CHADEMA kupeleka majina mengine ya wabunge Viti Maalum Bungeni

CHADEMA kupeleka majina mengine ya wabunge Viti Maalum Bungeni

Sasa ulitaka nini kifanyike? Mapinduzi ya kijeshi au vurugu za kisiasa kama Sudan?
Strategies zinazotumiwa na Chadema ni truly political baada ya ujambazi ule uliofanywa na Magufuli 2020. Na hakika na Mungu naye atajuwa pa kumuweka huko aliko.
Chadema amegeuza mambo smoothly bila kuleta maafa.
View attachment 2218757
Hata mimi naunga mkono hii hatua
 
Zinaweza kuwa zimeisha kama kibinadamu kuna aliyekiri kwamba wakati fulani nchi iliongozwa na nyang'au na akaharibu mifumo yote. Na sasa tukae kama binadamu tukishirikiana kuwaondoa manyang'au wengine na vuvuzela kama Crimea

View attachment 2218761
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakuonea huruma!

Vipi kwanza katuba mpya tayari?
 
CHADEMA kupeleka majina ya wabunge Viti Maalum Bungeni pamoja na kuanza kuchukuwa ruzuku ambayo wameigomea kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa ,Bunge kuridhia Halima Mdee na wenzake kuondolewa bungeni baada ya kikao cha Baraza kuu kutupilia mbali rufaa zao keshokutwa

Chanzo : darmpya
Niliwahi kuuliza CHADEMA kwamba kama kutokaa Kwa Baraza ndio kumesababisha wabunge hao kuwepo bungeni Hadi sasa hawaoni kwamba wanashiriki kupoteza Kodi za wananchi Kwa sababu wanaendelea kulipwa? Kwann Baraza halikukaa mapema zaidi😠😠😠😠😠😠
 
Mmekua wapole,fujo,vurugu,mapinduzi ndio mliyokua mnayataka. JPM kiboko yenu. Mlizira mpaka katiba mpya ipatikane je imeshapatikana?
Sasa ulitaka nini kifanyike? Mapinduzi ya kijeshi au vurugu za kisiasa kama Sudan?
Strategies zinazotumiwa na Chadema ni truly political baada ya ujambazi ule uliofanywa na Magufuli 2020. Na hakika na Mungu naye atajuwa pa kumuweka huko aliko.
Chadema amegeuza mambo smoothly bila kuleta maafa.
View attachment 2218757
 
Hawa jamaa vigeugeu sana kwanza huwa wanapinga uwepo wa viti maalum lakini kutwa kulilia hizo nafasi zikiwa zinawapa ulaji
Kuna hatua gani ataufikia Mbowe usiunge mkono?

Hata mkiambiwa kamati imeridhia hao 19 wabaki bungeni mtaunga mkono
 
Niliwahi kuuliza CHADEMA kwamba kama kutokaa Kwa Baraza ndio kumesababisha wabunge hao kuwepo bungeni Hadi sasa hawaoni kwamba wanashiriki kupoteza Kodi za wananchi Kwa sababu wanaendelea kulipwa? Kwann Baraza halikukaa mapema zaidi😠😠😠😠😠😠
Hujui Mwenyekiti wa chama alikuwa kwenye matatizo?
 
Back
Top Bottom