CHADEMA kupeleka majina mengine ya wabunge Viti Maalum Bungeni

CHADEMA kupeleka majina mengine ya wabunge Viti Maalum Bungeni

Kwani kikao si bado??

au hio ni habari ya mwaka jana
 
Kama mwanademokrasia ya "kitanzania"....naunga mkono kuendelea kuwaheshimu CHADEMA na misimamo yao hiyo.....ni chama chao na wana haki juu ya maamuzi yao.....

#Siempre JMT🙏
 
Kikao kinafanyika kesho kutwa habari inatoka leo.

Hiki ni chama cha aina gani ambacho maamuzi ya chama yanavuja siku tatu kabla ya kutangazwa??
Nimecheka sana mkuu. Hata wajumbe hawajafika Dar, na rufaa hazijasikilizwa, maamuzi yameshavuja mtaani siku tatu kabla 😅😅
 
Chadema kupeleka majina ya wabunge Viti Maalum Bungeni pamoja na kuanza kuchukuwa ruzuku ambayo wameigomea kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa ,Bunge kuridhia Halima Mdee na wenzake kuondolewa bungeni baada ya kikao cha Baraza kuu kutupilia mbali rufaa zao keshokutwa
Chanzo : darmpyaView attachment 2218372

09 May 2022
Ofisi za Makao Makuu CHADEMA
Dar es Salaam, Tanzania

LIVE: HIZI NDIZO AGENDA KUU 5 ZITAKAZO JADILIWA KATIKA MKUTANO WA BARAZA KUU CHADEMA

 
Nime edit hii conversation ku reflect picha litakavyokuwa huko upande wa pili.


Lk 10:17-24 SUV

Ndipo wale [kumi na tisa] waliporudi {mjengoni} kwa furaha, wakisema...

Lakini, msifurahi kwa vile [wanachama wenu] wanavyowatii; bali furahini kwa sababu majina yenu yameandikwa [bungeni].

Origional version inapatikana hapa!

 
Chadema wanatakiwa Wapeleke majina mengine halali kama Bado nafasi ya kupeleka ipo. Au Wapeleke majina mengine na barua ya kuwafuta uanachama akina Mdee. Ili kuzuia ujanja wa kwenda mahakama kuu kuzuia wao kufutwa uanachama jambo litakalowafanya waendelee kubebwa bungeni Kwa kusingizio kuwa Kesi Iko mahakamani.

Dawa ni kuwafuta uanachama na kupeleka majina mengine halali na kufunguliwakesi ya kufoji.
 
Kikao kinafanyika kesho kutwa habari inatoka leo.

Hiki ni chama cha aina gani ambacho maamuzi ya chama yanavuja siku tatu kabla ya kutangazwa??
Wanataka kukaa hawajakaa, na maamuzi ni ya wajumbe wote kutoka nchi nzima. Mtu anabeti tu huwezi kuchukulia kama ndio uamuzi.
Huenda wapo wachache wanaonyesha misimamo yao huko pembeni lakini bora kusubiri
 
Back
Top Bottom