Pre GE2025 CHADEMA kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chadema kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli.

Watanzania wengi wanataka wapewe wao na sio kumpa mwanasiasa ale yeye.

Ndio maana karibu na uchaguzi watz wengi wanasubiri pesa za wabunge wale na sio za mwananchi ale mbunge . Hatuchangii pesa zetu zikaliwa na wanasiasa, tunazibiri zenu posho za bunge tuzile.
Lissu kama wewe uliekuwa na mabilioni ya shilingi hakuchangia chama. Jee sisi wanyonge tutazitoa wapi?
Bora hao kuliko kina SISIEMU😆
 
Vyama vyote vinafanya hivyo
Hata hao ccm wanaomba michango Kwa watu

Tena wao wanaomba mpaka mafuta ya kwenda kwenye ziara

So no problem ni mambo ya kawaida tena sana
Wanaenda kwa Wachina kuomba Mafuta na michango
 
Kwani ccm hela zao wanatoa wapi?....wewe mwehu sana!
CCM pesa inazito kutoka hazina ya serikali onayo endeshwa kwa kodi za wananchi na pesa zingine zinatoka kwenye miradi ambayo CCM imejimilikisha kutoka kwa serikali kama viwanja vya mipira na fremu za maduka ambayo vilikuwa mali ya wananchi enzi za chama kimoja, hivyo baada ya ujio wa vyama vingi waka vipoka na kuviita vya chama
 
Chadema kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli.

Watanzania wengi wanataka wapewe wao na sio kumpa mwanasiasa ale yeye.

Ndio maana karibu na uchaguzi watz wengi wanasubiri pesa za wabunge wale na sio za mwananchi ale mbunge . Hatuchangii pesa zetu zikaliwa na wanasiasa, tunazibiri zenu posho za bunge tuzile.

Soma Pia: CHADEMA wazindua mkakati maalum wa kidigitali wa tone tone, Februari 27, 2025

Lissu kama wewe uliekuwa na mabilioni ya shilingi hakuchangia chama. Jee sisi wanyonge tutazitoa wapi?
Malaria,vipi? Watanzania wameamua kuchangia Chadema ili kukiendesha chama chao Kwa kutumia falsafa ya nguvu ya umma. Wewe siyo miongoni mwao? Kama watanzania wameamua kuchangia wewe ni nani useme Hivyo? Umechelewa.
 
Chadema kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli.

Watanzania wengi wanataka wapewe wao na sio kumpa mwanasiasa ale yeye.

Ndio maana karibu na uchaguzi watz wengi wanasubiri pesa za wabunge wale na sio za mwananchi ale mbunge . Hatuchangii pesa zetu zikaliwa na wanasiasa, tunazibiri zenu posho za bunge tuzile.

Soma Pia: CHADEMA wazindua mkakati maalum wa kidigitali wa tone tone, Februari 27, 2025

Lissu kama wewe uliekuwa na mabilioni ya shilingi hakuchangia chama. Jee sisi wanyonge tutazitoa wapi?
Unasumbuliwa na ujinga wa kihalaiki wewe. Kwanini serikali inakusanya kodi kwa wananchi wote bia kuangalia umasikini au utajiri wao?
Umejawa na akili za UTEGEMEZI. Huna tofauti na wale watu WANAOKUNYA Kwenye MITARPO YA maji machafu kisha wanailaumu serikali Ije izoe mavi yao.
Jinga kabisa wewe. Ulitaka chadema wapate wapi pesa za kuendessha chama? Toka kwa mbowe? Ulishawahi ona tajir anatoa prsa bure
 
Hicho kidogo nikipeleke chadema? Lissu kakaa ubunge miaka 20 hajachangia chama
Serikali ya ccm imekaa madarakani miaka 60 plus wale USAID walikuwa wanafanya nn? Unajua maana ya busket funds kwenye AFYA?
Mwehu wewee
 
Chadema kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli.

Watanzania wengi wanataka wapewe wao na sio kumpa mwanasiasa ale yeye.

Ndio maana karibu na uchaguzi watz wengi wanasubiri pesa za wabunge wale na sio za mwananchi ale mbunge . Hatuchangii pesa zetu zikaliwa na wanasiasa, tunazibiri zenu posho za bunge tuzile.

Soma Pia: CHADEMA wazindua mkakati maalum wa kidigitali wa tone tone, Februari 27, 2025

Lissu kama wewe uliekuwa na mabilioni ya shilingi hakuchangia chama. Jee sisi wanyonge tutazitoa wapi?
Ni afadhali wao CDM tutawachangia kwa hiari yetu kuliko yale majambazi ya kijani yanakwapua kodi zetu! bila ridhaa. Vikiwemo wizi wa raslimali!!
 
Chadema kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli.

Watanzania wengi wanataka wapewe wao na sio kumpa mwanasiasa ale yeye.

Ndio maana karibu na uchaguzi watz wengi wanasubiri pesa za wabunge wale na sio za mwananchi ale mbunge . Hatuchangii pesa zetu zikaliwa na wanasiasa, tunazibiri zenu posho za bunge tuzile.

Soma Pia: CHADEMA wazindua mkakati maalum wa kidigitali wa tone tone, Februari 27, 2025

Lissu kama wewe uliekuwa na mabilioni ya shilingi hakuchangia chama. Jee sisi wanyonge tutazitoa wapi?
Wanawaambia Watanzania kwamba CCM imewafanya kuwa maskini. Halafu onawaambia Watanzania haohao maskini wawachangie ili wawaondolee umaskini! Ahahahahaha!

Chadema wamenikumbusha jamaa mmoja alikuja kulalamika kuwa rafiki yake kaandika kitabu chenge jina la "Jinsi ya Kupata Fedha" halafu akaenda kumuomba hela ili aka hapishe kitabu chake! Ahahahahaha!!!
 
Pesa zangu huzipati, nangojea za lema arusha nizile
Wala wewe sio mlengwa kwenye kuchangia tuache!! Mambo ya ngoswe mwachie ngoswe mwenyewe. Wewe endelea na mkataba wa Bandari Bagamoyo!! Utasaidia kizazi chako na wajukuu zako!!
 
Bora yule maendeleo tuliyaona
Mkuu kila Rais anao uwezo wa kuchukua pesa za watu wengine ambao ni matajiri na kufanya alichofanya yule mjinga. Sema utawala wa sheria ni muhimu sana. Aliiba ndani na kukopa nje kwa njia za siri. Kifupi yule alikuwa ananenda kuangamiza taifa na hakuna media yeyote ingeweza ku report hayo. Bila Mungu sijui tungekuwa wapi
 
Chadema kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli.

Watanzania wengi wanataka wapewe wao na sio kumpa mwanasiasa ale yeye.

Ndio maana karibu na uchaguzi watz wengi wanasubiri pesa za wabunge wale na sio za mwananchi ale mbunge . Hatuchangii pesa zetu zikaliwa na wanasiasa, tunazibiri zenu posho za bunge tuzile.

Soma Pia: CHADEMA wazindua mkakati maalum wa kidigitali wa tone tone, Februari 27, 2025

Lissu kama wewe uliekuwa na mabilioni ya shilingi hakuchangia chama. Jee sisi wanyonge tutazitoa wapi?
Na hao wanaojiendesha kwa ruzuku siyo Kodi ya hao wananchi wanyonge?!
 
Chadema kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli.

Watanzania wengi wanataka wapewe wao na sio kumpa mwanasiasa ale yeye.

Ndio maana karibu na uchaguzi watz wengi wanasubiri pesa za wabunge wale na sio za mwananchi ale mbunge . Hatuchangii pesa zetu zikaliwa na wanasiasa, tunazibiri zenu posho za bunge tuzile.

Soma Pia: CHADEMA wazindua mkakati maalum wa kidigitali wa tone tone, Februari 27, 2025

Lissu kama wewe uliekuwa na mabilioni ya shilingi hakuchangia chama. Jee sisi wanyonge tutazitoa wapi?
Vibaka na matapeli wa kisiasa
 
Tanzania haijawahi kupata Rais tajiri wote wametajirikia madarakani. Chuki yako kwa Jembe JPM inakupofusha
Mkuu kila Rais anao uwezo wa kuchukua pesa za watu wengine ambao ni matajiri na kufanya alichofanya yule mjinga. Sema utawala wa sheria ni muhimu sana. Aliiba ndani na kukopa nje kwa njia za siri. Kifupi yule alikuwa ananenda kuangamiza taifa na hakuna media yeyote ingeweza ku report hayo. Bila Mungu sijui tungekuwa wapi
 
Tunangoja wabunge tule pesa zao kampeni karibu, nyinyi mnazitaka zetu. Seriously?
Unapenda kula pesa za kampeni sio?
Unakumbuka mwenyekiti wenu JK alikuambiaje? Ukitaka kula shurti uliwe kwanza! Mnatafunana sana huko hasa vijana wa uvccm mnaliwa sio mchezo!
 
Back
Top Bottom