Uchaguzi 2020 CHADEMA kupoteza majimbo yafuatayo

Kimahesabu, CCM ndio washindi wa Uchaguzi Mkuu wa 2020 kabla hata ya mwenda kwenye Box la Kupigia kura.

Ushindi huu wa CCM ambao umetokana na utekelezaji kabambe wa miradi mbali mbali chini ya serikali ya awamu ya tano.

HESABU ZA KISIASA zinaonesha majimbo yafuatayo ya Upinzani yanakwenda Kurejea CCM.

1. Ubungo CHADEMA-Mh Mnyika ameshindwa kutatua kero kwa za Wana Ubungo hata kuzisema amekwama.

2. Kawe CHADEMA- Wamekosa mtu wa kuwasemea,Dada ayeongoza Jimbo hilo amejikita kwenye siasa za Kitaifa.

3. Arusha CHADEMA- Miradi inayotekelezwa chini ya Awamu hii na udhibiti wa siasa maji taka katikati ya Mji, Mbunge wa Jimbo hili harudi Bungeni. Mradi wa Maji Mkubwa wa zaidi ya Bilion kadhaa unaotekelezwa Mkoa wa Arusha ni TOKEN ya kurejesha Jimbo.

4. Mbozi CHADEMA-Mlowo ameshindwa kutatua kero za wakulima hata kuwasemea

5. Hai -Mkuu wa wilaya anachapa kazi Kuliko Mbunge, na wanahai wamefunguka macho kwamba miaka Mingi wamechelewa kwenye maendeleo

6. Mbeya- Wamekubali kwamba Tulia ndiye Mbunge wao ajaye, na hawapo tayari kuwekeza kwenye misimamo ya kijinga wanataka maendeleo kwa sasa

7. Iringa- Huyo Mbunge wa hapo anarejea kwenye Ujenzi wa Kanisa. Salum Hapi na Kasesela kazi yao ya kuchapa kazi imemzidi mbunge.

8. Mikumi-50/50

9. Tundama-Inarejea CCM

KWA CCM, MAJIMBO yafuatayo yanaweza kuwa si salama.
Mnyika akirudi jimboni natembea uchi hapa hadi Moro

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kweli ni K V

Kama ni hivyo msiwe waoga watu wanapodai TUME HURU YA UCHAGUZI
 
Back
Top Bottom