Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Hakuna wa kumtoa Babu Tale pale,pesa ndio zinaongea sio empty wordsJimbo la bure kabisa lile mkiweka mtu makini mchana kweupe mnalipata lile jimbo.
Wekeni kichwa haswa pale, mmbunge wa sasa wa pale ni mweupe peeee kichwani.
Sugu amezoea mambo gani?Babu Tale yeye amezoea mambo ya mziki nadhani siasa kama inamshinda
Pesa? Kumbe siyo Kiongozi bora anategemea pesa.😃Hakuna wa kumtoa Babu Tale pale,pesa ndio zinaongea sio empty words
Kwani Kiongozi Bora ni porojo za umaskini wako?Pesa? Kumbe siyo Kiongozi bora anategemea pesa.😃
Eti mweupe peeee 😂😂Wekeni kichwa haswa pale, mmbunge wa sasa wa pale ni mweupe peeee kichwani.
Uchaguzi ule alimtoa mke wake huu labda akutoe wewe labda ndio atapitaKwani Kiongozi Bora ni porojo za umaskini wako?
Kumbe unajua? Kauze maneno uone kama utapataUchaguzi ule alimtoa mke wake huu labda akutoe wewe labda ndio atapita
Magu aliwabeba hawaKuna tale na mwana FA Hawa jamaa cjui ubunge waliupataje
Kuna tale na mwana FA Hawa jamaa cjui ubunge waliupataje
This time nasikia kambiwa achague kati ya simba la masimba dangote au mbosso ndio apate ubungeMwenzako kamtoa mkewe kafara ili awe pale,hakuna wa kumtoa
Jamaa kawahonga wajumbe wa nyumba 10 elfu 50 kila mmoja, halafu wao wakachomoa buku buku kumchangia fomu, wamebakiwa na elfu 49!Jimbo la bure kabisa lile mkiweka mtu makini mchana kweupe mnalipata lile jimbo.
Wekeni kichwa haswa pale, mbunge wa sasa wa pale ni mweupe peeee kichwani.
Hao Ni Moja Ya Wabunge Waliopewa Hisani Na MzilankendeBabu Tale yeye amezoea mambo ya mziki nadhani siasa kama inamshinda