Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #61
CDM kweli wamefulia, yaani mkutano una mic tatu tu!! Kama kuna dhambi mlitenda huko nyuma mkatubu
View attachment 1927787
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CDM kweli wamefulia, yaani mkutano una mic tatu tu!! Kama kuna dhambi mlitenda huko nyuma mkatubu
View attachment 1927787
Lowasa ni Mtanzania, ni mwana siasa, alikuwa waziri mkuu wa Tanzania, Wewe ni Nani Mama D? Mchepuko wa mwana siasa?!Chadema 2005 - 2014 😃😃😃😃 halafu eti Mbowe hana makosa🤣🤣🤣🤣
View attachment 1928300View attachment 1928302
Hawa Chadema ambao hawana madhara kwa CCM kwanini mnawaandamana na majeshi ya ulinzi na Usalama kwenye mikutano Yao?Mngewaacha tu manake wameshajifia![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zamani enzi za dk Slaa ukisikia chadema wana press ujue kuna bomu litalipuliwa huko la hatari litatokisa hadi mitaa ya magogoni pale. Na uzi wake hapa lazima ufikishe coments zaidi ya elfu 1.
Leo hii chadema wanafanya press alafu inashia ufipa tu?
Lowasa ni Mtanzania, ni mwana siasa, alikuwa waziri mkuu wa Tanzania, Wewe ni Nani Mama D? Mchepuko wa mwana siasa?!
Hapa ulipo ni ufipa ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zamani enzi za dk Slaa ukisikia chadema wana press ujue kuna bomu litalipuliwa huko la hatari litatokisa hadi mitaa ya magogoni pale. Na uzi wake hapa lazima ufikishe coments zaidi ya elfu 1.
Leo hii chadema wanafanya press alafu inashia ufipa tu?
Mtabadili ID hadi lini ?Blah blah blah za waropokaji na wapayukaji wa mtaa wa ufipa
afu kweel ee?Saa 6 mchana huu
Mmesagwa Sana na Halima, siyo?Yule msagaji au
Chadema wapo humu jf andika matatizo yenu hapa huko mitaani hawapo.Jamani mbona hamji huku vijijini kuongea na sisi wananchi tukawaeleza matatizo na mahitaji yetu ili myaongelee? Chadema ile ya zamani walikuwa wanafanya hivyo.
Nyie kila siku ni kuongea na wandishi wa habari tu!
Hujui kwamba CHADEMA hawaruhusiwi kufanya mikutano ya hadhara na kuongea na wananchi, tangu awamu ya 5?!Jamani mbona hamji huku vijijini kuongea na sisi wananchi tukawaeleza matatizo na mahitaji yetu ili myaongelee? Chadema ile ya zamani walikuwa wanafanya hivyo.
Nyie kila siku ni kuongea na wandishi wa habari tu!
Umekariri ujinga tu, kwa sababu ya ufinyu wa akili!Na mbowe alishiriki kumwita kibaka, tena akawashangaeni kwanini hamjamchoma moto!. Unalijua hilo au wewe bendera tuu?
View attachment 1928587
Umekariri ujinga tu, kwa sababu ya ufinyu wa akili!
Sawa, Wewe unaye tafuta cheo kwa kugawa uroda, ni mjanja!Mlichofanya nyie kuua chama kwa kununuliwa na Lowasa ni ujinga uliopitiliza ila kwa wajinga grade1 kama wewe mnaona ni bonge la deal
Sawa, Wewe unaye tafuta cheo kwa kugawa uroda, ni mjanja!
Sawa ila Lowasa amefika alipo kwa njia tofauti na hizo zako!Sasa kama nagawa kwa starehe yangu kwanini wewe uumie?? Au ndio ushamtamani rijali wangu🤣🤣
Bahati nzuri huwa hafanyi hiyo michezo yako