Bora hawa wanao kusanya kutoka kwa wananchi kwa kusema na kwa uwazi kuliko wale wa CCM walio jimilikisha mali za umma na wana jichotea kodi za walalahoi hazina na kwenda kununulia mabasi na kuhongana kukatiana viuno DODOMA.Chadema kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli.
Watz wengi wanataka wapewe wao na sio kumpa mwanasiasa ale yeye.
Ndio maana karibu na uchaguzi watz wengi wanasubiri pesa za wabunge wale na sio za mwananchi ale mbunge
Name calling haitakiwi hapa, mimi siye huyo unayemzungumzia.Nilijua tu wewe ni mwanapinduzi askofu wa chadema kutokana na style yako ya comment
Wee ni kajinga na kapuuziChadema kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli.
Watanzania wengi wanataka wapewe wao na sio kumpa mwanasiasa ale yeye.
Ndio maana karibu na uchaguzi watz wengi wanasubiri pesa za wabunge wale na sio za mwananchi ale mbunge . Hatuchangii pesa zetu zikaliwa na wanasiasa, tunazibiri zenu posho za bunge tuzile
Comment zako zimejaa udiniName calling haitakiwi hapa, mimi siye huyo unayemzungumzia.
Mimi njoo hapa Uzunguni Dom jirani na Supika utanikuta.
Pesa zangu huzipati, nangojea za lema arusha nizileWee ni kajinga na kapuuzi
Miaka na miaka tumechanga, join the chain na mingine mingi.Chadema kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli.
Watanzania wengi wanataka wapewe wao na sio kumpa mwanasiasa ale yeye.
Ndio maana karibu na uchaguzi watz wengi wanasubiri pesa za wabunge wale na sio za mwananchi ale mbunge . Hatuchangii pesa zetu zikaliwa na wanasiasa, tunazibiri zenu posho za bunge tuzile
Una pesa gani fukara nyikani wewe😂Pesa zangu huzipati, nangojea za lema arusha nizile
Pesa zetu tuwape wanasisa? Kama waliweza kumtoa mboye kwa mabilioni ya shilingi ushindwe kupata pesa?Chama cha siasa ni mali ya wanachama na ni fahari kwao kukiendesha kwa hilohilo tone la rasilimali zao.
Chadema sio CCM, wanachama wake
wanasikia fahari kuendesha Chama chao tofauti na CCM inayo ibia wananchi kuendesha ma vx ya chama kwa fahari.
Ningekushauri kakojoe utawaze na kulala, waache wanaojitambua waendelee kujiandaa na NO REFORM NO ELECTION hivi karibuni
Gaza kwa wanaumeMiaka na miaka tumechanga, join the chain na mingine mingi.
Leo hii kwasababu hamuwezi kuitafuna ndio kosa?
Ukifie gaza kenger maji wewe
Hicho kidogo nikipeleke chadema? Lissu kakaa ubunge miaka 20 hajachangia chamaUna pesa gani fukara nyikani wewe😂
Kama huwezi kuchangia wengine watachangaChadema kukusanya pesa za watanzania wanyonge kwa lengo la kuendesha chama hapa wamefeli.
Watanzania wengi wanataka wapewe wao na sio kumpa mwanasiasa ale yeye.
Ndio maana karibu na uchaguzi watz wengi wanasubiri pesa za wabunge wale na sio za mwananchi ale mbunge . Hatuchangii pesa zetu zikaliwa na wanasiasa, tunazibiri zenu posho za bunge tuzile.
Lissu kama wewe uliekuwa na mabilioni ya shilingi hakuchangia chama. Jee sisi wanyonge tutazitoa wapi?
Tunangoja wabunge tule pesa zao kampeni karibu, nyinyi mnazitaka zetu. Seriously?Bila shaka wew ni wale wa kula nyama za bure na pombe za bure