CHADEMA kupeleka majina mengine ya wabunge Viti Maalum Bungeni

CHADEMA kupeleka majina ya wabunge Viti Maalum Bungeni pamoja na kuanza kuchukuwa ruzuku ambayo wameigomea kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa ,Bunge kuridhia Halima Mdee na wenzake kuondolewa bungeni baada ya kikao cha Baraza kuu kutupilia mbali rufaa zao keshokutwa

Chanzo : darmpya
kikao bado lakini umeandika kama tayari.
 
Halafu unasema hivyo with a lot of excitement kama vile ni habari nzuri. Ccm ikishinda unajikwamua vipi kwenye umaskini uliokutamalaki. SuKUMA gang wewe
Na chadema ikishinda itakusaidia nn kujikwamua kwenye umasikini?
 
Usifanye mchezo na pesa kwa hiyo uchaguzi ulikuwa wa haki?
 
Kikao kinafanyika kesho kutwa habari inatoka leo.

Hiki ni chama cha aina gani ambacho maamuzi ya chama yanavuja siku tatu kabla ya kutangazwa??
Mimi pia nimeshangaa, japo mimi na wewe tuna itikadi tofauti
 
Kikao kinafanyika kesho kutwa habari inatoka leo.

Hiki ni chama cha aina gani ambacho maamuzi ya chama yanavuja siku tatu kabla ya kutangazwa??
sisi mbona tulijua jiwe kafa tarehe 10 nyie mkatangaza tarehe 17 !
 
Kwa hii vita CCM bado mshindi. Tz haina chama cha upinzani aiseee
Sasa ulitaka nini kifanyike? Mapinduzi ya kijeshi au vurugu za kisiasa kama Sudan?
Strategies zinazotumiwa na Chadema ni truly political baada ya ujambazi ule uliofanywa na Magufuli 2020. Na hakika na Mungu naye atajuwa pa kumuweka huko aliko.
Chadema amegeuza mambo smoothly bila kuleta maafa.
ikulu_mawasiliano-___CdWRmdftY49___-.jpg
 
CHADEMA kupeleka majina ya wabunge Viti Maalum Bungeni pamoja na kuanza kuchukuwa ruzuku ambayo wameigomea kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa ,Bunge kuridhia Halima Mdee na wenzake kuondolewa bungeni baada ya kikao cha Baraza kuu kutupilia mbali rufaa zao keshokutwa

Chanzo : darmpya
Naunga mkono hoja
 
Sasa ulitaka nini kifanyike? Mapinduzi ya kijeshi au vurugu za kisiasa kama Sudan?
Strategies zinazotumiwa na Chadema ni truly political baada ya ujambazi ule uliofanywa na Magufuli 2020. Na hakika na Mungu naye atajuwa pa kumuweka huko aliko.
Chadema amegeuza mambo smoothly bila kuleta maafa.
View attachment 2218757
Tena hapa CHADEMA wanatumia busara ya hali ya juu sn
 
Njaa haina mbabe utashangaa lema yuko viti maalum
 
CHADEMA kupeleka majina ya wabunge Viti Maalum Bungeni pamoja na kuanza kuchukuwa ruzuku ambayo wameigomea kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa ,Bunge kuridhia Halima Mdee na wenzake kuondolewa bungeni baada ya kikao cha Baraza kuu kutupilia mbali rufaa zao keshokutwa

Chanzo : darmpya
kilichotokea ni ufisadi wa spika na maccm ni matumizi mabaya ya kodi zetu.
 
Bunge litanoga sasa #Kazi iendelee
 
Yule wa ushungi aliyetekwa na Magufuli toka gerezani aachwe aendelee na ubunge
 
Back
Top Bottom