CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
TAARIFA KWA UMMA

Leo jumamosi saa Saba kamili mchana tutafanya mkutano na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama Kinondoni, Waandishi wote mnakaribishwa .

Tunashauri kuzingatia protocol zote za Kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona.

Muhimu : Tusisahau mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona
 
Asante kwa taarifa mleta mada.

Ila, Ni muhimu kuwa na mpangilio unaoeleweka kwenye hizi 'press conference' za chama.
Juzi kati aliongea Mnyika, leo tena nyingine sasa ile ya JJ haikuwa ya chama?
 
View attachment 1891750

Muhimu : Tusisahau mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona
Nasikia za chini chini / tetesi zinasema kuwa huenda leo CHADEMA wakabadilika ghafla na kuanza kumuunga Mkono aliyekuwa Adui yao Mkuu Ole Sabaya hasa kutokana na Utetezi wake murua wa Jana na kuamua kuachana na Mwenyekiti wao Taifa Freeman Mbowe na kwamba ajibebe tu Mwenyewe kwani wameshachoka na Kesi zake na nenda rudi.

Kama hii itakuwa ni kweli basi hata Mimi nisiyeshabikia Chama chochote kile cha Siasa nchini Tanzania nitaanza rasmi kuwa Shabiki na hata kuomba Uanachama wa CHADEMA kwakuwa nitaona kuwa sasa wameanza Kujitambua.
 

Hawa wanataka kutupa namba ya kuchangia michango
Kuwasaidia mawakili na nauli ya lisu
 
stupid
 
Tuondoleeni ujinga wenyu hapa nyie cdm. Tanzania ni nchi huru hatuongozwi na serikali ya dunia hii ya mpango wa mpinga Kristo yaani 'UN na Wizara yake ya Afya -WHO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…