Pre GE2025 CHADEMA kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chadema kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli.

Watanzania wengi wanataka wapewe wao na sio kumpa mwanasiasa ale yeye.

Ndio maana karibu na uchaguzi watz wengi wanasubiri pesa za wabunge wale na sio za mwananchi ale mbunge . Hatuchangii pesa zetu zikaliwa na wanasiasa, tunazibiri zenu posho za bunge tuzile.

Soma Pia: CHADEMA wazindua mkakati maalum wa kidigitali wa tone tone, Februari 27, 2025

Lissu kama wewe uliekuwa na mabilioni ya shilingi hakuchangia chama. Jee sisi wanyonge tutazitoa wapi?
He CCM iyokata kodi mtu mwenye mshahara chini ya laki mbili ila wao waendeshe ma V8 ndo Wana akili?
 
Chadema kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli.
Kwani ccm na serikali yake wanapata wapi pesa, si ni tozo, kodi, nk za wanyonge?
Au wewe ulifikiri kuna mgodi wanapata pesa?
Una chuki kubwa sana dhidi ya Chadema!!
 
Chadema kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli.

Watanzania wengi wanataka wapewe wao na sio kumpa mwanasiasa ale yeye.

Ndio maana karibu na uchaguzi watz wengi wanasubiri pesa za wabunge wale na sio za mwananchi ale mbunge . Hatuchangii pesa zetu zikaliwa na wanasiasa, tunazibiri zenu posho za bunge tuzile.

Soma Pia: CHADEMA wazindua mkakati maalum wa kidigitali wa tone tone, Februari 27, 2025

Lissu kama wewe uliekuwa na mabilioni ya shilingi hakuchangia chama. Jee sisi wanyonge tutazitoa wapi?
Wajinga ndio waliwao, sasa unafikiri chama kitaendeshwa kwa biashara gani?
 
Back
Top Bottom