Pre GE2025 CHADEMA kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Chadema kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli.

Watanzania wengi wanataka wapewe wao na sio kumpa mwanasiasa ale yeye.

Ndio maana karibu na uchaguzi watz wengi wanasubiri pesa za wabunge wale na sio za mwananchi ale mbunge . Hatuchangii pesa zetu zikaliwa na wanasiasa, tunazibiri zenu posho za bunge tuzile.

Soma Pia: CHADEMA wazindua mkakati maalum wa kidigitali wa tone tone, Februari 27, 2025

Lissu kama wewe uliekuwa na mabilioni ya shilingi hakuchangia chama. Jee sisi wanyonge tutazitoa wapi?
 
Chadema kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli.
Watz wengi wanataka wapewe wao na sio kumpa mwanasiasa ale yeye.
Ndio maana karibu na uchaguzi watz wengi wanasubiri pesa za wabunge wale na sio za mwananchi ale mbunge
Bora hawa wanao kusanya kutoka kwa wananchi kwa kusema na kwa uwazi kuliko wale wa CCM walio jimilikisha mali za umma na wana jichotea kodi za walalahoi hazina na kwenda kununulia mabasi na kuhongana kukatiana viuno DODOMA.
 
Chadema kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli.

Watanzania wengi wanataka wapewe wao na sio kumpa mwanasiasa ale yeye.

Ndio maana karibu na uchaguzi watz wengi wanasubiri pesa za wabunge wale na sio za mwananchi ale mbunge . Hatuchangii pesa zetu zikaliwa na wanasiasa, tunazibiri zenu posho za bunge tuzile
Wee ni kajinga na kapuuzi
 
Chama cha siasa ni mali ya wanachama na ni fahari kwao kukiendesha kwa hilohilo tone la rasilimali zao.
Chadema sio CCM, wanachama wake
wanasikia fahari kuendesha Chama chao tofauti na CCM inayo ibia wananchi kuendesha ma vx ya chama kwa fahari.
Ningekushauri kakojoe utawaze na kulala, waache wanaojitambua waendelee kujiandaa na NO REFORM NO ELECTION hivi karibuni
 
Miaka na miaka tumechanga, join the chain na mingine mingi.

Leo hii kwasababu hamuwezi kuitafuna ndio kosa?
Ukifie gaza kenger maji wewe
 
Chama cha siasa ni mali ya wanachama na ni fahari kwao kukiendesha kwa hilohilo tone la rasilimali zao.
Chadema sio CCM, wanachama wake
wanasikia fahari kuendesha Chama chao tofauti na CCM inayo ibia wananchi kuendesha ma vx ya chama kwa fahari.
Ningekushauri kakojoe utawaze na kulala, waache wanaojitambua waendelee kujiandaa na NO REFORM NO ELECTION hivi karibuni
Pesa zetu tuwape wanasisa? Kama waliweza kumtoa mboye kwa mabilioni ya shilingi ushindwe kupata pesa?
 
Chadema kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli.

Watanzania wengi wanataka wapewe wao na sio kumpa mwanasiasa ale yeye.

Ndio maana karibu na uchaguzi watz wengi wanasubiri pesa za wabunge wale na sio za mwananchi ale mbunge . Hatuchangii pesa zetu zikaliwa na wanasiasa, tunazibiri zenu posho za bunge tuzile.
Lissu kama wewe uliekuwa na mabilioni ya shilingi hakuchangia chama. Jee sisi wanyonge tutazitoa wapi?
Kama huwezi kuchangia wengine watachanga
 
Kwanza hakuna mahali watu walipolazimishwa kuchangia

Pili hiyo ni sawa na mnavyochangia hizo fomu za rais timu za simba na yanga sa sijui wao sio wanyonge

Unyonge ni sifa mbaya mnyonge hawezi kujitetea
 
Back
Top Bottom