CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya nchi Makao Makuu ya Chama

CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya nchi Makao Makuu ya Chama

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kama mnavyofahamu siku zote ni kwamba CHADEMA ndio inayoonyesha na kupanga Dira ya Taifa , ambayo kwa bahati nzuri wananchi wanaitekeleza , sasa tega sikio ujue ni mwongozo gani utatolewa.

Instagram media - CMhQrohHLu6 ( 692 X 640 ).jpg
 
Mawazo ya CHADEMA ndiyo huwa yanatoa dira ya Taifa ya utawala. chama kubwa & akili kubwa!!

Siti ya mbele saa nne unusu!!
Nabawa wakimaliza chaguzi zao nanusa tu,nchi hii itanyooka,polisi waandage mafuta ya kutosha ,mazoezi nchizima
 
Back
Top Bottom