Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #21
wafuasi wa Gwajima bhana !Tuondoleeni ujinga wenyu hapa nyie cdm. Tanzania ni nchi huru hatuongozwi na serikali ya dunia hii ya mpango wa mpinga Kristo yaani 'UN na Wizara yake ya Afya -WHO.
Mutungi anatia aibu sanaNadhani leo watuwa wanamlipua Msajili.
wafuasi wa Gwajima bhana !
Press conference za Mnyika zinazidiwa na za Haji Manara kwa ushawishi siku hizi
Unadhani ni siasa za mambo gani ya maana kama si kusema na kuhusisha kila kitu kizuri au kibaya na CCM na serikali yao chini ya kwanza ya aliyekuwa Rais mwendazake John Pombe Magufuli na huyu mama Samia Suluhu Hassan..??Muwe mnaongea mambo ya maana sasa huko kwenye press na sio hizi siasa za kitoto zisizo na kichwa wala miguu..
Wala usihangaike na Mnyika ukiona hazikuvutii tafuta hotuba za Mwendazake uzirudie kusikilizaPress conference za Mnyika zinazidiwa na za Haji Manara kwa ushawishi siku hizi
Huyo Mungu unayemuabudu kaletwa na hao hao wazungu unaowachukia kwenye meli! Na walimleta kwa dhumuni moja kubwa ambalo ni watutawale vizuri kwa kutumia propaganda zilizopo kwenye hicho kitabu unachokiami, kwamba ukipigwa shavu hili geuzia lingine!! Mababu zetu sababu ya ujinga wao wakayameza mazima mazima, mwisho wa siku wakaishia kuwa watumwa na kuuza ardhi zao na utu wao kwa hao wakristo wazungu!! Leo hii mnajitokeza waafrika wajinga kama wewe na kumuita Mungu wa Israel eti mungu wenu!!!Mjinga wewe, mimi ni Mfwasi wa Bwana Yesu. Mungu wa Mbinguni aliye jivika uwanadamu ili aishi kati yetu wanadamu hapa duniani na atukomboe kutoka kifo cha milele yote . Kilicho sababishwa na dhambi. Akawambwa Msalabani Akafa, Akazikwa na siku ya tatu Akafufuka kutoka kwa wafu. Akashinda kaburi na kifo.
Ufuasi wangu kwa Yesu usinge kuwa na maana yeyote kama asinge fufuka. Na kama Damu yake isingemwagika pale Msalabani bado ningekuwa na tegemea damu za ndege na wanyama kondoo, mbusi, ngombe na ngamia kutoa kafara. Lakini kwa Damu yake ya Thamani Kuu kushinda hizi nyingine zote ambazo zimegeuka kuwa ni najisi kwa kuinajisi ardhi na nchi ya Huyu Mwanadamu Yesu imeniweka Huru KweliKweli.
Kuongea yanayo fanana na Gwajima sio kigezo unachoweza kunifanya mimi kuwa mfwasi wake. Itoshe tu kujua Mungu wa Mbinguni alishaniepusha naye. Bali anapoongea kweli kuwa uhiari wa chanjo na uheshimiwe na yeyote yule elewa fika kwamba hapo tutaongea lugha moja na yeye.
Huyo Mungu unayemuabudu kaletwa na hao hao wazungu unaowachukia kwenye meli! Na walimleta kwa dhumuni moja kubwa ambalo ni watutawale vizuri kwa kutumia propaganda zilizopo kwenye hicho kitabu unachokiami, kwamba ukipigwa shavu hili geuzia lingine!! Mababu zetu sababu ya ujinga wao wakayameza mazima mazima, mwisho wa siku wakaishia kuwa watumwa na kuuza ardhi zao na utu wao kwa hao wakristo wazungu!! Leo hii mnajitokeza waafrika wajinga kama wewe na kumuita Mungu wa Israel eti mungu wenu!!!
Acha ufala wa kuabudu Mungu aliyeletwa na wazungu kwenye meli 1890, NyambafUlisha sema mababu zetu. Mjinga ni wewe usiyejua kuwa 'mimi si mababu zetu.' Jielimishe kwanza kwa jambo hili rahisi la kujua mimi si mababu zetu kabla ya kufuta ujinga mwengine wa mambo magumu.
Wanaongeaongea sana hawa wakati vitendo ni sufuri kabisa! Wasituchoshe! Au mnakuja kumjibu Kigogo2014?TAARIFA KWA UMMA
Leo jumamosi saa Saba kamili mchana tutafanya mkutano na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama Kinondoni, Waandishi wote mnakaribishwa .
Tunashauri kuzingatia protocol zote za Kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona.
Muhimu : Tusisahau mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona
Acha ufala wa kuabudu Mungu aliyeletwa na wazungu kwenye meli 1890, Nyambaf
Learner hawezi amini Mungu aliyeletwa kwenye meli kwa dhumuni ovuVidole vitatu vinakuelekea vikisema fala ni wewe. Hili nalo gumu wewe slow learner!
mnasumbua waandishi wa habari na hakuna cha maana mnachosema zaidi ya kulialia na kutoa puvu kutaka gaidi Mbowe aachiwe kinyume na sheria. Sijawahi kuona popote magazeti yanaandika uongo wa Mnyika baada ya Press conference. Hivi hamjiulizi ni kwa nini?TAARIFA KWA UMMA
Leo jumamosi saa Saba kamili mchana tutafanya mkutano na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama Kinondoni, Waandishi wote mnakaribishwa .
Tunashauri kuzingatia protocol zote za Kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona.
Muhimu : Tusisahau mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona
Mkuu, jikite kuabudu mungu wako, acha wengine wamwabudu MUNGU, shida iko wapiLearner hawezi amini Mungu aliyeletwa kwenye meli kwa dhumuni ovu
Kesi iko mahakamani.....
Pang'ang'a za kitaa hazisaidii.....
Vox populi vs dictates of the law.....
#KaziIendelee
Muwe mnaongea mambo ya maana sasa huko kwenye press na sio hizi siasa za kitoto zisizo na kichwa wala miguu..
Tupo tayari tunawangojea kwa hamu kujua muongozo wa makamanda ili tuiweke nchi yetu mahali pazuri inapostahili.TAARIFA KWA UMMA
Leo jumamosi saa Saba kamili mchana tutafanya mkutano na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama Kinondoni, Waandishi wote mnakaribishwa .
Tunashauri kuzingatia protocol zote za Kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona.
Muhimu : Tusisahau mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona
Tatizo jamaa vitu vyote nje ya huyo Mungu wake anaona ni ujinga, which is not rightMkuu, jikite kuabudu mungu wako, acha wengine wamwabudu MUNGU, shida iko wapi