasa.Hapa CHADEMA nawakosoa kwa 100%, CHADEMA wanasema haki iliyochelewa ni haki iliyopotea, watu wamekata rufaa Dec rufaa inasikilizwa July why? wao ndiyo walitakiwa wawe mfano kwa vyombo vingine vya utoaji haki, kwa hapa sipo nao hata kidogo.
kwa mujibu wa Katiba ya Chadema Kikao cha Baraza kuu kwa mwaka hukaliwa mara moja tu , si kikao cha dharula na wala hakiitishwi kwa ajenda moja tu , kwahiyo hakuna aliyecheleweshewa haki yake , ni suala la kikatiba tuHapa CHADEMA nawakosoa kwa 100%, CHADEMA wanasema haki iliyochelewa ni haki iliyopotea, watu wamekata rufaa Dec rufaa inasikilizwa July why? wao ndiyo walitakiwa wawe mfano kwa vyombo vingine vya utoaji haki, kwa hapa sipo nao hata kidogo.
Lakini tunapata fundisho gani toka kwao?Pamoja na mapungufu hayo, imekuwa faida kwa COVID 19, wamepokea milungula ya kutosha hadi sasa.
Mzizi ukikatwa mwezi ujao hawataweza kulala njaa kwa miezi kadhaa mbele
Mkuu kwani maamzi hayawezi kufanyika hata kwa zoom meeting? lazima tukubali udhaifu hapo pamoja na mazuri yenu yote lakini kwa hili badilikeni.kwa mujibu wa Katiba ya Chadema Kikao cha Baraza kuu kwa mwaka hukaliwa mara moja tu , si kikao cha dharula na wala hakiitishwi kwa ajenda moja tu , kwahiyo hakuna aliyecheleweshewa haki yake , ni suala la kikatiba tu
Kila jambo lina faida na hasaraLakini tunapata fundisho gani toka kwao?
Kikao cha Baraza kuu siyo cha kamati kuu , hiki waweza kukiita kikao cha wanachama wote , unawezaje kufanya zoom meeting kwa wanachama wengi kiasi hicho ? sasa kuhusu hiyo haraka uliyoisema basi labda Katiba ya Chadema ibadilishwe kipengere cha vikao vya baraza kuu , lakini hatuwezi kuvunja katiba kisa tunawahi kumshughulikia Halima MdeeMkuu kwani maamzi hayawezi kufanyika hata kwa zoom meeting? lazima tukubali udhaifu hapo pamoja na mazuri yenu yote lakini kwa hili badilikeni.
Mbona aliiba kura na kuharibu Uchaguzi wa 2020 hukumkosoa? Acheni Hoja takataka hizoHapa CHADEMA nawakosoa kwa 100%, CHADEMA wanasema haki iliyochelewa ni haki iliyopotea, watu wamekata rufaa Dec rufaa inasikilizwa July why? wao ndiyo walitakiwa wawe mfano kwa vyombo vingine vya utoaji haki, kwa hapa sipo nao hata kidogo.
Nilikosoa sn sema labda ulikuwa bado mdogoMbona aliiba kura na kuharibu Uchaguzi wa 2020 hukumkosoa? Acheni Hoja takataka hizo
CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYEREREMikutanao ya hadhara ya kazi gani? CDM waendelee na mikutanao ya ndani kuimarisha Chama.
Kwani mikutano ya hadhara inadhoofisha chama?Mikutanao ya hadhara ya kazi gani? CDM waendelee na mikutanao ya ndani kuimarisha Chama.