CHADEMA kukosa neno, utawala wa Sheria Migomo Marekani; ni Pigo kwa Chama, na pia kwa Ukombozi!

Mimi ni Israelite katika Roho.

Israel ni mzaliwa wa kwanza, amebarikiwa sana.

Mungu ibariki CHADEMA,

Mungu ibariki Tanzania,

Mungu ibariki ISRAEL.

Amen.
 
Mimi ni Israelite katika Roho.

Israel ni mzaliwa wa kwanza, amebarikiwa sana.

Mungu ibariki CHADEMA,

Mungu ibariki Tanzania,

Mungu ibariki ISRAEL.

Amen.

1. Tatizo si kuwa wewe ni nani wala kuwa hili ni personal.

2. Mama Samia anashauri kila siku watoto wahalifu kufichuliwa na wazazi wao polisi, kama ni wahalifu (Panya road, vibaka, wakabaji, wezi, majambazi nk).

3. Kwamba kwa vile mwanao ni mhalifu wewe wamtetea tu hata kama unajua ni Panya road? Kwamba amekuwa Masudi? Tukikutana naye usiku tumpishie mbali?

4. Haya si ndiyo yale ya shaba kulIlia mwilini mwake (ya chongo) aone uchungu na kumweka hatarini zaidi mtoto mwenyewe kimaisha?

5. Kumbe kwako samaki hukunjwa lini?

6. Kwamba bias yako ni umimi? Si tuli kubaliana binadamu wote ni sawa?
 
Reactions: Tui
Nani sasa mtoto mkorofi hapo?
 
Nani sasa mtoto mkorofi hapo?

1. Si vigumu kumwona kupitia shahidi na shuhuda.

2. Hudhani hawa wanaoandamana marekani ni kama susi, katiba mpya kamanda muroto?

3. Hata kama timu ya mpira ibacheza utashindwa kweli kuwa fair referee?

4. Misahafu inatufundisha kumpenda adui yetu kama nafsi zetu?

5. Weka yote Hayo pembeni, hebu angalia shuhuda hizi kumtambua mtoto mkorofi, hapo achilia mbali wenye akili zao ICC huko tayari wanamhitaji:

A:

B:


C:

 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…