Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Chadema kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli.
Watanzania wengi wanataka wapewe wao na sio kumpa mwanasiasa ale yeye.
Ndio maana karibu na uchaguzi watz wengi wanasubiri pesa za wabunge wale na sio za mwananchi ale mbunge . Hatuchangii pesa zetu zikaliwa na wanasiasa, tunazibiri zenu posho za bunge tuzile.
Lissu kama wewe uliekuwa na mabilioni ya shilingi hakuchangia chama. Jee sisi wanyonge tutazitoa wapi?
Nenda kalale usiye na maono. Ndani ya mwezi huu, tayari nimerusha sh laki 5. Nimejiwekea utaratibu wa laki 5 kila mwezi. Na wapo wengi wanaendelea kuchangia.
Hili jambo lina wenyewe, wewe halikuhusu.