CHADEMA kupeleka majina mengine ya wabunge Viti Maalum Bungeni

CHADEMA kupeleka majina mengine ya wabunge Viti Maalum Bungeni

Hapana ndugu mm nawe adui yetu ni mmoja ni UOVU ulokithiri ndani ya CCM bt Kila mmoja anapambana kivyake ndomana anapata kuwepo Hadi sasa. Nikufikirishe kdg umetaja ACT, Pana URAFIKI Gani kati ya ACT na S.Gang?
Si ndiyo muungane kwenye hilo
 
Ni mbinu ya kikundi Cha akina Hilda wanaotaka hizo nafasi. Wanaharibu ku influence maamuzi ya Chama kuanzia nje.
Kwa Hali ilivyokuwa baada ya uchaguzi uliochakachuliwa, Hawa mafisadi WA demokrasia hawafai Kwa lolote, ilitakiwa TU wajitenge na Ile najisi kama wangekuwa thabiti, hawafai kuaminiwa Kwa lolote ndani ya chama!! Wawekwe pembeni
 
Kwa Hali ilivyokuwa baada ya uchaguzi uliochakachuliwa, Hawa mafisadi WA demokrasia hawafai Kwa lolote, ilitakiwa TU wajitenge na Ile najisi kama wangekuwa thabiti, hawafai kuaminiwa Kwa lolote ndani ya chama!! Wawekwe pembeni

Nje ndio kwenye wanachama wanaokipa nguvu chama!! Ndani ndio kuna upendeleo wa kuteua wajumbe wengi toka mkoa mmoja la wale wenye mahusiano ya karibu na viongozi!!! Vijana wa leo ndani ya chadema hawatakubali kama walivyowaonesha kwenye kura za mkutano mkuu baada ya mbinu zote za vigogo kugonga mwamba!! Do not take chadema members for granted! Wanafuatilia kwa karibu jinsi Uteuzi wa hao watakaochukua nafasi za covid 19 bungeni utakavyofanyika!
 
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya maridhiano na mazungumzo na Serikali chini ya Mama Samia Suluhu Hassan Wameridhia Kupeleka Wabunge Viti Maalum 19 katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hayo yameelezwa na mmoja wa Kiongozi wa Chama hicho kutoka Kanda ya Ziwa na Mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema(Jina Kapuni),

Aidha Makubaliano hayo yalifikiwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Mh Mbowe kwa masharti ya kwamba Halima Mdee na wenzake 18 waondolewe Bungeni Kisha Chadema watapelekea Wabunge wao.

Spika wa Bunge, Mh Tulia Akson tayari amepewa maelekezo ya kutoendelea kuwakumbatia Covid hao na Tangazo la kutowatambua Kama Ni wabunge linafanyiwa Kazi.

Chadema tayari wameelekeza kibra na wamerambishwa Asali ya Ccm.

Ni hayo tu.

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
Acha kupotosha mkuu, sasa kuna faida Gani kuwatimua kina Mdee alafu wapeleke wengine?? Ina maana CHADEMA imekubali matokeo kuwa ilistahili viti 20 pekee nchi nzima???

Mrema alishasema hawapeleki wabunge kama ambavyo hawapokei Ruzuku.
 
Back
Top Bottom