n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Baraza kuu la saccos ya mwenyekiti faru John.Hii ndio Taarifa ya Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe au waweza kumuita Mtemi Isike aliyoitoa kwa waandishi wa habari , alipokuwa kanda ya Magharibi katika ziara yake ya Operesheni Haki.
Amesema baada ya vikao vya Baraza Kuu ratiba ya Mikutano ya hadhara nchi nzima itapangwa.
View attachment 1808796
Baraza kuu ndio muda wake huo siku zote.... Rufaa haiwezi fanya baraza liitishwe hizo gharama atazitoa nani? So appeal ndio inasubiri Baraza kuu na sio baraza kuu lisogezwe nyuma kisa rufaa. Maana mashauri mengi yako pending ssa kivp shauri moja tu ndio lipewe kipaumbele?? Hta Zitto ilibidi asubiri baraza kuu likae maana alitaka ku appeal huko wamuokoe uanachama wake. Alipoona lipo mbali bado ndio akakimbilia mahakamaniHapa CHADEMA nawakosoa kwa 100%, CHADEMA wanasema haki iliyochelewa ni haki iliyopotea, watu wamekata rufaa Dec rufaa inasikilizwa July why? wao ndiyo walitakiwa wawe mfano kwa vyombo vingine vya utoaji haki, kwa hapa sipo nao hata kidogo.
Kwahiyo unashauri nini wasikae kikao.Hapa CHADEMA nawakosoa kwa 100%, CHADEMA wanasema haki iliyochelewa ni haki iliyopotea, watu wamekata rufaa Dec rufaa inasikilizwa July why? wao ndiyo walitakiwa wawe mfano kwa vyombo vingine vya utoaji haki, kwa hapa sipo nao hata kidogo.
Shukrani sana mkuuBaraza kuu ndio muda wake huo siku zote.... Rufaa haiwezi fanya baraza liitishwe hizo gharama atazitoa nani? So appeal ndio inasubiri Baraza kuu na sio baraza kuu lisogezwe nyuma kisa rufaa. Maana mashauri mengi yako pending ssa kivp shauri moja tu ndio lipewe kipaumbele?? Hta Zitto ilibidi asubiri baraza kuu likae maana alitaka ku appeal huko wamuokoe uanachama wake. Alipoona lipo mbali bado ndio akakimbilia mahakamani
Hakuna maamuzi ya Mbowe , yale yalikuwa maamuzi ya Kamati KuuMaamuzi yanafahamika, hakuna mwenye uwezo wa kupingana na maamuzi ya Mbowe
Mimi pia nakukosoa,hao waliokata rufaa wangekuwa nje ya bunge baada ya kuvuliwa uanachama hapo hoja yako ingekuwa na mashiko.Katika hali ambapo walikaidi kila kitu unazungumzia haki ipi? kwa hali ilivyo wamepoteza nini? Sioni dharula yoyote kwenye swala hili.Hapa CHADEMA nawakosoa kwa 100%, CHADEMA wanasema haki iliyochelewa ni haki iliyopotea, watu wamekata rufaa Dec rufaa inasikilizwa July why? wao ndiyo walitakiwa wawe mfano kwa vyombo vingine vya utoaji haki, kwa hapa sipo nao hata kidogo.
Hao kamati kuu wanahalalisha tu anachokitaka Mbowe.Hakuna maamuzi ya Mbowe , yale yalikuwa maamuzi ya Kamati Kuu
... safi sana! Chama bingwa kama Chadema hakiwezi kuwa dragged na issues za kipumbavu kama za akina Covid-19 kuitisha kikao cha dharura. In short issue ya Covid-19 imepuuzwa; chama kina mambo mengi ya muhimu ya kufanya! Pia, imesaidia kuanika upumbavu wa akina Ndugai. A very intelligent move.kwa mujibu wa Katiba ya Chadema Kikao cha Baraza kuu kwa mwaka hukaliwa mara moja tu , si kikao cha dharula na wala hakiitishwi kwa ajenda moja tu , kwahiyo hakuna aliyecheleweshewa haki yake , ni suala la kikatiba tu
Mbowe hajasema kama kikao cha Julai kina uhusiano na ile rufaa. Kikatiba muda wa kusikiliza rufaa ushapita.Hapa CHADEMA nawakosoa kwa 100%, CHADEMA wanasema haki iliyochelewa ni haki iliyopotea, watu wamekata rufaa Dec rufaa inasikilizwa July why? wao ndiyo walitakiwa wawe mfano kwa vyombo vingine vya utoaji haki, kwa hapa sipo nao hata kidogo.
Weka hicho kifungu cha Katiba hapaMbowe hajasema kama kikao cha Julai kina uhusiano na ile rufaa. Kikatiba muda wa kusikiliza rufaa ushapita.
UNAPOSUBIRI RUFAA ULIKUWA BUNGENI AU KIFUNGONI.Covid 19 ni dharau kubwa na usaliti.Chama kitasonga mbele tu.Endeleeni kununuaHapa CHADEMA nawakosoa kwa 100%, CHADEMA wanasema haki iliyochelewa ni haki iliyopotea, watu wamekata rufaa Dec rufaa inasikilizwa July why? wao ndiyo walitakiwa wawe mfano kwa vyombo vingine vya utoaji haki, kwa hapa sipo nao hata kidogo.
Go beyond imagination! That's the PARTY!Hii ndio Taarifa ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe au waweza kumuita Mtemi Isike aliyoitoa kwa waandishi wa habari, alipokuwa kanda ya Magharibi katika ziara yake ya Operesheni Haki.
Amesema baada ya vikao vya Baraza Kuu ratiba ya Mikutano ya hadhara nchi nzima itapangwa.
View attachment 1808796
Weka hicho kifungu cha Katiba hapaMbowe hajasema kama kikao cha Julai kina uhusiano na ile rufaa. Kikatiba muda wa kusikiliza rufaa ushapita.
Ataombwa atoe kifungu cha Katiba ya Chadema kinachoruhusu wabunge wa viti maalum kujiteua , akishindwa tutamuomba aisome katiba ya Chadema Kwanza ili aweze kujenga hoja , na akiweza kutuonyesha tutamuomba radhi na kuwaruhusu Covid 19 waendelee na ubunge wao na warudi Bawacha haraka sanaIvi hilo baraza kuu litakalo keti mwezi July na agenda mojawapo ikiwa ya wabunge 19 wa viti maalumu,kama akitokea mjumbe mojawapo akapinga maamuzi yaliyofanywa na viongozi hataonekana msaliti kweli na kuundiwa zengwe.
Endelea kusafisha machoNgoja tuone...
kikao kina mambo mengi sana , hilo ni dogo sanaKwani hili halijamalizwa?
Mnataka kuwasamehe au
Jengeni chama hao 19 watasalimu amri kwa kujiunga sisiem rasmi kabla Bunge kuisha
Mnazidi kuwapa promo wapotezeeni
Mpinge kwanza Ndugai , watu walifoji nyaraka ila bado amewakumbatia! Ngoja tufunge KWA ajili yao wizi ni wiziHapa CHADEMA nawakosoa kwa 100%, CHADEMA wanasema haki iliyochelewa ni haki iliyopotea, watu wamekata rufaa Dec rufaa inasikilizwa July why? wao ndiyo walitakiwa wawe mfano kwa vyombo vingine vya utoaji haki, kwa hapa sipo nao hata kidogo.