CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya chama

Tuonyesheni basi na hayo Makao Makuu manyofanyia press conference ya "dunia nzima"
 
Isiwe umeliweka hapa tangazo hilo kwa sababu ya tarehe hiyo!
 
Kama ni zaidi ya saa nne asubuhi nitakuja na kamera yangu chini ya hapo siko tayari kuwa mjinga.
 
Vizuri wamsaidie mama, Kuna dalili ya kuanza kupuuza katiba aliyoapa kuilinda hasa uundaji wa baraza
 
Tuko tayari. Kwa sasa tunapumua. Kha!
 
Hajaribiwi yule.
Wacha wamjaribu wataipata na vile anajua sana kama mtamjaribu shauri yenu nyie si mliwata kina Mdee COVID 19 mmesahau?? atawakumbusheni kinamna kwani matamko yale yalikuwa ni unyanyasaji wa kijinsia na yeye ni mama kama wale mliowaita covid 19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…