CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya chama

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426

Hii ndio taarifa mpya kwa wakati huu inayozunguka dunia nzima , kwamba Chadema yenye Makao Makuu yake Kinondoni , Nje ya Jiji la Dar es Salaam itakuwa na Mkutano na waandishi wa Habari Tarehe 1/4/2021 kwenye ofisi za Makao Makuu yake .

Waandishi wote mnakaribishwa lakini mnakumbushwa kuzingatia mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona .
 
Wewe ni msemaji wa chama?
 
Watueleze na juu ya afya ya akili ya Lissu, maana amesikika VOA akisema mlinzi mweusi wa Magufuli alikufa kwa corona.

Tutachangia matibabu ya ugonjwa wa akili wa Lissu.
 
😷😷😷
 
Watueleze na juu ya afya ya akili ya Lissu, maana amesikika VOA akisema mlinzi mweusi wa Magufuli alikufa kwa corona.

Tutachangia matibabu ya ugonjwa wa akili wa Lissu.
Kama kuna watu mpaka sasa hawajajua kuwa huyo jamaa ni chizi, aka dishi limeyumba, basi hao watu ni machizi zaidi; inabidi tuutambue uchizi kama janga la kitaifa
 
Eti jijini Dar es salaam!!
 
Watueleze na juu ya afya ya akili ya Lissu, maana amesikika VOA akisema mlinzi mweusi wa Magufuli alikufa kwa corona.

Tutachangia matibabu ya ugonjwa wa akili wa Lissu.
Umesikia hilo tu ? unawajua walinzi wote wa mkuu mwendazake ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…