Katibu Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 16, 2025
- 489
- 119
Nyumbu tulia,kesho mahakamani mapema ulale sasaVichaa wameanza lini kuruhusiwa kuandika Hapa JF?
kujoin leo tu umekuwa Senior Member mweeAsalam aleykum waislamu wenzangu.
Hongereni kwa mahangaiko ya siku,poleni na madhila ya utafutaji.
Mimi nimesoma vitabu vingi vya mageuzi lakini ni kuwa zama zimebadilika sana ambapo jumla ya vitabu hivyo 5 vinaonesha mbinu za mageuzi ni kuvuruga amani.
Tangu achaguliwe mwezi January,Mzee Lissu amonekana dhahiri akihamasisha fujo ili aweze kujipatia madaraka ya juu ya nchi Mzee lissu ameamua kuificha familia Marekani na yeye kuendelea kuharibu nchi yetu.
Sasa baada ya kuona huruma ya KiMungu,Askofu ambaye ni mfuasi wao amewaombea huruma ili angalau heche aende bungeni mwakani.
Kwa ushauri wa Gwajima ndani ya chadema kunafukuta,huku wengine wakitaka kushiriki wengine wakisema bora wasishiriki wataishi kwa proposal za wazungu,lissu hana shida kabisa na hivi karibuni akitoka ataenda kugombea ubunge Kwao na urais kuuza kwa Mtu toka ccm.
Lkn kwa uamuzi huu chadema itakuwa imesalimu kishujaa,tutawasifu na kushindana nao.
Ahsanteni.
We unaonaje alhajiSheikh ukiivua Kobazi huwa unavua na Akili pale Mlangoni ?
We unaonaje alhaji
Joined TodayAsalam aleykum waislamu wenzangu.
Hongereni kwa mahangaiko ya siku,poleni na madhila ya utafutaji.
Mimi nimesoma vitabu vingi vya mageuzi lakini ni kuwa zama zimebadilika sana ambapo jumla ya vitabu hivyo 5 vinaonesha mbinu za mageuzi ni kuvuruga amani.
Tangu achaguliwe mwezi January,Mzee Lissu amonekana dhahiri akihamasisha fujo ili aweze kujipatia madaraka ya juu ya nchi Mzee lissu ameamua kuificha familia Marekani na yeye kuendelea kuharibu nchi yetu.
Sasa baada ya kuona huruma ya KiMungu,Askofu ambaye ni mfuasi wao amewaombea huruma ili angalau heche aende bungeni mwakani.
Kwa ushauri wa Gwajima ndani ya chadema kunafukuta,huku wengine wakitaka kushiriki wengine wakisema bora wasishiriki wataishi kwa proposal za wazungu,lissu hana shida kabisa na hivi karibuni akitoka ataenda kugombea ubunge Kwao na urais kuuza kwa Mtu toka ccm.
Lkn kwa uamuzi huu chadema itakuwa imesalimu kishujaa,tutawasifu na kushindana nao.
Ahsanteni.
Chadema bwana,roho mbaya hadi vyeo vya jfkujoin leo tu umekuwa Senior Member mwee
πππππ
KwahiyoJoined Today
Huyu shoga kaingia mchana huu na dera lake la mbogamboga anabwata tuVichaa wameanza lini kuruhusiwa kuandika Hapa JF?
Dogo nimeanza kutumia jf enzi za jambo,nikiwa napiga hoja na akina Prof.mkumbo,Kigwa,kichuguu,nkHuyu shoga kaingia mchana huu na dera lake la mbogamboga anabwata tu
Huna akiliKwahiyo
Kama chaman LissuHuna akili
Umetoka kwa Heche, umehamia huku.Asalam aleykum waislamu wenzangu.
Hongereni kwa mahangaiko ya siku,poleni na madhila ya utafutaji.
Mimi nimesoma vitabu vingi vya mageuzi lakini ni kuwa zama zimebadilika sana ambapo jumla ya vitabu hivyo 5 vinaonesha mbinu za mageuzi ni kuvuruga amani.
Tangu achaguliwe mwezi January,Mzee Lissu amonekana dhahiri akihamasisha fujo ili aweze kujipatia madaraka ya juu ya nchi Mzee Lissu ameamua kuificha familia Marekani na yeye kuendelea kuharibu nchi yetu.
Sasa baada ya kuona huruma ya KiMungu,Askofu ambaye ni mfuasi wao amewaombea huruma ili angalau Heche aende bungeni mwakani.
Kwa ushauri wa Gwajima ndani ya CHADEMA kunafukuta,huku wengine wakitaka kushiriki wengine wakisema bora wasishiriki wataishi kwa proposal za wazungu,Lissu hana shida kabisa na hivi karibuni akitoka ataenda kugombea ubunge Kwao na urais kuuza kwa Mtu toka CCM.
Lakini kwa uamuzi huu CHADEMA itakuwa imesalimu kishujaa,tutawasifu na kushindana nao.
Ahsanteni.