Huwa najiuliza watu kama ninyi kichwani mmejaza nini zaidi ya funza? Yaani akili ni finyu kama ya mende..Kama kuna mtu huwa anaamini yale maigizo ya chadema ya kudai katiba mpya tumpe pole.
unadai katiba mpya wakati unataka uvunjifu wa katiba ufanyike?
Mashehe wa Uamsho walitolewa na Mahakama?Separation of powers bro.
Assume unayosema ni sahihi, niambie sababu sasa za Samia kumsamehe asitekeleze azma yake ya toka mwanzoUnaongea kama mtu aliyeamua ajivike ujinga kwa muda.
1) Anayemshtaki Mbowe ni Samia
2) Aliyempa Mustapha rushwa ya cheo ili kutoa hukumu ya upendeleo ni Samia.
3) Aliyembambikia kesi Mbowe na wenzake ni Samia (ndiye kiongpzi mkuu wa Polisi na majeshi yote)
Kama aliyewabambikia kesi ni Samia, aliyewashtaki ni Samia, aliyetoa rushwa kwa jaji aliyekuwa anaendesha kesi ni Samia. Unadhani ni nani mwenye uwezo wa kuifuta kesi hiyo kama si yule aliyeitengeneza?
Kwa utashi na akili zako unaziona hizo separation of powers? Unataka kutuaminisha kuwa zipo siyo? Zingekuwepo mh. Samia asingethubutu kuongea na BBC juu ya kesi ya uhaini iliyokuwa mahakamani! Lakini Kwa kuwa mhimili uliopo ni mmoja na mingine imevyonzwa na mhimili wa rais ndio maana alijidhihirisha kuwa mhimili wake ni Alfa na Omega! Pia asingempa rushwa ya madaraka jaji huyo aliyeamua kumfurahisha na kumwambia Asante Kwa cheo na nitakufurahisha zaidi! Mpaka hapo unaiona hiyo mhimili iliyosalia ikifurukuta zaidi ya kupamba na kusifu? Kuwa gt sometime!Separation of powers bro.
Ndio tatizo la kuamini mtu kwa kua eti mzungu. Hivi yule shoga armsterdam ndio mtu wa kumuamini kuwashauri nyie chadema? Si kukosa akili tu! Mbowe alipokea ushauri wa ovyo kwa kufikiri kila anachoambiwa na wazungu ni sawa. Sasa nendeni kwenye kesi msipige chenga.Huku sasa kwa wanaCHADEMA ni kupaniki na hii ni baada ya Caution statement za mmoja wa watuhumiwa wenzake na Mbowe kupokelewa kama ushahidi mahakamani.
Kwa nini Mnyika J, anasahau na kutoa kauli za ajabu ambazo hazina mashiko? Kesi ipo mahakamani na rais hana mamlaka ya kuingilia muhimili wa mahakama. Lakini Mnyika anaomba rais atoe neno ili kesi ifutwe. Hii ni sawa?
Kama chama makini nilitegemea kipambane Mahakamani ili kuwashinda Jamhuri, lakini sio kuomba msaada kwenye tuta wakati wanajua mhimili wa mahakama upo huru. Hii inaanza kutia shaka huenda watuhumiwa wanakosa.
My take: Mambo ya Mahakama tuwaachie mahakama.
"those who think they are wise are fools, and fools are only as wise as they think"Huwa najiuliza watu kama ninyi kichwani mmejaza nini zaidi ya funza? Yaani akili ni finyu kama ya mende..
Mbona Rais hakuachia mahakama aliwaingiliaHuku sasa kwa wanaCHADEMA ni kupaniki na hii ni baada ya Caution statement za mmoja wa watuhumiwa wenzake na Mbowe kupokelewa kama ushahidi mahakamani.
Kwa nini Mnyika J, anasahau na kutoa kauli za ajabu ambazo hazina mashiko? Kesi ipo mahakamani na rais hana mamlaka ya kuingilia muhimili wa mahakama. Lakini Mnyika anaomba rais atoe neno ili kesi ifutwe. Hii ni sawa?
Kama chama makini nilitegemea kipambane Mahakamani ili kuwashinda Jamhuri, lakini sio kuomba msaada kwenye tuta wakati wanajua mhimili wa mahakama upo huru. Hii inaanza kutia shaka huenda watuhumiwa wanakosa.
My take: Mambo ya Mahakama tuwaachie mahakama.
hii inaonyesha jinsi ccm ilivyojichokea kuwapa rushwa ya vyeo majaji ili watekeleze matakwa yao
Walinzi wa sabaya hawakupigwa kuteswa watoe maelezo , uovu wa sabaya upo wazi ni tofauti na kesi ya mboweMashabiki wa sabaya si ni ccm au? Kwahiyo akili za chadema na ccm zinafanana? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuwapa vyeo majaji wasigina sheria kwa makusudi ni kuingilia mahakama kwani hiyo ni Rushwa ya vyeoWanamuhadaa Hangaya aingilie mahakama waseme ni dikiteta anaingilia mpaka Mahakama.
Hangaya ulishateua majaji acha wapige kazi we endelea kujitambulisha kwa majirani.
Sijui nani yupo juu uhuni huu wa kuwapa vyeo majaji wavuruga kesiSijui ni nani yupo nyuma ya uhuni huu anaofanyiwa Mbowe
Ya msingi PGO imesababisha jaji kupanda cheo baada ya kukataa utetesi wa kweli na kukumbatia utetezi wa kuunga ungaJaduong acha hasira, tujadili jambo la msingi.
Kwani Kesi ya Rugemalira na kesi nyingine ambazo DPP anazifutia mashitaka, haziwi mahakamani? Mbona mnajirudisha nyuma jamani?Huku sasa kwa wanaCHADEMA ni kupaniki na hii ni baada ya Caution statement za mmoja wa watuhumiwa wenzake na Mbowe kupokelewa kama ushahidi mahakamani.
Kwa nini Mnyika J, anasahau na kutoa kauli za ajabu ambazo hazina mashiko? Kesi ipo mahakamani na rais hana mamlaka ya kuingilia muhimili wa mahakama. Lakini Mnyika anaomba rais atoe neno ili kesi ifutwe. Hii ni sawa?
Kama chama makini nilitegemea kipambane Mahakamani ili kuwashinda Jamhuri, lakini sio kuomba msaada kwenye tuta wakati wanajua mhimili wa mahakama upo huru. Hii inaanza kutia shaka huenda watuhumiwa wanakosa.
My take: Mambo ya Mahakama tuwaachie mahakama.
Mashabiki wa sabaya si ni ccm au? Kwahiyo akili za chadema na ccm zinafanana? [emoji23][emoji23][emoji23]
Au wewe ndio Power Kaaya unajifariji hapa....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Umefuatilia mahojiano? Power Kaaya anateseka mno. Atajuta kukaririshwa script ambayo anapwaya. Mbowe aliruhusiwa kutoka gerezani kwenda kumuona Power Kaaya Longido? Halafu akampakia Power Kaaya kwenye V8 ya KUB 2020? [emoji86][emoji86][emoji86][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huu ushauri wangeusikiliza wasingeaibishwa na Power Kaaya.