Pre GE2025 CHADEMA kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hawa ombaomba ndo wanataka wakabidhiwe rasilimali za nchi kweli? Hakuna ombaomba ambaye siyo mwizi.
Wewe ni mjinga ungegundua hizo jezi zenu na mabango yenu ya Mama anaupiga mwingi ni kodi za wananchi using andika huu ujinga!
 
Chadema kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli.

Watanzania wengi wanataka wapewe wao na sio kumpa mwanasiasa ale yeye.

Ndio maana karibu na uchaguzi watz wengi wanasubiri pesa za wabunge wale na sio za mwananchi ale mbunge . Hatuchangii pesa zetu zikaliwa na wanasiasa, tunazibiri zenu posho za bunge tuzile.
Lissu kama wewe uliekuwa na mabilioni ya shilingi hakuchangia chama. Jee sisi wanyonge tutazitoa wapi?
Wanyonge wanyongeni, haki yao wapeni.
 
Hawa ombaomba ndo wanataka wakabidhiwe rasilimali za nchi kweli? Hakuna ombaomba ambaye siyo mwizi.
Kuna mwizi hatari zaid ya yule anaye kwapua pesa hazina na kuhonga chawa wake kwa mgongo urais na mwenyekiti wa chama.?

Hii hoja muone hata aibu kuisimamia mana kama ni wizi wa pesa za wananchi kwa maslahi ya CCM ndiyo maisha halisi ya CCM ,imejimilijisha mali za nchi na kutaifisha kuziita za chama zinachotwa fedha hazina zikambiziwa chamani oneni aibu hii siyo hoja ya kutembea nayo inawavuq nguo wenyewe na inajibika kirahisi sana
 
Chadema kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli.

Watanzania wengi wanataka wapewe wao na sio kumpa mwanasiasa ale yeye.

Ndio maana karibu na uchaguzi watz wengi wanasubiri pesa za wabunge wale na sio za mwananchi ale mbunge . Hatuchangii pesa zetu zikaliwa na wanasiasa, tunazibiri zenu posho za bunge tuzile.
Lissu kama wewe uliekuwa na mabilioni ya shilingi hakuchangia chama. Jee sisi wanyonge tutazitoa wapi?
Tanzania kila mtu anachangishwa kuanzia walimu, wakulima, wafanyabiashara, wafanya kazi, wawekezaji nk. Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake. Isikuume.
 
Chadema kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli.

Watanzania wengi wanataka wapewe wao na sio kumpa mwanasiasa ale yeye.

Ndio maana karibu na uchaguzi watz wengi wanasubiri pesa za wabunge wale na sio za mwananchi ale mbunge . Hatuchangii pesa zetu zikaliwa na wanasiasa, tunazibiri zenu posho za bunge tuzile.
Lissu kama wewe uliekuwa na mabilioni ya shilingi hakuchangia chama. Jee sisi wanyonge tutazitoa wapi?
Kwani ccm hela zao wanatoa wapi?....wewe mwehu sana!
 
Mkuu hata nchi inaendeshwa kwa Kodi za watanzania wanyonge pia. Tena wameweka Tozo kwenye miamala ya simu na Luku ili watanzania wanyonge wanyongwe kabisa
 
Chadema kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli.

Watanzania wengi wanataka wapewe wao na sio kumpa mwanasiasa ale yeye.

Ndio maana karibu na uchaguzi watz wengi wanasubiri pesa za wabunge wale na sio za mwananchi ale mbunge . Hatuchangii pesa zetu zikaliwa na wanasiasa, tunazibiri zenu posho za bunge tuzile.
Lissu kama wewe uliekuwa na mabilioni ya shilingi hakuchangia chama. Jee sisi wanyonge tutazitoa wapi?
Kumbe wewe ni mpuuzi kweli kweli hayo mabilioni wanayochukua CCM kila mwezi kama ruzuku siyo kodi za walala hoi? Jitahidi watu wasijue kuwa huna akili.
 
Chadema kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli.

Watanzania wengi wanataka wapewe wao na sio kumpa mwanasiasa ale yeye.

Ndio maana karibu na uchaguzi watz wengi wanasubiri pesa za wabunge wale na sio za mwananchi ale mbunge . Hatuchangii pesa zetu zikaliwa na wanasiasa, tunazibiri zenu posho za bunge tuzile.
Lissu kama wewe uliekuwa na mabilioni ya shilingi hakuchangia chama. Jee sisi wanyonge tutazitoa wapi?
Ila sisiemu kukusanya tozo kwa wanyonge kununua ma V8 fresh tu!!
 
Chadema kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli.

Watanzania wengi wanataka wapewe wao na sio kumpa mwanasiasa ale yeye.

Ndio maana karibu na uchaguzi watz wengi wanasubiri pesa za wabunge wale na sio za mwananchi ale mbunge . Hatuchangii pesa zetu zikaliwa na wanasiasa, tunazibiri zenu posho za bunge tuzile.
Lissu kama wewe uliekuwa na mabilioni ya shilingi hakuchangia chama. Jee sisi wanyonge tutazitoa wapi?
Vp kwa upande wa wanaopora pesa za watanzania wanyonge kupitia mifumo kandamizi kama tozo na wizi wa raslimali , wao unawasemeaje
 
Chadema kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli.

Watanzania wengi wanataka wapewe wao na sio kumpa mwanasiasa ale yeye.

Ndio maana karibu na uchaguzi watz wengi wanasubiri pesa za wabunge wale na sio za mwananchi ale mbunge . Hatuchangii pesa zetu zikaliwa na wanasiasa, tunazibiri zenu posho za bunge tuzile.
Lissu kama wewe uliekuwa na mabilioni ya shilingi hakuchangia chama. Jee sisi wanyonge tutazitoa wapi?
Umeambiwa tone tone....hata jero tu.
 
Hujalazimishwa kuchanga, ukitaka changa na kama hutaki pita kushoto kwani siyo lazima. Mambo ya chadema waachie wao. Tatizo mabinti siku hizi kila kitu mnakidangia
 
Chadema kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli.

Watanzania wengi wanataka wapewe wao na sio kumpa mwanasiasa ale yeye.

Ndio maana karibu na uchaguzi watz wengi wanasubiri pesa za wabunge wale na sio za mwananchi ale mbunge . Hatuchangii pesa zetu zikaliwa na wanasiasa, tunazibiri zenu posho za bunge tuzile.
Lissu kama wewe uliekuwa na mabilioni ya shilingi hakuchangia chama. Jee sisi wanyonge tutazitoa wapi?

Vyama vyote vinafanya hivyo
Hata hao ccm wanaomba michango Kwa watu

Tena wao wanaomba mpaka mafuta ya kwenda kwenye ziara

So no problem ni mambo ya kawaida tena sana
 
Chadema kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli.

Watanzania wengi wanataka wapewe wao na sio kumpa mwanasiasa ale yeye.

Ndio maana karibu na uchaguzi watz wengi wanasubiri pesa za wabunge wale na sio za mwananchi ale mbunge . Hatuchangii pesa zetu zikaliwa na wanasiasa, tunazibiri zenu posho za bunge tuzile.
Lissu kama wewe uliekuwa na mabilioni ya shilingi hakuchangia chama. Jee sisi wanyonge tutazitoa wapi?
Heri iwe hivyo KULIKO kuiba resources za Watanzania kisha mnawaita Wanyonge......
 
Back
Top Bottom