Pre GE2025 CHADEMA kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tanzania haijawahi kupata Rais tajiri wote wametajirikia madarakani. Chuki yako kwa Jembe JPM inakupofusha
Mimi sina chuki na huyo jembe wenu, kwana hanijui na mimi simjui na kubwa zaidi yeye ameshauliwa na Mungu. Mliitwa wanyonge mpaka anakufa bado mko wanyonge. Wenzenu alikuwa anapiga pesa nyie anawaita wanyonge mnakenua mpaka leo
 
Unapenda kula pesa za kampeni sio?
Unakumbuka mwenyekiti wenu JK alikuambiaje? Ukitaka kula shurti uliwe kwanza! Mnatafunana sana huko hasa vijana wa uvccm mnaliwa sio mchezo!
Mimi nishaliwa kura yangu
 
Punguza mkulilia kila kona ya JF
Mimi sina chuki na huyo jembe wenu, kwana hanijui na mimi simjui na kubwa zaidi yeye ameshauliwa na Mungu. Mliitwa wanyonge mpaka anakufa bado mko wanyonge. Wenzenu alikuwa anapiga pesa nyie anawaita wanyonge mnakenua mpaka leo
 
Chadema kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli.

Watanzania wengi wanataka wapewe wao na sio kumpa mwanasiasa ale yeye.

Ndio maana karibu na uchaguzi watz wengi wanasubiri pesa za wabunge wale na sio za mwananchi ale mbunge . Hatuchangii pesa zetu zikaliwa na wanasiasa, tunazibiri zenu posho za bunge tuzile.

Soma Pia: CHADEMA wazindua mkakati maalum wa kidigitali wa tone tone, Februari 27, 2025

Lissu kama wewe uliekuwa na mabilioni ya shilingi hakuchangia chama. Jee sisi wanyonge tutazitoa wapi?
Kweli hili taifa vilaza ni wengi sana..
 
Mbona wanaowaibia watanzania hawaja faulu?
 
Pole mkuu kila jina JPM likitajwa unalalamika sana
Mkuu sasa mimi nilie kwa sababu gani? Sijawahi kuwa mnyonge kama wewe. Watu wa kulia ni nyie wanyonge ambao basha wenu kasepa
 
Pole mkuu kila jina JPM likitajwa unalalamika sana
Mkuu mimi silalamiki ila nasema matendo yake maovu. Hata wewe unayejiita mnyonge una haki ya kusema mazuri yake kama yapo. Mimi kama mimi naamini kuwa Jiwe alikuwa laana kwa Taifa lakini wewe unayejiita mnyonge unaweza pia kuona alikuwa shujaa wako
 
Pole mkuu
Mkuu mimi silalamiki ila nasema matendo yake maovu. Hata wewe unayejiita mnyonge una haki ya kusema mazuri yake kama yapo. Mimi kama mimi naamini kuwa Jiwe alikuwa laana kwa Taifa lakini wewe unayejiita mnyonge unaweza pia kuona alikuwa shujaa wako
 
Chadema kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli.

Watanzania wengi wanataka wapewe wao na sio kumpa mwanasiasa ale yeye.

Ndio maana karibu na uchaguzi watz wengi wanasubiri pesa za wabunge wale na sio za mwananchi ale mbunge . Hatuchangii pesa zetu zikaliwa na wanasiasa, tunazibiri zenu posho za bunge tuzile.

Soma Pia: CHADEMA wazindua mkakati maalum wa kidigitali wa tone tone, Februari 27, 2025

Lissu kama wewe uliekuwa na mabilioni ya shilingi hakuchangia chama. Jee sisi wanyonge tutazitoa wapi?
Ccm ikiitwa Tanu ilituchangisha tukajenga viwanja vya mipira,ofisi, mashule vyote hivyo ni nguvu za wanachi lakini anayefaidika ni ccm labda ulikuwa hujazaliwa au ni mvivu wa kusoma historia ila mwepesi tu wa kukurupuka na matukio.

Kwanza ni njia mojawapo ya kupata watu,maana kama mtu hakutaki hatakuchangia.

Acha waonyeshe mapenzi yao,kwa kutoa nguvu na walichonacho kwa chama wakupendacho
 
Chadema kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli.

Watanzania wengi wanataka wapewe wao na sio kumpa mwanasiasa ale yeye.

Ndio maana karibu na uchaguzi watz wengi wanasubiri pesa za wabunge wale na sio za mwananchi ale mbunge . Hatuchangii pesa zetu zikaliwa na wanasiasa, tunazibiri zenu posho za bunge tuzile.

Soma Pia: CHADEMA wazindua mkakati maalum wa kidigitali wa tone tone, Februari 27, 2025

Lissu kama wewe uliekuwa na mabilioni ya shilingi hakuchangia chama. Jee sisi wanyonge tutazitoa wapi?
Wewe Malaya wa kisiasa una umia ukiwa wapi?Tutachanga sana tu
 
Hadi wa leo bado tu unaomboleza
Asante mkuu, lakini aliyefiwa na shujaa wake ni wewe. Mimi kwangu na watanzania wengi ukitoa nyie mnaojiita wanyonge ni furaha tele
 
Bora hawa wanao kusanya kutoka kwa wananchi kwa kusema na kwa uwazi kuliko wale wa CCM walio jimilikisha mali za umma na wana jichotea kodi za walalahoi hazina na kwenda kununulia mabasi na kuhongana kukatiana viuno DODOMA.
Mali Yao Wana Haki y kutumia wapendavyo bila kupangiwa.
 
Back
Top Bottom