CHADEMA kupeleka majina mengine ya wabunge Viti Maalum Bungeni

CHADEMA kupeleka majina mengine ya wabunge Viti Maalum Bungeni

Ma mdogo🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwanini nyie ACT msiwatumie hao sukuma gang?
Mimi Sina chama ndugu ila naamini katika HAKI. More than 70 percent ya Watanzania wanashiriki siasa bila kuwa wanachama wa vyama vya siasa. Fuatilia comments zangu Sina upande kuegemea vyama.
 
Kwahiyo sasabu zilizofanya wasipeleke hao wabunge 2020 zimeisha?

Hata hujui namna wabunge viti maalum wanavyopatikana. Kisheria kila chama huwasilisha majina NEC kabla ya uchaguzi mkuu bila kuwamo wale wanaogombea ubunge majimboni.
Baada ya uchaguzi matokeo za kura za urais na wabunge kwa kila chama ndiyo hudetermine idadi ya wabunge viti maalum.
Hivyo NEC tayari walikuwa na orodha ya majina yaliyopendekezwa na CDM hivyo akina Mdee, Bulaya waliogombea majimboni wasingekuwamo ktk orodha iliyopelekewa NEC, hata yule aliyekuwa mahabusu.
 
matendo yako yanaonyesha wewe ni ACT
Hapana ndugu mm nawe adui yetu ni mmoja ni UOVU ulokithiri ndani ya CCM bt Kila mmoja anapambana kivyake ndomana anapata kuwepo Hadi sasa. Nikufikirishe kdg umetaja ACT, Pana URAFIKI Gani kati ya ACT na S.Gang?
 
Kikao kinafanyika kesho kutwa habari inatoka leo.

Hiki ni chama cha aina gani ambacho maamuzi ya chama yanavuja siku tatu kabla ya kutangazwa??
Ni chama ambacho Baraza kuu lina wajumbe kati ya 500-600 lakini baadhi yao ni wajumbe mfu.
Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wao John Mnyika
Halafu eti wapo serious kutaka kushinda uchaguzi.
 
Hapana ndugu mm nawe adui yetu ni mmoja ni UOVU ulokithiri ndani ya CCM bt Kila mmoja anapambana kivyake ndomana anapata kuwepo Hadi sasa. Nikufikirishe kdg umetaja ACT, Pana URAFIKI Gani kati ya ACT na S.Gang?
Angalia Kwa makini makundi haya. 1.ccm Ina makundi mengi bt Kwa sasa Kuna WALAMBA asali na S.GUNG. 2. ACT Kuna mawili makubwa, waumini wa seif na waumini wa zitto . At the same time ACT wanashirikiana na CCM walamba asali. 3. CHADEMA IPO kivyake ingawa wapo wanaoamini utandaji wa Dr Slaa alpokuwa k.mkuu. Kwa mbali NCCR inaisapoti CHADEMA ktk masuala ya Katiba mpya

4. Lipo kundi kubwa la wananchi wasio na vyama mm nikiwemo, linahusisha mama ntilie, machinga, watumishi wa Serikali wafanya biashara nk.

Ni muda sasa CHADEMA imekuwa ikipokea wagombea Kutoka CCM walotemwa na kuwatumia kushinda uchaguzi ktk majimbo, kwann wanaliacha kundi la s.gang ambao wengi wapo ktk kundi No.4?

Kwa uonavyo wewe kisayansi, CHADEMA imefanya jitihada za kutosha kupata uungwaji mkono na makundi yote dhidi ya CHAMA tawala?

Umeamini sasa mm nipo upande gan? Nijibu Kwa hoja BENJAMIN NETANYAHU!
 
Polepole na Bashiru jinsi walivyokua wabunge wa viti maalum walibadilisha jinsia au umekariri?
Polepole na Bashiru hawajawahi kuwa wabunge wa viti maalum.
Waliteuliwa na Rais kwa nafasi 10 alizopewa na Katiba kuteua wabunge.
Viti maalum kwa nafasi 19 zilizopo ni mahsusi kwa wanawake.
Ndio maana hakuna mwanaume kwenye hizo nafasi 19.
 
Kuteuliwa ndo viti maalumu humo humo hata Lema anafaa
 
Back
Top Bottom