CHADEMA kupeleka majina mengine ya wabunge Viti Maalum Bungeni

CHADEMA kupeleka majina mengine ya wabunge Viti Maalum Bungeni

PNC

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
8,106
Reaction score
14,353
CHADEMA kupeleka majina ya wabunge Viti Maalum Bungeni pamoja na kuanza kuchukua ruzuku ambayo wameigomea kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa.

Bunge kuridhia Halima Mdee na wenzake kuondolewa bungeni baada ya kikao cha Baraza kuu kutupilia mbali rufaa zao keshokutwa.

Chanzo: Darmpya
 
Chadema kupeleka majina ya wabunge Viti Maalum Bungeni pamoja na kuanza kuchukuwa ruzuku ambayo wameigomea kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa ,Bunge kuridhia Halima Mdee na wenzake kuondolewa bungeni baada ya kikao cha Baraza kuu kutupilia mbali rufaa zao keshokutwa
Chanzo : darmpyaView attachment 2218372
Mungu ibariki Chadema
 
Kikao kinafanyika kesho kutwa habari inatoka leo.

Hiki ni chama cha aina gani ambacho maamuzi ya chama yanavuja siku tatu kabla ya kutangazwa??
Kwani hiyo ni taarifa ya chama?
 
Back
Top Bottom