To be honestly wenyewe wana mambo mengi sahiz, why wahangaike na marekani wakati hapa nyumbani mambo hayaeleweki?
Taja hiyo broken English niliyoandika?Kiingereza pia hujui ndio maana huwezi kutofautisha counsel na council.Mwenye kujua kiingereza angejua ni maneno tofauti.
Unaruka ruka tu kama bisi kwenye micro wave.Weka ushahidi wa madai yako hakuna aliyekuambia kwamba unaandika kiingereza kukwepa hoja .Au una double personality hujui hata unachoandika.Dumb head.
Hahaha wabongo ni jamii ya ajabu sana. Wanashadadi ya nje wakati ya kwao tu yanawashinda. Pambaneni na vya kwenu kwanza1. Kumbe kina Nyerere, Mandela, Castro, Che Guevara na wa namna hiyo hawakuwa na ya kufanya?
2. Ninakazia:
3. Kwamba CHADEMA chama tegemeo kwa ukombozi wa nchi hii kipo kimya?! Siku yakiwakuta kwenye harakati za ukombozi kama ilivyokuwa enzi za "nabii jiwe," kwa hakika mkale mliko peleka mboga!
4. Siku yakiwakuta, mkale mliko peleka mboga.
5. Kama manyani endeleeni kukenua miti inapoungua.
View attachment 2978484
6. Kwa hiyo sasa hIvi tuko busy na ruzuku au maridhiano?
Unafuatilia habari wewe au ni mmoja wa wale wasoma magazeti ya Shigongo? Kuna fedha zimepigwa panga, japo mtu kama wewe unaweza usione uhusiano wa moja kwa moja. Jambo jingine: Kwenye diplomasia kuna mambo mengi yanafanyika background.
Hahaha wabongo ni jamii ya ajabu sana. Wanashadadi ya nje wakati ya kwao tu yanawashinda. Pambaneni na vya kwenu kwanza
Hii mada imelewa na mwandishi kalewa pia.
Kupenda ama kuchukia sana ni aina ya ulevi!!
Tar 7 Hamas walikua na hoja zipi ostaz?Kwenye dunia iliyostaarabika hushindanishwa hoja si misuli! Labda kwenye ndondi tu!
Tar 7 Hamas walikua na hoja zipi ostaz?
Hahaha wabongo ni jamii ya ajabu sana. Wanashadadi ya nje wakati ya kwao tu yanawashinda. Pambaneni na vya kwenu kwanza
Hivi Chadema si waliandika barua ya "malalamiko " na wakaikabidhi UN?Mbona hawawapi wanachama wao mrejesho?Wamejibiwa nini?UN imechukua hatua gani?Kuishi kwa kiki ni hatari sana.
Jibu swali duara ww unaleta porojo gn? Umesema Dunia ya Sasa ni ya kujenga hoja sio kubeba zana za vita, nimekuuliza tar 7 Hamas walikuja na hoja zipi?Wewe, kina MK254, na WA aina zenu mtaelimika lini ndugu?
1. Mimi siyo ostaz wala vsi mwislam lakini nitakomaa nanyi. Wengine haki ni pekee tuiaminiyo. Bila kuangaliana usoni hukomaa na kila bazazi bila kujali ni
nani.
2. Mandela au Nyerere hawakuwa waislam:
View attachment 2978639
3. Huyu mwamba si mwislam:
View attachment 2978638
3. Aliyeandika haya pia si mwislam:
View attachment 2978640
4. Huyu si mwislam:
View attachment 2978641
View attachment 2978642
5. Hapa karibu upate "full dose" ndugu bumunda!
View attachment 2978643
View attachment 2978645
View attachment 2978646
View attachment 2978647
6. Kwani wewe umepoteza nduguzo wangapi ndugu?
Da. Uelewa wako ni mdogo kabisa. Maskini umekariri vile vikao vya General Assembly na Security counsel. Kukosa exposure na kusoma shule za kata ni janga. Wewe unadhani UN inafanya kazi kwa kutegema hivi vikao viwili tu? Nimelewa bila kunywa.
Jibu swali duara ww unaleta porojo gn? Umesema Dunia ya Sasa ni ya kujenga hoja sio kubeba zana za vita, nimekuuliza tar 7 Hamas walikuja na hoja zipi?
Nyege za kidini zitakuua sheikh1. Mbona zipo kwenye full dose?!
2. Hebu soma tena "full dose," #6 mwishoni chini mwa post hii.
3. Usipoziona itakuwa "kiinglish" ni mgogoro. Hata hivyo usikonde unakaribishwa kwa ushauri, nasaha na tafsiri hata kama MK254 kasusa kasusia au kama Vicky kwenye magoma hataki kufikia.
4. Vicky na Jabali la Muziki
"Vicky mtoto wa mama?
Vicky mbona umaeadimika?
Vicky mbona huonekani?
Hata kwenye magoma hutaki kufika?" ๐ถ๐ผ๐ต
5. kutoka kwa Myahudi mhanga wa mzozo huko, #6 ni "full dose." Kwani ndugu Mpaji Mungu, wewe umefiwa nduguzo wangapi huko?
6. Full dose kulikoni Oct. 7:
View attachment 2978703
View attachment 2978704
View attachment 2978705
View attachment 2978706