CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya nchi Makao Makuu ya Chama

CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya nchi Makao Makuu ya Chama

Nitawahi siti. Tunataka Mnyika atoe tamko,juu ya hili swala la tundu kuwa balozi na mtetezi wa tabia za sodoma Africa.je hili swala Kama chama wanalitoleaje maelezo? Je, ni tetesi ama lipo!? asipo litolea maelezo Basi tutapigia mstari.
 
Ila mbowe sijui anatumia uchawi gani, HAKUNA anayestuka kuulizia ukomo wa mwenyekiti
 
Back
Top Bottom